KWA MAANDIKO AYA ANDIKO GANI SAHIHI
17:24
7 сағат бұрын
YESU ALIINGIA MSIKITINI KWA MJIBU LUKA 4 6
4:15
YESU ALIINGIA MSIKITINI KWA MJIBU LUKA 4-6
4:15
YESU KRISTO NAYE ALIKUWA NA MADHAIFU MENGI TU
12:33
PAULO SI MTUME MAANA AKUWA MWANAFUNZI WA YESU
20:01
MASWALI KWA WAKRISTO?
8:02
19 сағат бұрын
SAUT ADHIMU IKISOMA
6:34
14 күн бұрын
QUR'AN BEST SAUTI
12:03
Ай бұрын
Пікірлер
@FamilleHérosdragon-i1p
@FamilleHérosdragon-i1p Күн бұрын
Famille heros dragon
@FamilleHérosdragon-i1p
@FamilleHérosdragon-i1p Күн бұрын
Famille heros dragon
@VicentSangwa
@VicentSangwa 2 күн бұрын
Kipindi ch yesu misikiti haikuwepo yalikuwepo masinagogi ya kiyahudi tu
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 2 күн бұрын
Jazaka Allah khaira
@MageSamwel-bp6od
@MageSamwel-bp6od 2 күн бұрын
Mbn unayoeleza haiendani na hilo somo lako
@MageSamwel-bp6od
@MageSamwel-bp6od 2 күн бұрын
Sielewi ata nacoment nini APA daaaah huyu mwalimu sijawahi kumwelewa ata
@joseph-masija
@joseph-masija 2 күн бұрын
Samahani kwa kusema hivi shekhe, Uelewa wako ni mdogo sana
@MhandoGodfrey-j9t
@MhandoGodfrey-j9t 3 күн бұрын
Hakuna mwalimu hapa ,acha kupotosha watu ndugu yangu
@theghostgeneralfromlakezon8797
@theghostgeneralfromlakezon8797 3 күн бұрын
Kabla ya yote tueleze ilikuwaje mtume akaoa mtoto wa miaka 6 Wakati yeye akiwa na miaka 53
@elimikasasa643
@elimikasasa643 3 күн бұрын
Sasa, unachouliza ni nini sasa? Uislam ni dini tofauti na ukristu ni tofauti. Unataka dini hizi zifanane? Wewe soma Quran inakutosha, hao wakristu nao Wana mifumo yao.
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
Bora wewe unejielewa
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 3 күн бұрын
Mwisilam kashadaka nauelewa wake nusu.
@RamadhanAlly-p8j
@RamadhanAlly-p8j 3 күн бұрын
aaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!! isaya ulaniwe kanisa wewe mjinga Tena fala kanisa Pepo mchafu kabisa jinga kabisa Tena wewe sio mwalim fala
@RamadhanAlly-p8j
@RamadhanAlly-p8j 3 күн бұрын
aaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!! isaya ulaniwe kanisa wewe mjinga Tena fala kanisa Pepo mchafu kabisa jinga kabisa Tena wewe sio mwalim fala
@linkenkenya9174
@linkenkenya9174 3 күн бұрын
Jesus Christ became a curse for our transgressions
@MishoniMishoni-l1g
@MishoniMishoni-l1g 3 күн бұрын
Huyu mwl sasaaa
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
HIvo uelewe YESU alifanywa laana kweli Pili YESU alibeba Dhambi zetu kutuombea msamaa HAKUFANYA DHAMBI Bali alibeba DHAMBI ZETU Elewa ndugu Shekhe kama UNASWALI UJAELEWA COMMENT
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
Nakujibu la kwanza 1 ....Wagaratia 3:13... Ni kweli YESU alilaanika kwaajili YETU Hila tambua HAKUWA na Dhambi. Hila alizichukua Dhambi zetu kutuombea msamaa. Jibu la pili 2..YESU alibeba Dhambi zetu SIO ALIFANYA DHAMBI unapaswa kuelewa shekhe. Anayefanya Dhambi anakwenda Motoni Anayebeba Dhambi kutuombea msamaa haendi Motoni. Kubeba Dhambi maana yake kuenenda mbele ya MUNGU na kuomba msamaa badala ya MWANADAMU au wanadamu waliyotenda . Mussa alikuwa akienda mala Kwa mala Kwa MUNGU kuombea msamaa Waisrael.
