Hii Ndio Sababu ya Furaha
3:20
Vita Inayoendelea - Mchwa na Miti
1:54
Alichokisema Mkuu wa Mkoa Rukwa
2:47
Tunajivunia Kazi  ya Upandaji Miti
0:55
Пікірлер
@HamidaSeif-c8u
@HamidaSeif-c8u 27 күн бұрын
Mwalim naomba namba yako ya sim
@philbertbukeme6177
@philbertbukeme6177 Ай бұрын
Mwalimu super
@masindatv7285
@masindatv7285 2 ай бұрын
Kongole sana MWANAINCHI kwa kuripotisha taaarifa sahihi Kwa mradi huu mm nimekuwa mpima msaidi katika Kijiji HICHO Cha kisula , niukweli kwamba mradi huu umesaidia sana KUPUNGUZA migogoro ya ardhi na vifo visivotarajiwa , Maendeleo kama haya yanayofanywa na mradi huu serikali inapaswa kuwashika mkono kisawasawa na kuonesha upendo na MSHIKAMANO na hasa kwa kuendelea kuongeza furusa kwa WA Tanzania wengine kupata Huduma hizo.
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p 2 ай бұрын
Naomba namba ya mtaalam nahitaji miche
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p 3 ай бұрын
Naomba namba ya mzee nahitaji miche
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p 3 ай бұрын
Naomba namba ya mtaalam
@farajabakari429
@farajabakari429 3 ай бұрын
nimemuona BFF
@AlexanderKopoka
@AlexanderKopoka 4 ай бұрын
Asante bro🙏🙏@masindatv7285
@AlexanderKopoka
@AlexanderKopoka 4 ай бұрын
Asante sana Kaka 🙏🙏🙏 @masindatv7285
@masindatv7285
@masindatv7285 4 ай бұрын
Yasemwayo yapo na yanafanyika na taasisi ya LEAT Mm ni mmoja wapo niliyepata mafunzo hayo na kushiriki kama mpima msaidizi wa Ardhi na la zaid hadi kupima BARABARA za mitaa zinazohitajika kupimwa katika mitaaa ya VIJIJINI . Napongeza sana wanafundisha kwa moyo wao wa dhati, for porate language, na wakufunzi Wana skills kubwa sana. Kuusiana na program mbalimbali na wanawataalamu waliobobea kabisa, NAOMBA WAHISANI WAENDELEE KUWAUNGA MKONO ILI WAWEZE KUPATA RASILIMALI FEDHA TU. Maana wanao uwezo wa kupata rasilimali watu katika kuwapa mafunzo na kutumia utaalamu wao, Asante sana, sana, sana.
@winfridakipesha8214
@winfridakipesha8214 4 ай бұрын
Asante sana kwa somo 🙏
@moyotv4874
@moyotv4874 4 ай бұрын
Daudi Bakari🔥🔥
@masindatv7285
@masindatv7285 5 ай бұрын
Yes,,,, brother Alex l know you well your super technologist boss unauwezo mkubwa sana huwa uko simple and slow but sure yaaani hufanya kazi kwa ueredi sana,,ulinifundisha na nilikuelewa sana katika kuwafundisha vijana kwa kutumia mfumo huo wa MAST, kuna advantage sana kwa technology hiyo kutumika katika halmashauri zetu mm nakushuru sana kwanza kwa uwezo wako binafsi kiutendaji. Pili ni kwa wafanya kazi wenzako wote na taasisi kiujumla Asante.
@moyotv4874
@moyotv4874 5 ай бұрын
All the best Brother♥️
@MohamediHaruna-d8d
@MohamediHaruna-d8d 5 ай бұрын
Asante sana mwalim
@JastineMafushi-hl6lp
@JastineMafushi-hl6lp 7 ай бұрын
Mwalimu upo makin
@samwelisanga4422
@samwelisanga4422 7 ай бұрын
Hongera
@catherinefaney948
@catherinefaney948 8 ай бұрын
Je nitawezaje kupata miche,nipo Zaznzibar
@lisokimecholobi9451
@lisokimecholobi9451 9 ай бұрын
Mwalimu unakitu cha ziada hongera sana
@MichaelAndrea-c6s
@MichaelAndrea-c6s 11 ай бұрын
Nawakubali sana
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 11 ай бұрын
Asante Sana
@masindatv7285
@masindatv7285 11 ай бұрын
Kongole sana shirika la leat mungu awabariki
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 11 ай бұрын
Amina. Asante sana
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 11 ай бұрын
Super
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 11 ай бұрын
Wao
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 11 ай бұрын
Safi. Kazi nzuri LEAT
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 11 ай бұрын
Tunashuuru sana
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 11 ай бұрын
Asante sana!
