Рет қаралды 33
Ndugu Fortunatus Chakupewa mkazi wa Swaila, Nkasi Dc, ameushukuru mradi wa USAID Resilient Communities Governance ulivyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi ambayo ilikuwa na athari kubwa kwa kiasi cha jamii hiyo kutumia ushirikina au kuuana kupata ardhi.
Lakini kupitia zoezi la upimaji wa vipande vya ardhi na ugawaji wa hati za umiliki za kimila imesaidia sana watu kutambua maeneo yao halali na kuwa na umiliki halali wa maeneo hayo na hivyo kupunguza migogoro.