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 3 күн бұрын
Kama Alibeba zambi zenu makanisa kazi yake ninisasa.mana simunakwenda kuabudu munatoa sadaka munaomba mungu awaindole zambi zambi gani izo nisaidie.
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
@RamadhaniMohamedi-de2vc Kazi ya NYUMBA ZA IBADA NI HIZI 1. Kukufundisha njia sahihi 2. Kukuza kiroho 3. Kukukumbusha 4. Kwenda kumuabudi MUNGU. 5. Kutubu zambi zako unazozifanya Kila Leo 6. Kupeleka maitaji Yako Kwa MUNGU 7....namengine niliyoyasahahu..... Hiyo ndio kazi za NYUMBA ZA KUABUDU(MAKANISA)
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
@RamadhaniMohamedi-de2vc Je Mfano ukifanya kosa lolote Kwa jilani Yako au ndugu Yako ukamtafuta rafiki akakuombea msamaa na ukasameewa na jilani Yako. Je ukimkosea Tena UTAFANYAJE utamfata mwenyewe kumuomba au utamtafuta yuleyule rafiki Yako akakuombee Tena? .....YESU alikuwa akiongea Kwa mifano na Mimi mwanafumzi wake naongea Kwa mifano. Kama una sikio la kusikia litasikia na kuelewa. Hiyo ndo kazi za NYUMBA ZA IBADA 1 KUJIFUNZA 2.KUABUDU
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
​@@RamadhaniMohamedi-de2vchawajiekewi wakristo,zambi zimebebwa huko kanisani wanaomba Nini?
@cleophacekalilo2729
@cleophacekalilo2729 3 күн бұрын
Ikiwa basi yesu hakufa Msalabani naomba unitajie majina ya manabii 3 tu ndani ya quran waliyo uawa kwa ili hii aya isiwe ya uongo Weka ushahidi kwa mjibu wa quran وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ آمِنُوا بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ قَالُوا نُؤْمِنُ بِمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَيَكْفُرُونَ بِمَا وَرَاءَهُ وَهُوَ الْحَقُّ مُصَدِّقًا لِّمَا مَعَهُمْ ۗ قُلْ فَلِمَ تَقْتُلُونَ أَنبِيَاءَ اللَّهِ مِن قَبْلُ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ [ AL - BAQARA - 91 ] Na wanapo ambiwa: Yaaminini aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu. Wao husema: Tunaamini tuliyo teremshiwa sisi. Na huyakataa yasiyo kuwa hayo. Na hali ya kuwa hii ndiyo Haki inayo thibitisha yale waliyo nayo wao. Sema: Mbona mliwauwa Manabii wa Mwenyezi Mungu hapo zamani ikiwa kweli mlikuwa Waumini?
@Sarahmponjo
@Sarahmponjo 3 күн бұрын
Msikilize shekh vizuri usikurupuke apo tatizo sio kufa wa sio kuwawa tatizo ni kufa kwaajili ya dhambi zenu yesu ni mtu kama mimi na wewe tu ila yeye anacheo mbele ya mwenyezi Mungu na cheo chenyewe ni kuwa mtume, yesu akusurubiwa wala hakutundikwa wala hakufa msarabani wala hakulaaniwa kwajili ya mtu yeyote ila aimaanishi kuwa hato kufa kila nafsi itaonja kifo, musijidanganye kitakachokusaidieni mbele ya Mungu ni juhudi zenu nyinyi wenyewe
@princeismailsnr291
@princeismailsnr291 3 күн бұрын
Mungu mwema wapendwa!!🙏🙏⛪ Nitalijibu swali lako kiufupi kwa mifano katika biblia takatifu!! * Kwanza tunaposema dhambi ni nini?? Ina maana ya kwenda kinyume na Mungu. 