Mashaallah,, mungu ampe kauli thabiti shekh wetu, Hakika sote tutarejea
@HarunaFursana5 ай бұрын
Masha Allah naomba tu mniombee dua niweze pata iman kwaqouran iyi ndio dua yangu
@hamisishabani40725 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH!! TUNA MUOMBA AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI,PEPO YA DARJA FIRDAUS SHEIKH WETU,BABA YETU,SHEIKH ADAM PAMOJA NA WAZAZI WAKE WOTE.TUNAMUOMBA ALLAH AWAJAALIE WATOTO WAKE NA MAMA YAO NAO AWAJAALIE MWISHO MWEMA.AWAJAALIE AWAPE NGUVU NA AFYA NJEMA YA KUMUENZI BABA YAO,MZEE WETU MARUHUM SHEIKH ADAMU,KAMA ALIVYO IENZI QUR'AN TUKUFU.TUNAMUOMBA AWAZIDISHIE UTUKUFU,HAPA DUNIANI NA AKHERA!! AAMIIN!!!
@mejajuma42834 ай бұрын
Pole sana brother Masudi. Allah amrehemu mzee wetu. Na akuhifadhi. Aamiin.
@hamadibujafar22284 ай бұрын
Masoud Allah akupe Subra kubwa kwa kuondokewa na baba yako na hongera sana umetekeleza alichokuusia baba yako hakika umeweza big up sana.
@SALIMUMSAGAT3 ай бұрын
I'm here again on 4th of sept 24...There is nothing recital is sweet than Qur'an ❤
@Zakhiamadahason3 ай бұрын
AllAh AKBAR AllAhuma ghufirillAhu warahamahu waaskanalfiljjannah 😢😢
@mohamedindalo26633 ай бұрын
Mashallah. Ya Allah mm nimeshindwa kusoma Quran kma hv . Nakuomba unipe ruzuku kizazi ambacho kina soma Quran kma hiv mm nilitamani sana kusoma kma hiv nasoma kawaida tu
@AllyHaj-t2nАй бұрын
Amin
@rayaalkhayfy20265 ай бұрын
Alhamdulillah Allah ampe kauli thabit na sisi tupo nyuma yao Allah atupe husnil Khatima Ameen
@mohammedrajabumwamba13224 ай бұрын
Allah ampe kheri na barka tele sheikh wetu inshaallah Amiin🙏
@suleimanabdullahelnabahan52455 ай бұрын
Allah akuzidishie subra ust wangu na amsameh makosa yake baba yetu mwalimu wetu allahumma amiin
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Mashallaah. M.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ishaallah
@MaulidiNchasi4 ай бұрын
Allah awape subra Familia Allah amjalie marehem makaz mema na kauli Thabit
@alikhamis45922 ай бұрын
MashaAllah, lkn asinywe kwa Mkono wa kushoto, On top of that Allah amzidishie kipaji alichompa 🎉
@Dalaman104 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Rahman. Allah amjaalie marehem jannatul firdous in sha Allah. Makosa ya wasikilizaji kuzungumza upuuzi wakati Qur-an ikisomwa. Ilikua wake kimnya sio kejeli za dola Mia na mazungumzo ya upuuzi. Manara usipeleke upuuzi wako mpaka misikitini
@sophiamtego78875 ай бұрын
Mashallah MwenyeziMungu ampe kauli thabit
@KasalamaAlly5 ай бұрын
Allah umlaze sheikh wetu mahala pema peponi aaamina
@BimkubwaOthman5 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah mashallah hasbiyallah wanighma lwakiil Allah azidi kukupa nguvu na subra ya hali ya juu kwa msiba mzito wa Baba kipenxi
@HassaniAbdi-l6c5 ай бұрын
Allaah akupe subir 😭😭😭🤲
@armoursalim32925 ай бұрын
Mashaallah kaka Masoud pole sana kwa msiba mzito.
@Fatama12-ec1pm5 ай бұрын
Mashallah kaacha watoto wemaa Allah awahifadhi inshallah
@SALIMUMSAGAT3 ай бұрын
I bring tears when watching this every time..
@aminamrisho88784 ай бұрын
Mashaallah...Allah awalipe malipo mema na mwisho mwema 😢
@HolidayHaven15 ай бұрын
Allah atujaalie katika watu wema,ukimuona kijana utadhani bishoo flani kumbe mashallah
@sumaiyahmwinyiamani28625 ай бұрын
Allah anipe maisha yakheri duniani nikifa wanazuon namaulamaa wajae kama hivi inshallah
@MogelaMohammed4 ай бұрын
Mwenyez mungu amrehemu sheikh wetu
@jumamohamed48085 ай бұрын
Allah akbar Allah amrehem sheikh MashaAllah msomaji
@AminaKassim-ni9wd5 ай бұрын
Wallah kakaangu unamalipo makubwa sana kwa Allah juu ya subira yako nakuombea na pia baba amewalea ma'shaallah Allah amuweke maali pema peponi i😢😢😢😢
@AishaIssa-ld8lw5 ай бұрын
Amiiin
@Nuru_Maftah2 ай бұрын
Alama za watu wema…!! Allah tujaalie tuwe miongoni mwao yaarabi 🤲…!!
