Mzungu wa Kichaga

  Рет қаралды 167,927

Mkulima Market

Mkulima Market

3 жыл бұрын

Пікірлер: 190
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 2 ай бұрын
Nimekupenda bule kipenz duuh hongera sana wewe ni mtu na Upeo mwing
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 жыл бұрын
We Mzungu Wa kichaga ni mjanja sana maana umeajili watu sahii ktk shughuli zako.Ubarikiwe zaidi
@gracemima5234
@gracemima5234 2 жыл бұрын
Nimekupenda bure. You are my type of a friend. Hongera sana mama
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 2 жыл бұрын
Mmachame mwenzangu👍🤗🤗🇸🇪🇸🇪🇸🇪
@winniejustine2051
@winniejustine2051 3 жыл бұрын
Duh ! Nimekupenda bureeee
@ludovicsaronganangawe2720
@ludovicsaronganangawe2720 2 жыл бұрын
Hongera sana, umewahamasisha watazamaji kuwa wabunifu
@alfeokaguo1663
@alfeokaguo1663 3 жыл бұрын
Hongera San mzungu wa kichaga kila ninapokusikiliza napata hamasa ya kufanya kazi na kujituma bila kusubilia ajira . Nakuubaaal San big up San
@marymathew6529
@marymathew6529 2 жыл бұрын
Hongera inaonesha hauruhusu fursa ikupite,hadi sunguraumeshafuga na bata pia, hongera sana tena sana.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Mashallah Mwenyezi Mungu akuzidishie. Unaishi na ndoto zangu Madam Mzungu.
@magrethkimonge7923
@magrethkimonge7923 2 жыл бұрын
Hongera sana Mzungu wa Kichaga,, naomba namba yako ya simu maana natamani kuja shambani kwako
@faboge
@faboge 2 жыл бұрын
the Swahili she speaks is enough to make you fall in love!
@smwansasu8605
@smwansasu8605 2 жыл бұрын
Fred O. she is married oh!!!!!
@Da_Gee
@Da_Gee 2 жыл бұрын
@@smwansasu8605 the pure Tanzanian Swahili. Thats how we speak in Tanzania.
@evachuwa3809
@evachuwa3809 3 жыл бұрын
Ongera sana wajina na Mchaga mwenzangu mimi Niki Arusha natamani sana kufuga kibiashara hakika
@SilasshijaMangu
@SilasshijaMangu 4 ай бұрын
Kwa iyo hao n kienyej pure dada
@rehemamfuru-kimu3246
@rehemamfuru-kimu3246 2 жыл бұрын
I.love this. Nimempenda sana huyu mchaga mwenzangu
@madamepilly6872
@madamepilly6872 2 жыл бұрын
Hongera sana,nami natamani sana kazi hii,Ila sina pahali pa kufugia,mungu akusimamie
@gooddeeds162
@gooddeeds162 Жыл бұрын
Kama upo tayari naweza kukusaidia eneo bure kwa mwaka mzima , Bure kabisa. Eneo lipo Bagamoyo Fukayose. Ningekukabidhi eka 1 utumie kwa mwaka mzima bure then baada ya hapo tuongee biasharA ya kulipia kila mwezi. Kama upo interested nambie. Asante
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 2 жыл бұрын
Nilipofanya hesabu ya 10,000 X 2500 X 7 X 4 kidogo ningeandika barua ya resignation. Barikiwa sana dada Mwnyezi Mungu aendelee kukusimamia..
@lauriankileo4433
@lauriankileo4433 2 жыл бұрын
Mzungu wa kichaga,hongera sana ninapatikana mbuyuni moshi.nipe mchapo.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 жыл бұрын
Ningependa kuja kujifunza kwako Mzungu Wa kichaga Mungu akubariki sana
@zainababas5139
@zainababas5139 2 жыл бұрын
Nàam nakupenda nitakutafuta mwenyezi mungu akupe afya njema
@wilberforceasumwa5220
@wilberforceasumwa5220 2 жыл бұрын
Really inspired by this story, am ajournalist too,who has ventured in poultry farming, two months old,started kuku wa mayai tatu, sasa hivi niko nao 45
@OsmanK699
@OsmanK699 2 жыл бұрын
Waah!! Mzungu wa kichaga apendeza sana. Kiswahili is such a beautiful language.