1. Kutundikwa msalabani-( crucifixion) ilikuwa ni ahadi toka Mwanzo kwamba itakuwa hivyo. Kumwaga damu kwaajili ya watu kukombolewa kwa haki kutoka kwa wayahudi. Zakaria 12:10. * Kwenu nyie waislamu hamuamini kwenye hili kwasababu biblia na Quran ni vitu viwili tofauti,huwezi fananisha. Mnaamini kuwa aliokolewa na Mungu,kivipi?? Kutoka wapi?? Hamsemi!!! Lakini maandiko yanasema kama isingekuwa hivyo tungebaki katika laana ( dhambi). * 1 Petro 2:23-25- Anasema kuwa na laana ( dhambi) ni kuwa mfu. * Wagalatia 2:19-21 - Paulo anasema na yeye alisulubiwa pia kwa sheria. Ili kukombolewa awe hai na Yesu. * Wakristo au mtu yeyote akisema hana dhambi ni muongo!! Sisi tuna dhambi na tunaendelea kuzitubia. ❤️1 Yohana 1:8. # Kumkabidhi Yesu dhambi zako sio kwamba huna makosa tena,la hasha,ni kukiri makosa yako kwa Mungu wako. * Zaburi 51:4-19. * Zaburi 32:5. # Marko 8:34,35. Inaelezea kufa kwake. #Luka 14: 26. Ana maanisha kutokumpenda mtu mwingine zaidi kuliko Mungu,Anza kwanza na Mungu na utajua kuwapenda wengine. NB: Wagalatia 3:12-14- Anaelezea mambo ya SHERIA na IMANI. Kwamba sheria ilikuwa katika torati,na imani ndo kaileta Yesu kwa kufa. Kama humwelewi Paulo katika maandiko yake utapotosha Uma hata Petro alishasema:. 2Petro3:15-18. 2. Kuhusu TOBA( Repentance) ( tawba). - Sote tunatubu kwa Mungu peke yake. Kutoa kafara maana yake ni kumrudia mwenyezi Mungu,kwa kubadili mioyo yetu na akili zetu kiimani. MAJIBU: 1. Yesu ni mtakatifu na hakufa?? * Ndio,Yesu ni mtakatifu. Lakini alikufa na kufufuka kwaajili ya mataifa yote. Maana yeye ndio njia kweli na uzima. 2. Je amelaaniwa?! * Hapana hajalaaniwa,amebeba laana zetu,na Yesu hana dhambi yoyote. Kufa kwake na kufufuka ni kututoa katika mauti ya roho ambayo ni dhambi au laana. 3. Je kama ana dhambi zetu anaenda mbinguni au motoni??.. * Nilishasema hana dhambi, ilikuwa ahadi ya Mungu mwenyewe afe kwa ukombozi, kwahiyo kama alikomboa atakuwaje na dhambi?? Yupo mbinguni kwa Mungu mwenyewe. *Mathayo 26:64. * Marko 14:62. * Luka 22:69. * Wakolosai 3:1. * Waebrania 12:2. * Ufunuo 4:1..... Bwana awabariki sana!! 🙏🙏⛪⛪❤️❤️
@benjaminsaitoti8553
@benjaminsaitoti8553 3 күн бұрын
Roho ya mpinga KRISTO hiyo, YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA SOMA BIBLIA NA UELEWE MUOMBE MUNGU NEEMA HIYO
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 2 күн бұрын
Muelimishe kwa hoja.
@isayamhungu4796
@isayamhungu4796 4 күн бұрын
Achaaaaaa upuuuuuzzzzziiiiiiiiii
@EliasMponye
@EliasMponye 4 күн бұрын
Sawa ila ujatumia hekima unalenga nn unatufunsh nn kuhus udhaifu huo
@daudimwambelo4154
@daudimwambelo4154 4 күн бұрын
Muhammed alipo kufa aliachwa siku tatu bira kuzikwa nyinyi leo mmetowa wapi kuzika siku hiyo hiyo?
@daudimwambelo4154
@daudimwambelo4154 4 күн бұрын
Quran kitabu cha uongo uwezi linganisha maandiko matakafu wewe
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 күн бұрын
Maandishi matakatifu Kila kukicha kitabu kinabadilishwa biblia ziko nyingi na Zina tofauti kwenye maandiko huoni kama ni uhuni huo
@suzysam6002
@suzysam6002 4 күн бұрын
Haina haja ya kumjibu ila wateule wa bwana tuwe macho maana ndio nyakati zanyewe watakuja manabii wa uwongo ndio i hao sasa
@Austinemarko
@Austinemarko 4 күн бұрын
Hta wewe! nilidhani unaelimu kumbe ni msiba.xaxa nakujibunkwa msada wako kwanza yesu hana madhambi ,1petr 2:21,pili alifanywa laana kwa ajili yetu ili litimie kusudu la mungu basi lazima engeliimwaga damu yoh 3:16-17, tatu yesu yuko mbinguni pamoja n baba waebrania 1:3,usilete hoja dhaifu kinyogoli n uwambie n wenzio kina shafii.