@Fatama12-ec1pm5 ай бұрын
Mashallah jaman naona pepo ya firdausii ipoo kwahuyuu mzee Allah ampe pepo nlinshallah
@HassanSadiki-l5c5 ай бұрын
Insha Allah Aaamin
@mohamedisimai5 ай бұрын
Allahu atupe kwa sote
@AshaMngindo5 ай бұрын
Mashalah mungu amfutie mazambi yake pale alipotereza
اللهم غفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس
@saidhassanahmed45 ай бұрын
Mh mashallah uyu msomaji ni bingwa mungu amuweke sijui mwalimu wake nani aliemfundisha quran yani mpaka nimelia
@HasaniJuma-ew2kw5 ай бұрын
BABA ake aliye kufa😊
@AdamRajab-xd3zg5 ай бұрын
Hapo anasoma kutekeleza usia wa babayake akifa akiwa anatolewa ndani na jeneza asome qur an
@saidhassanahmed45 ай бұрын
Da mungu amulipe firdaus mwachuoni wetu pamoja na mtume muhamad kaacha mtu sijaona msomaji kama uyu tanzania da babaake kaacha mtu mungu almlinde msomaji na husda za watu
@seifseifmohamed71185 ай бұрын
Sheikh Masoud Adam amelelewa na Alhabibu Sharif Hussein bin Sharif Ahmad Badawy ni kaka wa Sheikh letu Mwenye Baba yaani Alhabibu Sharif Ahmad Ahmad Badawy.
@omaryjumbe14v85 ай бұрын
Mwlm wake ni pamoja na baba ake ambae ndio marehemu lakini mbali na baba ake na sherif husaini badawi pia ni mwl wake
@HassanIdrisa-uo6qc5 ай бұрын
Mashallah
@khadijadaudi53585 ай бұрын
Wallaah nimelia poleni wajomba zangu poleni sana masoud mume wa aunt yanguu😢😢😢😢
@AzaAzamhmod5 ай бұрын
Bismillah mashalah 😢😢😢
@ShekhaIssa-pg7uu5 ай бұрын
Allah akihifadhi akupe subra Allah izeed maashaallah
@fereshysiu51555 ай бұрын
Masha Allah
@BimkubwaOthman5 ай бұрын
Allah axidi kuwapa subra juu ya kipindi hichi kigumu cha msiba Kwan yy mbele na sisi tuko nyuma yake انا الله وانا إليه راجعون اللهم غفرله ورحمه وسكنه فل جنه
Innallillah wainna illah rajiuun Allah (sw) ampunguzie joto la kaburi inshaallah na ampe pepo amin
@mohamedisimai5 ай бұрын
Sio apunguziwe bali aondoshewe adhabu za huko aliko
@SabraAbdilnasir5 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@MaulidiNchasi4 ай бұрын
Nimejikuta Nalia😭😭😭
@shafiimsofe99754 ай бұрын
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun
@SalmaZainab-nh5id5 ай бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun
@HuzeifaMsomaliАй бұрын
اِنَّمَا يَخْشَى اللّٰهَ مِنْ عِبَادِهِ الْعُلَمٰۤؤُاۗ اِنَّ اللّٰهَ عَزِيْزٌ غَفُوْرٌ Kwa hakika wanao mcha Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wanazuoni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe. 35:28
@FathiyaAlshidhani5 ай бұрын
ماشآءالله 😭😭😭😭😭
@moudy4realibrahim6015 ай бұрын
Mashaa Allah Tabarakah Allah Mashaa Allah Tabarakah Allah Mashaa Allah Tabarakah Allah
@maftahmusa95135 ай бұрын
Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun. من يعيش منكم فسيرا اختلاف كثيرا...الحديث katk hadithi ndefu mtume saw alisema atakayekua na maisha merefu miongoni mwenu ataona tofouti(uzushi)mwingi 😮😮😮 Subhana LLah
@fatnasaidi30275 ай бұрын
Wewe ndiyo mzushi
@maftahmusa95135 ай бұрын
@@fatnasaidi3027 wewe chunga mdomo wako mimi nimenakiri kauli ya Mtume si maneno yangu fikiria kabla ya kuropoka
@baytumuqqaddas5 ай бұрын
Wewe ndio mzushi mkubwa
@abdullabdull57715 ай бұрын
Uzushi wameufanya ni dini, na hata kama ingekua hilo wanalofanya sio uzushi je hivi ndivyo ambavyo mtume ametufundisha kufanya quran inavyosomwa
@maftahmusa95135 ай бұрын
@@fatnasaidi3027 chunga sana kuropoka kilichonakiriwa hapo ni hadithi sahihi ya mtume
@ibnkhaldoun96945 ай бұрын
HATUNA LA KUSEMA ZAIDI YA KUSHUKURU NA KUJIFUNGAMANISHA NA SWABR.KWA HAKIKA TUNAONDOKEWA NA WALEZI WETU AMBAO KWETU NDIO KILA KITU.INNAA LILLAAH WA INNAA ILAYH RAAJIUUN.