@malaika5886
@malaika5886 11 ай бұрын
Hongera Sana kwa kushirikisha jamiii
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 11 ай бұрын
Tunashukuru!
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 11 ай бұрын
Safi🎉
@masindatv7285
@masindatv7285 11 ай бұрын
Congratulations sana leat & rusudeo kwa kuimalisha mazingira kwa vitendo najua linenwalo lipo na ndivyo lilivyo kongole sana .
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 11 ай бұрын
Tunashukuru sana mdau wetu!
@masindatv7285
@masindatv7285 Жыл бұрын
Ongereni sana wanankomolo tuuuuu
@moyojoseph5997
@moyojoseph5997 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@usimamiziendelevu5057
@usimamiziendelevu5057 Жыл бұрын
We thanks God,for the caming of Leat in Rukwa Region
@usimamiziendelevu5057
@usimamiziendelevu5057 Жыл бұрын
Leat ni shirika bora sana ambalo limesaidia,utunzaji wa maliasili mkoani Rukwa.
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 Жыл бұрын
Safi Sana mtaalamu umeelezea kwa mapana zaidi 👏👏👏👏👏
@raphaelymfinanga5825
@raphaelymfinanga5825 Жыл бұрын
👏🏽👏🏽
@supersmartspaces1768
@supersmartspaces1768 Жыл бұрын
Kuna mbolea nzuri ya asili inayoleta wadudu wazuri wa ardhi kama wale wa maharagwe. initwa mycorrizahl fungi fanya utafiti. Udongo utabaki salama na mazao yatashamiri hata asilimia 15 hadi 30 zaidi kimatunda
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 Жыл бұрын
Hongera
@masindatv7285
@masindatv7285 Жыл бұрын
Ili mazingira yaweze kutuzwa kwa usahihi na umakini nimpamoja na kuanzisha shuughuli ya ufugaji nyuki na mpaka Sasa zoezi linaendelea na faida Kwa wanainchi ipo, Ushauri wangu nikuwa mkoa was rukwa ni mkoa ambao bado unauoto wa asili hivyo inahitajika nguvu kubwa ya serikali na Jamii usika ya Maeneo husika kuungana na mashirika haya, ,
@AlexanderKopoka
@AlexanderKopoka 4 ай бұрын
Upo sahihi kabisa Kaka.
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 Жыл бұрын
Naaaam
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 Жыл бұрын
Supper
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 Жыл бұрын
Nice
@abdullmohdy5278
@abdullmohdy5278 Жыл бұрын
Well explained
@moyotv4874
@moyotv4874 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 Жыл бұрын
mbona umeingia gizani tena bosi au maji ya bwawa la mtera yalipingua
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Namba nataka michee
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Tunaomba namba jaman
@masindatv7285
@masindatv7285 Жыл бұрын
Hahahaha letaaaaa rahaaa letaaaaa rahaaa, nilishasemaga kuwa mambo mazuri yako huku leat oyeeeeee, Asanteni sana kanisa la mungu, nashukuru sana Tena sana, jamani imani yetu Kwa leat na mradi , pia afisa habari EDINA ongera mama ww ni afisa habari unajitahidi sana na watumishi wenzio kazi indelee
@mazingiratv3685
@mazingiratv3685 Жыл бұрын
Tunashukuru sana mdau wetu Masinda Tv. Kazi uhifadhi na usimamizi endelevu wa maliasili iendelee.
@moyotv4874
@moyotv4874 Жыл бұрын
🔥🔥
@masindatv7285
@masindatv7285 Жыл бұрын
Kizuungu oyeeeeeee big up sana kikundi Cha utafiti hakika LEAT we can't forget them we're together and we are most welcome muze rukwa Tanzania ,
@masindatv7285
@masindatv7285 Жыл бұрын
Leat thanks
@moyotv4874
@moyotv4874 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@agnessanga5357
@agnessanga5357 2 жыл бұрын
Well explained 👏