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 күн бұрын
Tatizo alie tundikwa kwenye mtu kalaaniwa Kwa mujibu wa kitabu chenu Kwa hio hata mungu wenu kalaaniwa msiba mkubwa huu fungukeni mumepigwa za macho hapo
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 3 күн бұрын
Jibu hata moja
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
Qur'ani ni kitabu kilichoteremshwa hakina shaka,na hakina matoleo kama biblia,qur'ani hata uende ulaya inasomwa kama ilivyo
@Austinemarko
@Austinemarko 2 күн бұрын
@mahmoudclay4524 iliteremshwa nanani?
@nicolaskalunde
@nicolaskalunde 4 күн бұрын
Biblia sio gazeti bwana Kinyogoli. Ndio maana watu wanasoma miaka 2 Hadi 3 Umesha jiuliza kwanini? Hakuna kukariri kariri huku sw. Fahamu Yesu alikuwa hapatani na Serikali ya Kaisali, ukishajua Hilo Sasa Ndipo utafahamu walimtundika ili aonekane laana kwa watu ktk utawala wa Kaisar. Mungu hakutoa laana Bali wakuu wa hekalu na mtawala. Serikali ya Kaisar ndio ilio muita laana kwakuwa anapata wafuasi. Soma uelewe usipotoshe maamuma wako. Pia unaposikia Yesu kabeba au kachukua dhambi za watu hii inamaana hivi. Kila kaumu ilipo tenda dhambi Mungu ali angamiza Dunia kisha vizazi vikaanza upya kasome mambo ya nabii Nuhu, na Lutu kwanza uelewe. Hivyo Yesu alikuta dhambi ktk kaumu yake kiasi kwamba akachukizwa na kufanya fujo hekaluni. Hivyo alitambua ili Dunia isi angamizwe lazma yye akawe mpatanishi kti ya Mungu na wana damu. Tambua sababu za Mungu kutuma Mjumbe wake duniani maana yake maovu yamezidi. Kwahyo maovu ya Serikali ya Kaisali yalizidi. ikapelekea kuchukiwa na Serikali na kuteswa ni kwasababu ya watu alio wapelekea injili na kuonekana ni kinyume ktk utawala wa Kaisar. Nini maana ya kubeba dhambi.? Kiufupi ni kuponzwa au kuingia kwenye ugomvi usio wako na kuonekana ni kihere here kinyume ktk utawala wakam shughulikia bara bara hadi kutundikwa msalabani. Km watu wasinge tenda maovu, Mungu asinge mtuma Yesu kuja Duniani hii ndio maana ya kubeba dhambi kaponzwa na watu. ila dhambi ya mtu mmoja mmoja ktk maisha ipo pale pale usichanganye. Soma Timotheo wa pili. Lkni pia Ondoleo la dhambi ya asili ya Adam na Eva ni kufarakana kati ya wanadamu na muumba wao hiyo ni dhambi pia pale Mungu alipo walaani wawili hawa. Kwahyo Yesu alikuja kupatanisha watu na muumba wao akaponzeka akajikuta ktk mikono ya Serikali. Swali nani kamponza Yesu? Wanadamu.. Kwa7bu gani.? Ni madhambi Yao.. (Sina platform ya kutumia video shooting bwana Kinyogoli ila unge elewa vizuri sn hayo ni maswali ya chekechea (Sunday school) hakuna swali gumu) Naomba niache swali. Km mtume wenu hakujua kusoma pamoja na maswaaba wake. Nani mwambishi wa Quran hii iliyopo ktk makaratasi haya yanayo chapishwa Stationary? Huyo aliye andika aliagizwa na nani aandike? Kwann afiche jina lake Kuna Siri hapa isemeni hadharani.
