Пікірлер
@ramadhanijuma6522
@ramadhanijuma6522 13 сағат бұрын
Hk the Brain
@samirmswahili
@samirmswahili 13 сағат бұрын
Unapeleka vzr kipind heshima kwenu efm
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 14 сағат бұрын
Big yuko wapi?
@chrispinliwa7868
@chrispinliwa7868 14 сағат бұрын
Miaka ming mzeee hk
@spartachize122
@spartachize122 Күн бұрын
Dah Alaaan mapigo❤
@binseif2216
@binseif2216 Күн бұрын
Rekebisha bas Meno yko
@spartachize122
@spartachize122 Күн бұрын
Yaani kwa miaka ya sasa ziekwe ngoma zote za mwaka alafu iekwe jirushe uzani unaenda kwa jirushe❤
@mutumbaroni7546
@mutumbaroni7546 3 күн бұрын
The best verse in bongo flava histry is from Jay moe on Jirushe
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 4 күн бұрын
Habari ya ukonda na pia kuhusu kununua gari alivyoenda kwa seki nini kilitokea na gari yake ya laki saba
@user-xz8mm5kt5m
@user-xz8mm5kt5m 4 күн бұрын
Chemsha bongo ni all time best, yenyewe ni namba moja, mbili na tatu pia. Hizo nyengine anzeni kuzipanga kuanzia nne huko. Fanyeni adabu zenu jamani! .. eboo!!!
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂masanja unachekesha sana dah
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu 5 күн бұрын
Appreciation
@user-ml6wl6xi7n
@user-ml6wl6xi7n 6 күн бұрын
Nimefurahi Sana Kumuona Tena PNC ni msanii mwenye kipaji sana, Binafsi Namkubali sana na nina shauku ya kumuona akirejea kwa kasi kwenye muziki
@mu9tz639
@mu9tz639 6 күн бұрын
Kaka unajuasana ila pombe inakufelisha sana duu.ugolo pia 😂😂😂❤❤❤
@adamswafi5149
@adamswafi5149 7 күн бұрын
Pnc aka shino
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu 8 күн бұрын
Pnc mwamba kweli
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu 8 күн бұрын
Sikujua kama nyandu ni WA kitambo hivooo
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 8 күн бұрын
Tatizo lauyu jamaa nikama la DULAYO pombe kali sana.
@alibinali_
@alibinali_ 8 күн бұрын
PNC sema tu ukweli Mr.Blue ndie alikutambulisha kwenye Gema ukajulikana Africa kenya,Uganda, Burundi, Congo na nchi zengine za Africa
@churchgeorge4172
@churchgeorge4172 9 күн бұрын
Hawa ni comedians
@5googleuuu727
@5googleuuu727 9 күн бұрын
MSANII WANGU PENDWA. PNC. ACHIA NGOMA. TUNAKUKUBALI SANA ❤️❤️❤️❤️❤️
@MilleniumCreatives
@MilleniumCreatives 9 күн бұрын
The tanzanian Dr. Dre. Ongera Mzee
@jamiinaafyanjema2966
@jamiinaafyanjema2966 9 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 9 күн бұрын
Mtangazaji umeuliza maswali mengi kuhusu mikataba westing of time. Ungepunguza maswali hayo.
@mchagashop1342
@mchagashop1342 9 күн бұрын
Bro kuvi tunaomba dizasta atengewe masaa ata 3
@homan_nkwama
@homan_nkwama 9 күн бұрын
Mtangazaji UMETISHA KINOMAAA.....UWEZO WAKO INABID UONEKANE ZAIDI one love kwa JABIR KUVUCHAKA kumbe timu yeni imeshiba sanaaaa
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 10 күн бұрын
Huyu ukiwa nae ata wiki 2 ndo utamjua alivyo kama hujakaa hutamuelewa jamaa ni msumbufu sana huyu ni mlevi wa kuzima kulala kubebwa mda wte ni ugolo mdomoni, huyu kama mpo sehem mmepanga msafili kaa nae karibu nilishawai kusafili nae bus linaondoka saa12 asubui tunamuamsha mwenzetu kalewa chakali ilibidi tumbebe hivohivo tumlushie kwenye bus pombe zilikata baada ya masaa6 mbele ya safali hilo ndo shida ya huyu jamaa labda kama amebadilika sasa hv akishika tuu hela akili yake ni pombe na pesa zinakata anazima simuongelei kwa mabaya watu wa karibu wa huyu wanamjua pia tabia zake akuwa na namba zako yan ujiandae kupigwa vibom vya pesa ndio maana washkaji huwa wanamkimbia namshauli ajirekebishe
@MtuSafi
@MtuSafi 9 күн бұрын
Hata kama kutakuwa na ukweli hukupaswa kuongea hapa....
