MASWALI KWA WAKRISTO?

  Рет қаралды 1,985

AlbayaanTv

AlbayaanTv

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@joseph-masija
@joseph-masija 3 күн бұрын
Samahani kwa kusema hivi shekhe, Uelewa wako ni mdogo sana
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 6 күн бұрын
Kweli kabisa Shekhe, Allah Barik
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 5 күн бұрын
Huyo ni Mungu wenu.. Sio wetu msijilinganishe hata kidogo na vitu vyenu feki..
@TarajiaHamisi
@TarajiaHamisi 5 күн бұрын
Jibu maswali
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 4 күн бұрын
@TarajiaHamisi Matendo hayawezi kukufikisha mbinguni(Hata wachawi wanaweza kufanya hivyo) Lakini imani kwanza imani yenyewe ...Cha kwanza ni Kristo Yesu(mateso) kutoka moyoni matendo ni mkia tu..Mungu wa kweli alimwambia Ibrahimu katika uzao wako(Yesu Kristo kama sadaka)mataifa watabarikiwa..Ndo maana anaitwa Baba wa imani na imani hiyo ni Yesu Kristo tu mkombozi wake(watu wa zamani na sasa Mungu anaachilia dhambi)..je umeamini au unakomaa kwenda na ibilisi na malaika zake ambao hana msamaha. Mateso uliyowasababishia wengine Yesu aliteswa kwa ajili ya suluhu ya wewe mwenye dhambi.....
@linkenkenya9174
@linkenkenya9174 3 күн бұрын
Jesus Christ became a curse for our transgressions
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 6 күн бұрын
Shida pia nikwamba yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zao lakini cha ajabu hizo dhambi bado zinaendelea, na pia sioni haja ya wakristo kuenda makanisani sababu washabebewa dhambi zao na Yesu, sisi waislamu ndiyo tuna kazi kubwa ya kustaghfiru ama kuomba msamaha kwa mungu, Hapo hapo wakristo wameambiwa KILA MTU ATAUCHUKUA MZIGO WAKE MWENYEWE😅
@TAFAKARITVNewlife
@TAFAKARITVNewlife 6 күн бұрын
Weka maandiko yanayothibitisha au kuunga mkono hiyo hoja yako, angalia usiingie kwwnye mtego wa mwingine kuwa makini, usishiriki upotofu wa mwingine
@PeterJames-p1h
@PeterJames-p1h 6 күн бұрын
Huna akili mswalie mtume wako sijui unamswalia ili afanyeje
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 6 күн бұрын
@PeterJames-p1h kumswalia Mtume kunamaanisha kumtukuza
@TAFAKARITVNewlife
@TAFAKARITVNewlife 5 күн бұрын
@@AliMohamed-w3b hiyo nitafsiri yako,
@mkizamrock1951
@mkizamrock1951 5 күн бұрын
Moja samahan alikufa kwa ajili yako pia tubu mzeee naomba na mmi mnisaidie iman ya uislam ina vtabu vi nne Quran .injil torat zaburi uislam haujakamilika billa i njìl zabur na torat ssa mbona mnajipinga ? 2 iv sote tunaamin kua YESU AU ISSA ATARUDI jiulize swali if ukifa ukafika sehem itabid uulize njia ya pepon ipo wapi na ku a watu wa wiĺi Mohamad ambaye yupo kalala na yesu aliye fufuka utamuuliza nani na utamuamin aliye lala akati yupo aliye hai?
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
HIvo uelewe YESU alifanywa laana kweli Pili YESU alibeba Dhambi zetu kutuombea msamaa HAKUFANYA DHAMBI Bali alibeba DHAMBI ZETU Elewa ndugu Shekhe kama UNASWALI UJAELEWA COMMENT
@daudimwambelo4154
@daudimwambelo4154 4 күн бұрын
Muhammed alipo kufa aliachwa siku tatu bira kuzikwa nyinyi leo mmetowa wapi kuzika siku hiyo hiyo?
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 5 күн бұрын
Haya mpinga Kristo...
@cleophacekalilo2729
@cleophacekalilo2729 3 күн бұрын
Ikiwa basi yesu hakufa Msalabani naomba unitajie majina ya manabii 3 tu ndani ya quran waliyo uawa kwa ili hii aya isiwe ya uongo Weka ushahidi kwa mjibu wa quran وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ آمِنُوا بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ قَالُوا نُؤْمِنُ بِمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَيَكْفُرُونَ بِمَا وَرَاءَهُ وَهُوَ الْحَقُّ مُصَدِّقًا لِّمَا مَعَهُمْ ۗ قُلْ فَلِمَ تَقْتُلُونَ أَنبِيَاءَ اللَّهِ مِن قَبْلُ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ [ AL - BAQARA - 91 ] Na wanapo ambiwa: Yaaminini aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu. Wao husema: Tunaamini tuliyo teremshiwa sisi. Na huyakataa yasiyo kuwa hayo. Na hali ya kuwa hii ndiyo Haki inayo thibitisha yale waliyo nayo wao. Sema: Mbona mliwauwa Manabii wa Mwenyezi Mungu hapo zamani ikiwa kweli mlikuwa Waumini?