@shabanilugi5858
@shabanilugi5858 4 күн бұрын
Shida Ni moja maswli ya swala eti majibu anayo Simba , kila Dini inaimani tofauti na nyingine uwezipata majibu Ya maswali ya wachristo NDA ya korohan pia uwezi Pata majibu ya maswali ya wa Islam NDA ya biblia ,Kitabu cha wabudha kinapataje majibu ya Imani ya wa Islam , MTU alieshika Imani ya Dini Yake ajishulishi na Imani ya Dini yamwenzie aijalishi nimchristo au muhislam na ndio mahana uwezi Kuona waharabu na wayahudi wakibishana Kwa ajili ya imani , unawezaje?kupata ladha ya parachi kwenye nazi ,unajiulizaje maswali ya kichristo alafu una soma korohan ile update majibu , ukiwa MTU mng'wana naumedhamiria kumjuwa Mungu nenda sehem ya Siri Yani Uwe wewe na wewe pekeako ,omba Mungu mueeza yote ulie umba mbingu na Dunia naitaji msahada wako nipate ufunuo wakweli kukuhusu wewe niong'oze nikakuabudu katika Dini ipi yenye njia yakukufikia wewe naomba ishara ,alafu mwambie ishara unazo zitaka wewe ,utapo zitaja ishara izo ziwedhairi ukizijua bayana wewe na Mungu ulie muomba Sirini, alafu kuwa kwenye haki usiwa mshabiki wadini yeyote utapata majibu Sahii ,weka na kipindi unachotaka majibu kama Ni mwezi au week Mungu WA mbinguni Kama Kweli unamtafuta utapata majibu na utaelewa kuwa Mungu ayupo kwenye Ayo makelele ya Dini
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 5 күн бұрын
Huyo ni Mungu wenu.. Sio wetu msijilinganishe hata kidogo na vitu vyenu feki..
@TarajiaHamisi
@TarajiaHamisi 4 күн бұрын
Jibu maswali
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 4 күн бұрын
@TarajiaHamisi Matendo hayawezi kukufikisha mbinguni(Hata wachawi wanaweza kufanya hivyo) Lakini imani kwanza imani yenyewe ...Cha kwanza ni Kristo Yesu(mateso) kutoka moyoni matendo ni mkia tu..Mungu wa kweli alimwambia Ibrahimu katika uzao wako(Yesu Kristo kama sadaka)mataifa watabarikiwa..Ndo maana anaitwa Baba wa imani na imani hiyo ni Yesu Kristo tu mkombozi wake(watu wa zamani na sasa Mungu anaachilia dhambi)..je umeamini au unakomaa kwenda na ibilisi na malaika zake ambao hana msamaha. Mateso uliyowasababishia wengine Yesu aliteswa kwa ajili ya suluhu ya wewe mwenye dhambi.....
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 5 күн бұрын
Haya mpinga Kristo...
@Paulo-c9z
@Paulo-c9z 5 күн бұрын
Uliwekewa mdahalo ukawa unajamba Sasa ivi upo peke Yako unatupigia kelele yesu ndie njia ya ukweli na uzima kwenye msaafu hakuna sehemu inayo sema Muhammad ni njia ya ukweli na uzima hakuna hakuna
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 5 күн бұрын
Chunga kauli yako wewe! Mwanamke mwenye busara na anayejitambua,hawezi jibu wanaume mitandaoni kiholela kama ufanyavyo wewe! Jitathmini sana. Mumeo atakuwa anapata tabu sana! Stupid.😡
@karimuabdala3234
@karimuabdala3234 4 күн бұрын
Pole sana ndugu yangu ktk Adam
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 күн бұрын
Funguka njia ya kweli ni mungu tu sio yesu Wala Muhammad hao ni wajumbe waliotumwa.kuja kutufundisha mema na kuacha machafu basi
