Mashalah mungu amfutie mazambi yake pale alipotereza
@rjqaasam458710 сағат бұрын
Hakika hilo ni jambo zuri kabisa جزاهم الله خيرا
@user-yh5fu5lo9r11 сағат бұрын
Jirongo ivi wewe nae nimtu au mtumba Huoni kuwa Allah ndio alileta hiyo habari sasa Abraham hakuwepo anasemewe hii nikauli taarifa Tena anasema nime ona ktk ndoto walasio kwa tafsiri Yako hio chafu unapingana Mungu wako kafiri wewe
@user-pu6pr5jt4n12 сағат бұрын
Bismillah mashalah 😢😢😢
@SaidKondo-rw8wb13 сағат бұрын
Bidaa Haina mipaka dada,mshafungua mlango huko wa kuruhusu bidaa inabidi muendeleee,sababu kubwa hakuna uthibiti wa Aya wala hadithi kuwa dufu liwaje liwaje,
@user-es2yt1jc4i14 сағат бұрын
Masha Allah naomba tu mniombee dua niweze pata iman kwaqouran iyi ndio dua yangu
@KasalamaAlly15 сағат бұрын
Imma Lilah wainna ilayhi rajiun mpaka magita walokole kwisha kazi
@soumaouamara519116 сағат бұрын
machaloihou yarabi adoi adoi hou baraka Barak viv madrasa
@Al.habeebAl.habaaib16 сағат бұрын
Maashaallah sheikh kishki
@MuktazisaalimMuktazisaalim16 сағат бұрын
Dah namuona sheikh songor Allah amfanyie wepes apo kaburin
Daah anamdhalilisha kwenye watu wengi hivo Allah amsamehe uyo jamaa
@user-cy1od5xr8xКүн бұрын
Muhammad Bachu bhana😂😂😂
@salamasalimu7924Күн бұрын
Maashaallah
@salamasalimu7924Күн бұрын
Mashaallah
@SKY-fk3fzКүн бұрын
Mashaallah
@engineertuwere6028Күн бұрын
MaashaAllah Mola akuongoze kipenzi chetu
@maalimhemedsalumuКүн бұрын
Shekh Nurdin na mwalimu wangu Marehu Ahmad ❤
@bimumaulid1171Күн бұрын
Mimi alinisomesha madrass mtaa Yombo kwa sheikh Adam ,Ustaadh Nurdin alinichapa sana viboko na Ustaadhi Ahmad naye marehem nae, nawaombea dua sana mungu atawalipa ya kheir
@JumaupndaКүн бұрын
maa shaa allwaah. kaka ustadhi Nurdin wewe ni nondo. allwah akuhifadhi. mimi naitwa ustadhi Juma Yasini tulikuwa pamoja mimi nilikuwa nasoma RAUDHWA ya tandika kwa almarhuum shekhe Omari. mimi sikuwepo hapo ila niliwahi kule magomeni . Allwaah amrehemu shekhe wetu Adamu bin Ahmad na mashekhe wetu wote waliotangulia mbele yaki. amiiin
@hamisishabani4072Күн бұрын
NAAM SWADAQTA!!
@hamisishabani4072Күн бұрын
MAA SHAA ALLAH!!! INAPENDEZA NA INAVUTIA SANA.ALLAH ATUZIDISHIE MAPENZI YA KUENDELEA KUMPENDA MTUME WETU MTUKUFU,MBORA WA VIUMBE,MTUKUFU WA DARAJA,RAHMA KWA WALIMWENGU WOTE.MTEME WETU MUHAMMAD SWALLA LLAHU ALAIHI WA SSALLAM.
Radhii za wazee haipotei tafakarini mnaoleta hoja nyingi hapa
@hamisishabani4072Күн бұрын
MAA SHAA ALLAH!! TUNA MUOMBA AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI,PEPO YA DARJA FIRDAUS SHEIKH WETU,BABA YETU,SHEIKH ADAM PAMOJA NA WAZAZI WAKE WOTE.TUNAMUOMBA ALLAH AWAJAALIE WATOTO WAKE NA MAMA YAO NAO AWAJAALIE MWISHO MWEMA.AWAJAALIE AWAPE NGUVU NA AFYA NJEMA YA KUMUENZI BABA YAO,MZEE WETU MARUHUM SHEIKH ADAMU,KAMA ALIVYO IENZI QUR'AN TUKUFU.TUNAMUOMBA AWAZIDISHIE UTUKUFU,HAPA DUNIANI NA AKHERA!! AAMIIN!!!
@FathiyaAlshidhaniКүн бұрын
إنا لله وانا اليه راجعون 😭😭😭البقاء الله
@FathiyaAlshidhaniКүн бұрын
ماشآءالله 😭😭😭😭😭
@EmanuelShija-id1swКүн бұрын
Hananja unafaa Kila sehemu
@ramadhandiwani34102 күн бұрын
Huyu alhadi katania lkn kama anajambo kwa mwenzie
@surusuru19942 күн бұрын
Masha Allah kondoa😘😘🤲
@suleimanmakame30292 күн бұрын
MaashaaAllah
@user-ui4oh8gf8n2 күн бұрын
Watu wa heri.Mzee kaacha sadakatul jalia.Alhamdullilah