Unafafanua vizuri sana, hongera! Sasa hao kuku f nawapataje? Na ni shilingi gapi kifaranga?
@SaboMwinjumaАй бұрын
Xana ufugaji kuku
@youthchanel8612Ай бұрын
Nakereka kutokujibu maswali
@DitrickNyoni2 ай бұрын
Keep it up 👍
@abumuhammad96152 ай бұрын
Namkumbuka brother wako Mkulima Smart..RIP
@raymondonyona.27362 ай бұрын
Mzungu wa Kichaga unatisha! Binafsi naomba tu namba zako za simu tuwasiliane mubashara. Nimeshindwa kuzipata kwenye clip yako. Niko Buchosa ya Mza, ni mstaafu.
@JosephinaEnock3 ай бұрын
Napenda kujifunza kutoka kwako
@SaboMwinjuma4 ай бұрын
Unapatikana wapi nije kupata elimu
@EmanuelBonface4 ай бұрын
Niunge group la whatssap nijifunze zaid bro
@JOSEPHSABAS-o8x4 ай бұрын
Naomba elimu zaidi
@ConsolataChafu4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@danieltekato34174 ай бұрын
Habari..,naweza kupata mawasiliano yako Mr Jummanne
@SimbaZuberi4 ай бұрын
Mama naomba nipate elimu kwako ninataka kuanza ufugaji
@naomimsisi16034 ай бұрын
Plz namba za cm
@ZubedaAbdallah-s5p5 ай бұрын
Kaka naomba namba yako napenda kulima na kufuga
@ZubedaAbdallah-s5p5 ай бұрын
Uko wwpi? Naomba no yako
@TusaKiblaga-vp9jg6 ай бұрын
Nimekupenda bule kipenz duuh hongera sana wewe ni mtu na Upeo mwing
@hellenamateru64556 ай бұрын
Naomba namba yako niko arushanaomba unitafute
@JumaOmarimwasapi6 ай бұрын
Heka.moja.inagalimu..bei.gan.kulima
@robinsonMwesa6 ай бұрын
Niko kwenye mandalizi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji na napatikana morogoro lakini mradi wangu naenda kuufanyie kahama naitaji ushauri na namna ya kukuona ili nijifunze zaidi
@essaukapufi4246 ай бұрын
❤
@JumaDeo-cr4fw6 ай бұрын
Naomba nataka kua mfugaji wapi mnapatikana
@HellenMlyuka7 ай бұрын
Hongera dada ila natamani niwe mfugaji kama wewe naomba nisaidie
@ombenizelote1197 ай бұрын
Naomba mawasiliano....niko Arusha
@MariamDilla7 ай бұрын
Namba namba Yako ya simu tafadhali
@mokeya7 ай бұрын
Mh kumbe kuku anawez kulalia mayai bila ya kuatamia mwenyew duhh hapa ndo naanza kujua
@petterevans29027 ай бұрын
hello mum mimi nipo kenya
@petterevans29027 ай бұрын
3:50 3:52
@SilasshijaMangu9 ай бұрын
Kwa iyo hao n kienyej pure dada
@munuoisaack4189 ай бұрын
Aina gani ya hao kuku wanaotaga baada ya miezi minne jamani naomba mnijulishe huku mnaojua
@munuoisaack4189 ай бұрын
Eva natamani kukuona niongee nawe kwa kina unisaidie kwenye hili eneo naomba msaada wako kama hitojali
@JailosyCharlesy9 ай бұрын
Je. Wakati gani wakuweka mbolea ya maji
@saidgok743310 ай бұрын
They put water in a water bottle and do waterless farming. If you understand English, there is also an English explanation. They explain this. I said this to give information.
@jimmykahindi925710 ай бұрын
Nikitaka vifaraga mzungu vya kuroiler coz nko kenya
@MichaelAkonaay-z3w11 ай бұрын
Aika ruwa
@immadangote600111 ай бұрын
Wadau huyu dada nitapeli niliangalia mtandaoni anavyojipronoti nimemtumia pesa benk na jina mzungu kichaga tokea 23/11/2023 ana laki 2 zangu hapokei SMU hanipi mzgo kuweni makini hawa watu
@hekimaluvanda53375 ай бұрын
Pole kipenzi
@Bakarisultanindima-uk6ml11 ай бұрын
Hongera sana kaka
@FrederickNkyaa11 ай бұрын
Hogers sanaa mzunguu
@ShamteKisoma Жыл бұрын
Mm nataka kujua matumizi yake
@apynesnzisa5045 Жыл бұрын
Hey, bro bro Naomba kujiunga na group ya mafunzo ya ukulima tafadhali🙏