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 nawapa pole sana , kwa anaeongea na aliepost kwa uelewa wenu mdogo sasa ntawafundisha na mnatakiwa muelewa context au umunetix kanuni za kutafasili maandiko au mnauliza bila kujua? jibu ni kwamba ukimwamini yesu na ukatubu unasamehewa zambi na Mungu akikuangalia haoni zambi bali anaona haki ya Yesu sababu Yesu hana zambi na kuhusu Yesu kuchukua zambi sio kwamba Yesu alienda na zambi mbinguni bali alikaa na dhambi kwa muda wa masaa mtatu tu alipokua pale msalabani na , mnatakiwa mjue Yesu pale msalabani alikufa vifo viwili kama Adam Baba yetu alivyokufa vifo viwili , kifo cha kwanza nikifo cha roho , na kifo cha roho ni kitendo cha Mungu kutengana na mwandam ndomana adam baada ya kufukuzwa eden alitemgana na Mungu , kifo cha pili nicha mwli alichokufa akiwa na miaka 900 na kitu sasa basi ilibidi na Yesu afe vifo 2, kama adam kwaajili ya kulipa deni la dhambi, kifo cha kwanza ni kifo caha kiroho kwa muda wa yale masaa matatu ya kwanza aliyokua pale msalabani ndo alichukua zambi zoote za ulimwengu ndomana akasema Mungu wangu Mungu wangu mbona unanitenga ni sababu alikua amejaa zambi za wanadam , na Mungu hachangamani na zambi , ndokama adam alivyotengwa na Mungu baada ya kutolewa eden, kifo cha pili ni kifo cha kimwili na nikwamuda wa yale masaa matatu ya pili aliyokuepo pale msalabani na akasema nautoa uhai wangu kisha nautwaa na hakuna awezae kuniondolea, na hilo ndilo jibu na kama mnajiamini njooni wapo TV mbezi bichi jogoo tufanye mjadala wa kifo cha Yesu ,
@ogdosho93
@ogdosho93 5 күн бұрын
Kumbe Mungu nae anamadhaifu😅
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 5 күн бұрын
Iyokorowani yamajini usitaki atakuisikiya
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 5 күн бұрын
Soma uislamu sio kudanganywa na kuambiwa na sio kumtizama muislamu ila ujue uislamu
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 5 күн бұрын
Rudi kwanza darasani kajifunze kuandika alafu ndio urudi uje utoe comment yako humu! Nyau wewe. 😡
@TarajiaHamisi
@TarajiaHamisi 4 күн бұрын
Brainwashed
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
Qur'ani ni kitabu alichopewa mtume Muhammad (s.w.a) Kwa ajili ya kutuongoza lkn mbona mbona biblia sjawai kuskia imetoka Kwa mungu na kuteremshiwa yesu,
@RutahushaSafari
@RutahushaSafari 5 күн бұрын
Tunaomba part 2 hii kali
@MANYANDASITTA-t3c
@MANYANDASITTA-t3c 5 күн бұрын
Amen 🙌
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 күн бұрын
Naam! sheikh langu wape darasa hawa manaswala wasio ufahamu ukweli walio gubikwa na ujinga vichwani
@AbednegoTumaini
@AbednegoTumaini 6 күн бұрын
Ww panya soma vizuli maandiko
@amosingailo-xb6lf
@amosingailo-xb6lf 6 күн бұрын
Hamna ukweli wowote hapo dini zote ni uongo hivi kweli wewe unaweza kuhangaikia MAISHA ya peponi ingali upo duniani ndio maana umasikini unatutafuna MAISHA ni hapa hapa duniani hakuna habari nyingine fanyeni kazi muda ukifika utakufa tu huendi mahala 🤭🤭🤭
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 күн бұрын
Huna akili na hujitambui pakubwa mnoo! wew ni mpumbavu haswa kaa jitafakali kama maisha ni hapa hapa dunian ungeishi milele basi kwa nin unazaliwa kisha unakufa ufahamu wako ni mdogo sana hivi unadhan umekuja kutembea hapa dunian klsha ufanye yale unayo taka wewe binasfi sasa kama hujui namkwambia hapa duniani hakuna chazaidi tulicho umbiwa zidi ya kuabudu vyengine vyote uvionavyo ni ziada tuu ila sisi tumekuja kuabudu
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 күн бұрын
Akili yako ndogo mnoo! hupaswi kuzungumzia kabisa juu ya dunia huna akili we ni tahira
@kajembeathman
@kajembeathman 5 күн бұрын
Katika wale wanaoitwa wazayuni wewe ni mmoja wapo unayeamini maisha ni hapahapa duniani pole sana una msiba mkubwa.Huenda humjui ata aliyekuumba na umeumbwa kwa malengo gani kutoka kwa mungu .mungu akuzindue akili yako.wakristo pia wanaamini kuna maisha ya milele baada ya kifo.ndio maana kwenye misiba mnaimba tutaonana tena.Hapo ina maana peponi au motoni kutokana na mbegu ulioipanda.