@Sarahmponjo
@Sarahmponjo 3 күн бұрын
Msikilize shekh vizuri usikurupuke apo tatizo sio kufa wa sio kuwawa tatizo ni kufa kwaajili ya dhambi zenu yesu ni mtu kama mimi na wewe tu ila yeye anacheo mbele ya mwenyezi Mungu na cheo chenyewe ni kuwa mtume, yesu akusurubiwa wala hakutundikwa wala hakufa msarabani wala hakulaaniwa kwajili ya mtu yeyote ila aimaanishi kuwa hato kufa kila nafsi itaonja kifo, musijidanganye kitakachokusaidieni mbele ya Mungu ni juhudi zenu nyinyi wenyewe
@theghostgeneralfromlakezon8797
@theghostgeneralfromlakezon8797 3 күн бұрын
Kabla ya yote tueleze ilikuwaje mtume akaoa mtoto wa miaka 6 Wakati yeye akiwa na miaka 53
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 5 күн бұрын
Iyokorowani yamajini usitaki atakuisikiya
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 5 күн бұрын
Soma uislamu sio kudanganywa na kuambiwa na sio kumtizama muislamu ila ujue uislamu
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 5 күн бұрын
Rudi kwanza darasani kajifunze kuandika alafu ndio urudi uje utoe comment yako humu! Nyau wewe. 😡
@TarajiaHamisi
@TarajiaHamisi 5 күн бұрын
Brainwashed
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
Qur'ani ni kitabu alichopewa mtume Muhammad (s.w.a) Kwa ajili ya kutuongoza lkn mbona mbona biblia sjawai kuskia imetoka Kwa mungu na kuteremshiwa yesu,
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 күн бұрын
Naam! sheikh langu wape darasa hawa manaswala wasio ufahamu ukweli walio gubikwa na ujinga vichwani
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
Nakujibu la kwanza 1 ....Wagaratia 3:13... Ni kweli YESU alilaanika kwaajili YETU Hila tambua HAKUWA na Dhambi. Hila alizichukua Dhambi zetu kutuombea msamaa. Jibu la pili 2..YESU alibeba Dhambi zetu SIO ALIFANYA DHAMBI unapaswa kuelewa shekhe. Anayefanya Dhambi anakwenda Motoni Anayebeba Dhambi kutuombea msamaa haendi Motoni. Kubeba Dhambi maana yake kuenenda mbele ya MUNGU na kuomba msamaa badala ya MWANADAMU au wanadamu waliyotenda . Mussa alikuwa akienda mala Kwa mala Kwa MUNGU kuombea msamaa Waisrael.
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 3 күн бұрын
Kama Alibeba zambi zenu makanisa kazi yake ninisasa.mana simunakwenda kuabudu munatoa sadaka munaomba mungu awaindole zambi zambi gani izo nisaidie.
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
@RamadhaniMohamedi-de2vc Kazi ya NYUMBA ZA IBADA NI HIZI 1. Kukufundisha njia sahihi 2. Kukuza kiroho 3. Kukukumbusha 4. Kwenda kumuabudi MUNGU. 5. Kutubu zambi zako unazozifanya Kila Leo 6. Kupeleka maitaji Yako Kwa MUNGU 7....namengine niliyoyasahahu..... Hiyo ndio kazi za NYUMBA ZA KUABUDU(MAKANISA)
@Yehova_Kwanza
@Yehova_Kwanza 3 күн бұрын
@RamadhaniMohamedi-de2vc Je Mfano ukifanya kosa lolote Kwa jilani Yako au ndugu Yako ukamtafuta rafiki akakuombea msamaa na ukasameewa na jilani Yako. Je ukimkosea Tena UTAFANYAJE utamfata mwenyewe kumuomba au utamtafuta yuleyule rafiki Yako akakuombee Tena? .....YESU alikuwa akiongea Kwa mifano na Mimi mwanafumzi wake naongea Kwa mifano. Kama una sikio la kusikia litasikia na kuelewa. Hiyo ndo kazi za NYUMBA ZA IBADA 1 KUJIFUNZA 2.KUABUDU
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
​@@RamadhaniMohamedi-de2vchawajiekewi wakristo,zambi zimebebwa huko kanisani wanaomba Nini?
@Austinemarko
@Austinemarko 4 күн бұрын
Hta wewe! nilidhani unaelimu kumbe ni msiba.xaxa nakujibunkwa msada wako kwanza yesu hana madhambi ,1petr 2:21,pili alifanywa laana kwa ajili yetu ili litimie kusudu la mungu basi lazima engeliimwaga damu yoh 3:16-17, tatu yesu yuko mbinguni pamoja n baba waebrania 1:3,usilete hoja dhaifu kinyogoli n uwambie n wenzio kina shafii.
