Пікірлер
@EnockNanyaro-lk1zi
@EnockNanyaro-lk1zi 4 күн бұрын
Poleni sana familia
@aureliasambu3024
@aureliasambu3024 15 күн бұрын
Asante sana mheshimiwa raisi wetu kuwainua wakulima nampongeza
@AyoubMatabala-zf6oi
@AyoubMatabala-zf6oi 17 күн бұрын
Nikweli Mkuu haya mambo yameshamiri kweli tunaomba wananchi kila mtanzania tuyafichue makosa haya❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 18 күн бұрын
❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 23 күн бұрын
Chakula ni muhimu saana kwani, amani iliyoko kwenye jamii inachagizwa na uwepo wa chakula
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 25 күн бұрын
Msigwa ww ni mnafiki wa kutupwa hata mnaomsikiliza hamna kazi.
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 26 күн бұрын
Lengo ni kuhakikisha wakulima wetu wanaongeza kipato..❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 27 күн бұрын
Mpira wa Miguu ni mchezo wa wazi, muda utazungumza
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 27 күн бұрын
Mh. Waziri hii imeendaa
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 28 күн бұрын
Poleni Kwa familia Mungu awape uvumilivu katika kipinndi kizito kwenu
@user-ld6ec3zq9j
@user-ld6ec3zq9j 28 күн бұрын
Sawa wewe sindio mke wa kocha ?
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 28 күн бұрын
Huyu coacher atapigwa na costo na kufukuzwa mjiandae
@Katalina691
@Katalina691 27 күн бұрын
@@charlesmakuri792 Haaaaaaaa......!
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 29 күн бұрын
😢😢😢😢
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Ni kweli hatua kubwa
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Hongera wakili msomi ❤
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 Ай бұрын
NICE
@Katalina691
@Katalina691 Ай бұрын
Ahsante,
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Huyu brother ni very talented.
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Sukari ni tatizo sugu nchi hii japo kuwa tuna mabonde ya kutosha ila hongera kwenu wawekezaji.
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 Ай бұрын
Like❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Akaribie tuy hapa kwetu ifoza
@Katalina691
@Katalina691 Ай бұрын
@@KondradiLiunguluma Ndio mjitokeze kwa Wingi Kuanzia Mapokezi.
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 Ай бұрын
🎉👍kazi nzuri
@Katalina691
@Katalina691 Ай бұрын
Ahsante sana Ndugu
@Katalina691
@Katalina691 Ай бұрын
Ahsante sana ndugu
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Usimamizi na ufuatiliaji wa mradi wowote ni muhimu saana.
@Katalina691
@Katalina691 Ай бұрын
Kweli kabisa
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Hii iko vema
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
❤❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Watani wajipange this time Simba hatutaki utani tenaaaah.
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Nataman kuona mnalifanya kwa mapana zaidi ❤❤
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma Ай бұрын
Kiongozi jitihada zako tunaziona vizuri saana
@AyoubMatabala-zf6oi
@AyoubMatabala-zf6oi Ай бұрын
Hongera sana kwake Mungu amzidishie
@MichaelKyelula
@MichaelKyelula 2 ай бұрын
Saf mkuu wa wilaya kazi iendelee
@MichaelKyelula
@MichaelKyelula 2 ай бұрын
Wakwetu ndo chanel yetu kaz nzuri aisee kwakutujuza habar
@MichaelKyelula
@MichaelKyelula 2 ай бұрын
Safiiiiiii ❤❤❤❤
@MichaelKyelula
@MichaelKyelula 2 ай бұрын
Kaz nzuri nimejifunza na kuchukua ubunifu kupitia mafunzo hayo
@AyoubMatabala-zf6oi
@AyoubMatabala-zf6oi 2 ай бұрын
❤nimeipenda
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 ай бұрын
Wanazuga tu tangu lini mataifa ya wamagharibi yakapenda mwafrika? Ni kwa sababu ya maslahi tu.
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 2 ай бұрын
Yani wazungu ukiwa upande wao, utapewa sifa zote
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 ай бұрын
Ni kweli lakini Tanzania haifungamani na upande wowote
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 2 ай бұрын
Waoooh ❤❤
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
AWF Hongerani kwa sapoti jamii na taifa linatambua mchango wenu.
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Kazi nzuri. Nipongeze Taasisi zetu kweli kazi mnafanya hasa zile zinazohusu hasa watoto.(Ulinzi na usalama wa watoto) Mkuu wa wilaya Pongezi sana Kwa kugusia swala la maadili,mila na desturi zetu
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 2 ай бұрын
Huo ndio ukweli
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Kazi nzuri. Ukatili hakubaliki.
@Katalina691
@Katalina691 2 ай бұрын
Ukatili unapaswa kukemewa na kila Mmoja wetu.
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Wilaya ya Kilombero tumepata jembe. Tuungane kupinga UKATILI WA KIJINSIA
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Nani kama mama?Tuko na mama Kumwezesha mtoto wa kike umeikoa jamii nzima mwa.
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Wakwetu online Hongera kwa kazi nzuri na kuchukua habari kwa wakati.
@Katalina691
@Katalina691 2 ай бұрын
Ahsante sana karibu Endelea kutufuatilia.
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Asante sana
@Katalina691
@Katalina691 2 ай бұрын
Karibu sana.
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 2 ай бұрын
Wazazi/walezi tuwajenge Watoto kimaadili,kimaarifa na kujishughulisha na kuacha tabia yakujipatia pesa kwa njia isiyo kua halali.Mkuu wa wilaya kiukweli tumepata Jembe. Mungu aendelee kumpa afya.
@Katalina691
@Katalina691 2 ай бұрын
Kwakweli Malezi ndio yataamua upate kijana wa aina gani siku zijazo.
@KondradiLiunguluma
@KondradiLiunguluma 2 ай бұрын
Ukatili dhidi ya watoto ni janga katika jamii cha msingi jamii ni kukemea yote yanayo waathiri watoto
@Katalina691
@Katalina691 2 ай бұрын
Hakika hili si la kufumbia Macho.