@26thTalent-d4n
@26thTalent-d4n 6 күн бұрын
NYINYI MTUKANENE LAKINI UWO TIO UKWELI USILAMU NDIO DINI YA HAKI ISIWAHADAE DUNIA MKIFUMBA JICHO MTAJUTA
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 6 күн бұрын
Shida pia nikwamba yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zao lakini cha ajabu hizo dhambi bado zinaendelea, na pia sioni haja ya wakristo kuenda makanisani sababu washabebewa dhambi zao na Yesu, sisi waislamu ndiyo tuna kazi kubwa ya kustaghfiru ama kuomba msamaha kwa mungu, Hapo hapo wakristo wameambiwa KILA MTU ATAUCHUKUA MZIGO WAKE MWENYEWE😅
@TAFAKARITVNewlife
@TAFAKARITVNewlife 6 күн бұрын
Weka maandiko yanayothibitisha au kuunga mkono hiyo hoja yako, angalia usiingie kwwnye mtego wa mwingine kuwa makini, usishiriki upotofu wa mwingine
@PeterJames-p1h
@PeterJames-p1h 6 күн бұрын
Huna akili mswalie mtume wako sijui unamswalia ili afanyeje
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 6 күн бұрын
@PeterJames-p1h kumswalia Mtume kunamaanisha kumtukuza
@TAFAKARITVNewlife
@TAFAKARITVNewlife 5 күн бұрын
@@AliMohamed-w3b hiyo nitafsiri yako,
@mkizamrock1951
@mkizamrock1951 5 күн бұрын
Moja samahan alikufa kwa ajili yako pia tubu mzeee naomba na mmi mnisaidie iman ya uislam ina vtabu vi nne Quran .injil torat zaburi uislam haujakamilika billa i njìl zabur na torat ssa mbona mnajipinga ? 2 iv sote tunaamin kua YESU AU ISSA ATARUDI jiulize swali if ukifa ukafika sehem itabid uulize njia ya pepon ipo wapi na ku a watu wa wiĺi Mohamad ambaye yupo kalala na yesu aliye fufuka utamuuliza nani na utamuamin aliye lala akati yupo aliye hai?
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 6 күн бұрын
Kweli kabisa Shekhe, Allah Barik
@Mbinga_01
@Mbinga_01 7 күн бұрын
Sijawahi ona sheikh ambae kaisoma vizuri dini yake ya Kiislamu akabadili dini kuwa Mkristo lakini Mapadri wengi tu na viongozi wengi tu wa Kikristo ambao wameisoma dini vizuri tu wanabadili dini kwanini?
@marympochela7903
@marympochela7903 8 күн бұрын
Biblia inasema, alikuwa kwetu lakini hakuwa wa kwetu, maana kama kweli ulikuwa mchungaji halafu umedrop mpaka hapo ulipo, pole
@MinzaKazungu
@MinzaKazungu 10 күн бұрын
Hukuwa mchungaji ulikuwa tapel
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 14 күн бұрын
Ofisi ya mufti inapaswa kutazama mambo haya kwa jicho la tatu. Na kila muislam anapaswa kusimama imara .
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 14 күн бұрын
Shukrani sana Shelkh
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 14 күн бұрын
Allah akupe maisha malefu na Pepo ya filidas inshallah
@IssaMohamed-h5g
@IssaMohamed-h5g 14 күн бұрын
Alla akujalie kwa kuwa muisilamu inshalla mpaka siku ya kiama
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Ай бұрын
Sema mkristo ana akili sana cjawah kuona mkristo mwenye akil kama uyu....anajua ukwel uyu
@paulkamula9117
@paulkamula9117 28 күн бұрын
Mkristo yupi huyu ni muislamu na mshirikina mkubwa...
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 күн бұрын
Allah WA quruan Sio Mungu WA kweli njoo Kwa Yehova Mungu WA kweli
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 3 күн бұрын
Huyu IPM anaujua ukweli kabisa ila tu hataki kubanduka Kwa ajili ya Maslahi binafsi. MUNGU akuongoze pamoja na wengine wooooooote murudi kwenye UISLAM Insha ALLAH.
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 3 күн бұрын
Hebu tunaomba ikiwezekana Kila mtu aingie kwenye KZbin andika (We Talk Islam) utaona vitu vizuri tu. Napia unaenda sehemu nyingine unaandika (One Man Army _DR ZAKIR NAIK ) kweli kabisa utajionea vitu vizuri Sana. Ahsanteni Kwa ushirikiano wenu.
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 Ай бұрын
Mchungaji wa kanisa gani mbona hatukujui. Hivi ukisimana na kuhubiri tu uislam hawatakuelewa?. Acheni uongo.