Hakuna wakati nilikuwa nahisi Niko alive kama kipindi hicho mzee very young happy, healthier alafu naskiza madude kama hayo
@wazirimustafa2302 ай бұрын
I can't go a week without listening African son!! Binafsi ndio Album yangu Bora ya Bongo flavor ya muda wote,,🔥🔥🔥🔥🔥
@NdituTV2 ай бұрын
Classic ya moto sana, kuvi unatundea haki sanaa. Presenter bora sana.
@abdibuddy7583Ай бұрын
I'm glad amezungumzia Nyati . This track brings nostalgia
@abuubaqr58082 ай бұрын
Kuvi Pamba Wemba, shout out to chundabadi mujahidina maradona mara sinza mara boma, I like the way he is positive and knowledgable, hanaga baya uyu roho safi
@mbelikemtamaduni79052 ай бұрын
Peace no problem...ndo maana hata niki mbishi anamefanya ngoma na Lord eyes na bonta..HIPHOP
@mbelikemtamaduni79052 ай бұрын
Tamaduni muzik for ever
@davidernesto41002 ай бұрын
Kaka mwambie afanye kuweka nyimbo zake ambazo hazipo kwenye platform
@nestoryemmanuel2102 ай бұрын
Km nngefanya mziki bac huyu mwamba chunda bad angekuwa sikio na jicho lang
@OlivierKayige2 ай бұрын
Asante sana legend kuvi..much respect kwa surprises za watu muhimu sana..plz bushoke apatikane
@hamisilukanda43532 ай бұрын
Tuletee Unju
@OlivierKayige2 ай бұрын
You are a legend to my big bro kuvi
@mohamedshaban-x1z2 ай бұрын
Kaka jabir tunaomba utuletee unju
@nicksoncharles-kx3gr2 ай бұрын
Kuvichaka respect sana
@KhalfanSalim-v1x2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@ninjaisma79832 ай бұрын
Mlete pia nikki mbishi atupe madini
@wilbertjosephat16152 ай бұрын
Part 2 nipo
@kilayogeyejakobo66882 ай бұрын
Chundabad mtu m-bad kbs
@OmaryOmary-qq6ow2 ай бұрын
Fid q
@wilbertjosephat16152 ай бұрын
@kuvichaka tunakudai GK tulete GK tulete GK
@KuviFacts2 ай бұрын
GK nimemualika mara kadhaa lakini hakufika kwa bahati mbaya
@wilbertjosephat16152 ай бұрын
@@KuviFacts pambana nae aje mkuu
@mahmoudmihanjamu6692 ай бұрын
Kaka kuvi tuletee Roho saba kwenye pindi hili
@fadhilifantastic50322 ай бұрын
Roho saba ni mwanajeshi siku hizi.. lakini nafikiri anaweza kuja akimpanga