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Ongera sana ndugu mimi. Nimeaza na ufugaji wa mbuzi lakini niko. Oman nimekuja kutafuta pesa hili nijenge badalakuku naomba namba nikiludi tz nikutafute
@peterwamwandawiro8126
@peterwamwandawiro8126 3 жыл бұрын
God bless you more and more. Nitakuja tanzania kukutafuta siku moja. naitaji ujuzi wa kuku
@djdj3urj88
@djdj3urj88 2 жыл бұрын
Wee dada hii ndoto yangu mungu aniwezeshe
@mulhatramadhan9425
@mulhatramadhan9425 3 жыл бұрын
Kwa kweli nimekupenda sana mzungu wa kichaga, Allah akubarik kwa roho yko ya kipekee, nami nitajitahid inshaAllah.
@user-re3zl1uj2c
@user-re3zl1uj2c Жыл бұрын
Safi sana, Mini naguga kijijini ngambo Ukraine, Yani nymbani tunanguvu kali sana kwenye kilimo na nyanda zote za kiuchumi, Nawangalia weupe ninaoishinao yani hawatuzidi chochote sisi hatudhubut tu kufanya mambo makubwa kama utengenezaji viwanda mama, Nauwezo tunao akili tunazo, Maisha ni yale yale huku kijijini nilipo ni kama vile vile Africa. Lkn ufugaji ni wa milioni iwe nafaka au wanyama, bata batamzinga kuku na bustani ndogondogo kifamilia ni kama za Africa. Africa inatakiwa iwe ya kwanza duniani kwa sababu tuna human labour nyingi na yenye nguvu. Shujaa huyu kwenye hii podcast anamalengo ya kuuza nje, Kitu kibaya ni kama atatafuta hatua hiyo kupitia serikali, Maoni yangu ni bora apitie wafanya biashara wakubwa walio na ujuzi wa masoko ya nje, Kinacho ntia hudhuni tunadharauliana sana lAfrica.
@hellenmtei9149
@hellenmtei9149 2 жыл бұрын
Kuanzia Leo wewe ni role model wangu jaman! Sikuwah kufikiria Kama inawezekana hiv,am a journalist too, mwakan wa sita huu eti nasubir ajira,kumbe inawezekana!
@hilarymungure8590
@hilarymungure8590 3 жыл бұрын
Huyu dada anapenda kufuga kama mimi jmn
@fidesbenard2836
@fidesbenard2836 2 жыл бұрын
We acha tu Mimi mwenyewe napenda sana
@vitusdani4001
@vitusdani4001 3 жыл бұрын
Hongera mzungu wa kichaga nimehamasika sana
@ajay0528
@ajay0528 2 жыл бұрын
Imebidi niangalie upya she is amazing 🤩 sasa hawa ndio ma super woman 👩
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 жыл бұрын
Ktk maisha unaweza kupita njia unayo tegemea kukufikisha ktk malengo au nia yako lakini ikawa tofauti ikakukatisha hata tamaa lakini hili ufike malengo lazima upite hizo njia cha msingi utakiwi kukata tamaa nikujiongeza na kusubutu. Ubarikiwe mzungu Wa kichaga
@annasilayo1405
@annasilayo1405 2 жыл бұрын
Mwanamke wangu washoka super model wangu.
@neemamsisimsisi8440
@neemamsisimsisi8440 2 жыл бұрын
Big up San dad we nimfano wa kuigwa
@jumasabour5886
@jumasabour5886 3 жыл бұрын
big up, that is successful stories ..Am so admired to hear again and again. In fact Wish to be like you madam. lkn kwa mfano unaanza na kuku kumi unahitaji kupata banda la kukubwa gani
@faidaothman546
@faidaothman546 3 жыл бұрын
Nimeipenda storia yake mzungu wa kichaga ila mm nahitaji km anakitabu ambacho kinaonesh njia au jinsi alivyoanza na mpaka kufanikiwa ili na mm nipate kupita nyayo zake
@dismassmariki6985
@dismassmariki6985 2 жыл бұрын
Inatia moyo kukusikiliza, hongera sana dada, uko smart sana 🙏
@farajasallah2338
@farajasallah2338 2 жыл бұрын
Nimeongeza kitu, asante
@mohamedsayi7084
@mohamedsayi7084 2 жыл бұрын
Hongela Sana dada yang umetufumbia macho
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Masha Allah..napenda sana ufugaji huu.