@Kushgang-cr4pv
@Kushgang-cr4pv 9 күн бұрын
kweli anatwaza utu wa m2​@@MtuSafi
@ricklifetz1828
@ricklifetz1828 7 күн бұрын
FUTA HII COMMENT BRO ,IMEKAA KIUCHAWI SANA KWENYE SAFAR YA MAFANIKIO YA M2. Ukiona hujapitia Changamoto hadi ukahis kuconfuse ,utakuwa Bado hujabarehe ,ILA nahisi wamekutuma umchafue
@RichWise671
@RichWise671 7 күн бұрын
Huu ndo uchawi mamae 😊
@dicksonkobbo4152
@dicksonkobbo4152 6 күн бұрын
Kwanza Kwa nn uweke effect za mtu kwenye mitandao jamani mbona mnakuwa sy wa aminifu kwenye maisha ya watu
@osiahstimah
@osiahstimah 10 күн бұрын
Elimu nzuri ilimsaidia mike tee
@Marjeby
@Marjeby 10 күн бұрын
Dogo hajui kabisa kuongeaa wala kujieleza aiseee
@DaudijofreyMsipi
@DaudijofreyMsipi 2 күн бұрын
Kuma ww unajua nn wek yako tuone amby unajua
@TeamSelekta
@TeamSelekta 10 күн бұрын
Jabiri kashaenda 👑
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 10 күн бұрын
Master J is too knowledgeable you have to be smarter to interview this brother. And he is too hilarious.
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 10 күн бұрын
Uyu jamaa mpole sana afu mnyonge sana..
@mwajamii
@mwajamii 4 күн бұрын
Wajuaje ni mnyonge wayajua maisha yake binafsi
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 10 күн бұрын
Master J umetisha kwa darasa na historia
@barakamichael1487
@barakamichael1487 10 күн бұрын
Daaah huyu jamaa ni conscious sana
@tigejuma9865
@tigejuma9865 10 күн бұрын
Mwamba mkali xna lakin uteam unaua vipaji vya hawa vijana ...
@willehardkimbi5645
@willehardkimbi5645 10 күн бұрын
Kuvi yupo wapi??! #FreeSalehJabir
@user-fj7wu8ph1q
@user-fj7wu8ph1q 10 күн бұрын
tatizo madogo wanazimwa kisa kuwanyenyekea watuwanaojifanya Mungu mtu
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 10 күн бұрын
PNC chino Talent zilizodhulumika sana wakati wake
@cbhofficial3432
@cbhofficial3432 10 күн бұрын
Jabir Saleh yupo wapi leo😢
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic 11 күн бұрын
daaah masanja nimekubali,daah haya maisha
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 12 күн бұрын
😝😝😝😝😝 jamaa ni storyteller mzuri sana . Hyu atafutiwe EP ingine
@mussaochola5306
@mussaochola5306 12 күн бұрын
Dizasta vina 👑
@erickothegreat8353
@erickothegreat8353 12 күн бұрын
uwezi mpata mtu wa hip pop kwa saivi kwani wengiwapo kwenye commercial zaidi,Hip Pop ni kwa ajili kwa wana harakati.
@westcijosh
@westcijosh 12 күн бұрын
mbona makasiriko sana master J
@justcruised
@justcruised 13 күн бұрын
Ngwair was crazy 😢 RIP brother
@theknowledgevault4600
@theknowledgevault4600 14 күн бұрын
Legend!🎉🎉🎉
@blaynchich9765
@blaynchich9765 14 күн бұрын
186 hatari xaana 🔥
@nemessenguo6195
@nemessenguo6195 14 күн бұрын
😢😢😢 boreshen
@dennisraphael96
@dennisraphael96 15 күн бұрын
Jamaa anachana kama boo nako
@Moneyprinter7
@Moneyprinter7 15 күн бұрын
Roma Mkatoliki ndio Hip hop KING