Mungu atujalie tumesha choka na ccm tupo tayr kupigana na ccm
@salimsaid83486 ай бұрын
Hongereni sana ACT-WAZALENDO Ndiyo chama mbadala na tumaini letu Pekee lililobaki. Nyiye ndiyo chama kikuu cha Upinzani kwa sasa wale wengine hujinadi tu bila vitendo wala Maono