@tianarest
@tianarest Жыл бұрын
Dada hongera sana ruwa nakutarame
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 2 жыл бұрын
Nakupenda sana mkulima mwenzangu
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 жыл бұрын
Mida ya jioni ndo mida ya kupandana 😂😂😂😂😂😂
@mussaramadhani5808
@mussaramadhani5808 2 жыл бұрын
Nice dada wa siha kwetu 💪💪💪
@angelsawere1114
@angelsawere1114 2 жыл бұрын
Wasiha tupo juuu
@meritha8424
@meritha8424 2 жыл бұрын
Dada nimekupenda wewe 😍😍 nitaiga mfano wako hakika
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Mimi nilikua mfugaji zamani lakini nilipata Green card kuja America lakini nimevutiwa sana na ufugaji wako Mungu akuongezee, Nikija Tz nitakutafuta namawazo ya kununua sehemu nifuge kuku wa kienyeji na tumai utafika maarifa iko siku ishallah. Ubarikiwe na kurespect sana huna stress hapo upeo na kuku wanatoa mawazo mabovu
@gilliardnkini2758
@gilliardnkini2758 2 жыл бұрын
Hongera sana Makileo. Mungu abariki sana kazi za mikono yako. Uko vizuri sana. Kaa na ohoo Makileo.
@benmusa1988
@benmusa1988 2 жыл бұрын
Wow! This mama is a pro. I couldn't stop looking at her. Beautiful, intelligent, humble and very educative. How I wish she were available for marriage. Ha!
@owenyatv9142
@owenyatv9142 2 жыл бұрын
naomba kuku moja dada yangu
@samsonthuo2996
@samsonthuo2996 2 жыл бұрын
kutoka kenya...nimeipenda hii sana.
@izraelyherman4467
@izraelyherman4467 2 жыл бұрын
Hongera na mm natamani kufuga sana kuku
@user-vp8yi1xe7l
@user-vp8yi1xe7l 7 ай бұрын
Hogers sanaa mzunguu
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Masha allah napenda sana ufugaji
@yaredymyenda5844
@yaredymyenda5844 3 жыл бұрын
kwa kweli dada kileo umenipachangamoto sana kuhusu mradi huu unapatikana wapi nataka kujifunza
@answardmsagati3045
@answardmsagati3045 2 жыл бұрын
Mbona wachaga huwa mnapenda kujisifia sana kila mtu anajua kutafuta pesa bwana
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 2 жыл бұрын
Sasa Msagati unataka kulinganisha mchaga na mnyalu? Tulia dawa iingie
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 2 жыл бұрын
We kubali aliyekupita kakupita tuu dawa ni kujifunza kutoka kwake sio kushindana.
@andrewkalubi3524
@andrewkalubi3524 2 жыл бұрын
mzungu wa kichaga ungetupa mawasiliano ingekua poa Sana kwa sisi wa mikoani
@evelynmsoma9787
@evelynmsoma9787 3 жыл бұрын
Hongera Dada,ila hujaweka mawasiliano yako
@wilsonkakanga538
@wilsonkakanga538 2 жыл бұрын
Hongera mpambanaji
@marrynyagawa6997
@marrynyagawa6997 2 жыл бұрын
Hongera sana dada
@user-rp1kf1yv2i
@user-rp1kf1yv2i 2 ай бұрын
Niko kwenye mandalizi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji na napatikana morogoro lakini mradi wangu naenda kuufanyie kahama naitaji ushauri na namna ya kukuona ili nijifunze zaidi
@naftarinyakimwe7951
@naftarinyakimwe7951 3 жыл бұрын
Asante, endelea kutupatia ushauli kuhusu chanjo zinazopaswa kwavifaranga na Dawa sahihi za kifaranga
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie
@geraldntalondo6110
@geraldntalondo6110 3 жыл бұрын
Nakuelewaga sana dadaangu.
@clintonnjiku3616
@clintonnjiku3616 3 жыл бұрын
Dadaa naitajii vifarangaa beii gan
@princessringo2879
@princessringo2879 2 жыл бұрын
Mbna unaniispire sasa😘😘😘
@salomerobert2816
@salomerobert2816 2 жыл бұрын
Nimependa natamani
@akeem1221
@akeem1221 2 жыл бұрын
Sasa ikiwa mambo ni hayo basi itabidi nirudi nyumbani mana hawa wazungu wananitita pressure humu. wala sioni mahali hela zinaenda.
@godfreymlanda5188
@godfreymlanda5188 3 жыл бұрын
Vizuri sana nami natamani kuanza
@saidsalum850
@saidsalum850 3 жыл бұрын
Hongera Sana dada
@innocentmushi4549
@innocentmushi4549 2 жыл бұрын
Kazi njema dadangu
@bensonlucas7607
@bensonlucas7607 3 жыл бұрын
Very Incaraging
@ngussamhingoarts8574
@ngussamhingoarts8574 Жыл бұрын
Hongera sana kwa ufugaji ws kuku hawa ni croila au pure kienyeji?