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 4 күн бұрын
Tatizo alie tundikwa kwenye mtu kalaaniwa Kwa mujibu wa kitabu chenu Kwa hio hata mungu wenu kalaaniwa msiba mkubwa huu fungukeni mumepigwa za macho hapo
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 4 күн бұрын
Jibu hata moja
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
Qur'ani ni kitabu kilichoteremshwa hakina shaka,na hakina matoleo kama biblia,qur'ani hata uende ulaya inasomwa kama ilivyo
@Austinemarko
@Austinemarko 2 күн бұрын
@mahmoudclay4524 iliteremshwa nanani?
@elimikasasa643
@elimikasasa643 3 күн бұрын
Sasa, unachouliza ni nini sasa? Uislam ni dini tofauti na ukristu ni tofauti. Unataka dini hizi zifanane? Wewe soma Quran inakutosha, hao wakristu nao Wana mifumo yao.
@mahmoudclay4524
@mahmoudclay4524 3 күн бұрын
Bora wewe unejielewa
@daudimwambelo4154
@daudimwambelo4154 4 күн бұрын
Quran kitabu cha uongo uwezi linganisha maandiko matakafu wewe
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 4 күн бұрын
Maandishi matakatifu Kila kukicha kitabu kinabadilishwa biblia ziko nyingi na Zina tofauti kwenye maandiko huoni kama ni uhuni huo
@Paulo-c9z
@Paulo-c9z 5 күн бұрын
Uliwekewa mdahalo ukawa unajamba Sasa ivi upo peke Yako unatupigia kelele yesu ndie njia ya ukweli na uzima kwenye msaafu hakuna sehemu inayo sema Muhammad ni njia ya ukweli na uzima hakuna hakuna
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 5 күн бұрын
Chunga kauli yako wewe! Mwanamke mwenye busara na anayejitambua,hawezi jibu wanaume mitandaoni kiholela kama ufanyavyo wewe! Jitathmini sana. Mumeo atakuwa anapata tabu sana! Stupid.😡
@karimuabdala3234
@karimuabdala3234 4 күн бұрын
Pole sana ndugu yangu ktk Adam
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 4 күн бұрын
Funguka njia ya kweli ni mungu tu sio yesu Wala Muhammad hao ni wajumbe waliotumwa.kuja kutufundisha mema na kuacha machafu basi
@amosingailo-xb6lf
@amosingailo-xb6lf 6 күн бұрын
Hamna ukweli wowote hapo dini zote ni uongo hivi kweli wewe unaweza kuhangaikia MAISHA ya peponi ingali upo duniani ndio maana umasikini unatutafuna MAISHA ni hapa hapa duniani hakuna habari nyingine fanyeni kazi muda ukifika utakufa tu huendi mahala 🤭🤭🤭
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 күн бұрын
Huna akili na hujitambui pakubwa mnoo! wew ni mpumbavu haswa kaa jitafakali kama maisha ni hapa hapa dunian ungeishi milele basi kwa nin unazaliwa kisha unakufa ufahamu wako ni mdogo sana hivi unadhan umekuja kutembea hapa dunian klsha ufanye yale unayo taka wewe binasfi sasa kama hujui namkwambia hapa duniani hakuna chazaidi tulicho umbiwa zidi ya kuabudu vyengine vyote uvionavyo ni ziada tuu ila sisi tumekuja kuabudu
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 6 күн бұрын
Akili yako ndogo mnoo! hupaswi kuzungumzia kabisa juu ya dunia huna akili we ni tahira
@kajembeathman
@kajembeathman 6 күн бұрын
Katika wale wanaoitwa wazayuni wewe ni mmoja wapo unayeamini maisha ni hapahapa duniani pole sana una msiba mkubwa.Huenda humjui ata aliyekuumba na umeumbwa kwa malengo gani kutoka kwa mungu .mungu akuzindue akili yako.wakristo pia wanaamini kuna maisha ya milele baada ya kifo.ndio maana kwenye misiba mnaimba tutaonana tena.Hapo ina maana peponi au motoni kutokana na mbegu ulioipanda.
@benjaminsaitoti8553
@benjaminsaitoti8553 3 күн бұрын
Roho ya mpinga KRISTO hiyo, YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA SOMA BIBLIA NA UELEWE MUOMBE MUNGU NEEMA HIYO
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 2 күн бұрын
Muelimishe kwa hoja.
SHEKH KULUNGE ,WAISLAMU TUMEHALALISHWA MAJINI WATUPE UTAJIRI SIO DHAMBI NAKATAA
34:16
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3 МЛН
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 87 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
YESU KRISTO NAYE ALIKUWA NA MADHAIFU MENGI TU
12:33
AlbayaanTv
Рет қаралды 467
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 7 М.
SHEIKH SHAFII AJIBU MASWALI KWA MAANDIKO YA BIBLE
19:12
AlbayaanTv
Рет қаралды 238
WEWE MSELA WA MELI GANI ACHA UJINGA- SHEIKH NYUNDO
19:42
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 32 М.
GPS: ICC yataka NETANYAHU na GALLANT wakamatwe kwa Mauaji ya Raia wa GAZA!
51:30
MFAHAMU MWANAHARAKATI ANAYESEMA UKWELI MBELE YA WATAWALA (SEMA NASI)
35:50
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3 МЛН