Рет қаралды 1,432
"Baada ya uchaguzi 2020 kuporwa. Sisi @ACTwazalendo tulichukua hatua. hatukulialia. Hatukukimbia kama wakimbizi. Tuliishitaki Serikali; kwamba kupita bila kupingwa ni kinyume cha katiba. Tukashinda. Sasa hakuna tena mambo ya kupita bila kupingwa."
Zitto Kabwe
Kiongozi Mstaafu wa Chama
ACT Wazalendo
Kahama
10 Mei, 2024.