@stellakatega9617
@stellakatega9617 3 жыл бұрын
Big up👏👏👏
@esterjohn1277
@esterjohn1277 2 жыл бұрын
Naomba elimu zaidi kuhusu ufugaji dada
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 2 жыл бұрын
Dada katulia sana
@mussaramadhani5808
@mussaramadhani5808 2 жыл бұрын
Vzr ungetupa mawasiliano
@polycarppaschal9paschal478
@polycarppaschal9paschal478 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@januaryyotham8652
@januaryyotham8652 3 жыл бұрын
Kuku wa kienyeji wako taratibusan mpaka miez 7 had 8 kutaga.hao ni chotara
@braightonmalela2576
@braightonmalela2576 3 жыл бұрын
Hi nawezaje kukupata?unaweza kunisaidia kitu na mm.maana akili yangu inaugua sabab ya kufuga. Napenda mnoo
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Nimependa nichukue fundisho kutoka kwako
@faisalikassim3837
@faisalikassim3837 2 жыл бұрын
Masha allah
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Ninamaono hayo dada, lkn!
@munuoisaack418
@munuoisaack418 4 ай бұрын
Aina gani ya hao kuku wanaotaga baada ya miezi minne jamani naomba mnijulishe huku mnaojua
@mokeya
@mokeya 3 ай бұрын
Mh kumbe kuku anawez kulalia mayai bila ya kuatamia mwenyew duhh hapa ndo naanza kujua
@benitoilulatvpilla144
@benitoilulatvpilla144 2 жыл бұрын
Tunduma jakuna mbao umesahau nimafinga
@kekuandrew9497
@kekuandrew9497 Жыл бұрын
Dada samhani naomba no yako pia mimi ni mchaga naitwa keku
@jumahaji108
@jumahaji108 3 жыл бұрын
Nice💞👍
@kishm988
@kishm988 3 жыл бұрын
Safiii dada
@elizabethmanyara7119
@elizabethmanyara7119 2 жыл бұрын
Nafurahia mawazo yako dada, Mimi mkenya naishi Eldoret ningependa kuwasiliana na wewe tuongee biashara hasa vufaranga.
@munuoisaack418
@munuoisaack418 4 ай бұрын
Eva natamani kukuona niongee nawe kwa kina unisaidie kwenye hili eneo naomba msaada wako kama hitojali
@adinaniissa5310
@adinaniissa5310 2 жыл бұрын
Hongera Eva
@ohizafanuel8380
@ohizafanuel8380 3 жыл бұрын
Hongera. Tunakupataje mwanangu
@juliusmfangavo2926
@juliusmfangavo2926 3 жыл бұрын
Namba yako ya sim ni ya muhimu Sana tunakupataje Mtani?
@vailethmasaki3947
@vailethmasaki3947 2 жыл бұрын
Ongera msiha mwenzangu
@jimmykahindi9257
@jimmykahindi9257 6 ай бұрын
Nikitaka vifaraga mzungu vya kuroiler coz nko kenya
@gracenkongo199
@gracenkongo199 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kwako Asante.
@fundiazamdstvstartimes6556
@fundiazamdstvstartimes6556 3 жыл бұрын
Well done
@mmwaapamghambonyi7836
@mmwaapamghambonyi7836 2 жыл бұрын
Hustler nation!!!
@josephmalisa2987
@josephmalisa2987 2 жыл бұрын
Chamecha mae!
@ConsolataChafu
@ConsolataChafu 14 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@catherinelandas1938
@catherinelandas1938 11 ай бұрын
We dada n mfano wa kuigwa
@nkawagalogistics6164
@nkawagalogistics6164 3 жыл бұрын
Hongela dada natamani kazi yako , can you please help me
@godfreymlanda5188
@godfreymlanda5188 3 жыл бұрын
Masomo yanachelewa sana tuleteeni bas
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Mimi napenda kufuga sana ila kuku wanakufa mno
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Ufugaji wa Kuku kwa njia za Asili
8:00
Mkulima Market
Рет қаралды 25 М.
Faida ya kuku wa mayai 1000 kwa siku [Part 1]
11:04
Layers Pro
Рет қаралды 7 М.
Mzungu wa Kichaga Mtaalamu wa Ufugaji Kuku wa Kienyeji
5:47
Mkulima Market
Рет қаралды 93 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42