Рет қаралды 607
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Maagizo hayo Leo August 5,2024 Akiwa katika Mkutano wa Hadhara Viwanja vya CCM Tangani Katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara kufuatia Kilio cha Bei ndogo ya Zao la Mpunga inayowanufaisha Madalali Kiasi cha Tsh 570 Kg 1(@Katalina691