@mohammedyussuph68485 ай бұрын
Watanzania ubishoo mpaka kwenye QURAN SUBHANALLAH,hakuna hâta mmoja ajuae aya zinazosomwa
@issabaruani44335 ай бұрын
Wewe ungeamua kuweka tafsiri ili upate thawabu
@ziadayasin7115 ай бұрын
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake
@BimkubwaJuma-ew5dg5 ай бұрын
Mungu amjaalie akutane na bwana mtume naangie kwenye pepo ya daraja la juuu kabisa
@HasnatMustafa-n1q5 ай бұрын
😢 mashallah
@HuzeifaMsomaliАй бұрын
Hakika wale wanao soma Kitabu cha Mwenyezi Mungu, na wakashika Sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga. 35:29
@ZuhraBizuu5 ай бұрын
Alla amlaze pema peponi nasi atujaalie mwisho mwema
😢😢😢😢😢Innalillah wainnaillaih rajiun 😢😢😢😢 Allah humma ghufirrilin 😢😢🙏
@HuzeifaMsomaliАй бұрын
Ili Yeye awalipe ujira wao kwa ukamilifu, na awazidishie kutokana na fadhila zake. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe Mwenye shukrani. 35:30
@HameedAlawi-ju5ub5 ай бұрын
Innalilahi wainnailayhi raji'un 😢
@CubeedCali5 ай бұрын
رحم الله شيخنا
@hamadimussa21195 ай бұрын
Innaalillaah wainnaailaih raajiuun, qur an inasomwa watu wanashangilia, Allaah anasema qur aan inaposomwa tuisikilize, mcheni Allaah ahal bid'aa
@hamisisalimu69085 ай бұрын
Na nyinyi ilmu fupi
@HassanSadiki-l5c5 ай бұрын
Duh....Allah anasema itakapo somwa Quran tulieni na mskilize... Ila usisahau Mtume(s.a.w) Anatuambia atakapo fanya kitu kizuri bas msifuni Allah kw takbir na mpe PONGEZI (Masha Allah)anaye fanya mwisho umuombee Dua.... Na ss waislam tuishishi kw Quran na Sunnah.. ". Tuacheni bidaa juu ya bidaa ""
@mohamedisimai5 ай бұрын
Kwani huisikii au ulijuaje ka qoran hiyo
@mohamedisimai5 ай бұрын
@@HassanSadiki-l5csasa ukiona kuna shida unaisikilizia nn si ondoka
Allha warehem ndugu zetu na wazazi wetu waliotangulia mbele za haki Aamiin
@omarymnuru87465 ай бұрын
Amin rabil alamin
@abiiajmi23993 ай бұрын
😢😢😢
@AhmadDobany965 ай бұрын
Misiba ya wanawazuoni ni harusi.. mwenyezimungu amuweke pema shekhe adamu
@MwanaishaShattry5 ай бұрын
Sipendi watu inaposomwa Quraan wengine anapiga makelele haifai. Mnatakaiwa make kimya na mzingatie kinachosomwa.
@Mumewangu5 ай бұрын
@@MwanaishaShattry kweli kabisa kipenz
@broganbig66515 ай бұрын
Kabisa mwalimu mara zote akifa mwanazuoni huwa ni fufaha na majonzi kwa wakati mmoja
@mohamedhamismagoraonlinetv4595 ай бұрын
@@MwanaishaShattryHawapigi kelele wanamdhukuru Allah na kufurahia. Ktk vituo anaposimama
@mumking89855 ай бұрын
Allah amrehemu Sheikh wetu amjalie jannatul firdaus Amiin
@AbdulSongoro5 ай бұрын
Allha mfungulie milango ya Pepo mjawaku huyu Kwa kazi kubwa ya kujitolea kulingania dini
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Mtulila nendaaa kwa Sheikh Massoud ukachukuwe mavitu uongezee hukoooo
@Juma-z2g5 ай бұрын
Allah akupe Subra ktk kipindi Hiki kigum
@mailacamillius5 ай бұрын
Kuna tofauti kati ya qur'an inayosomwa kwenye huzuni za mazishi na misiba na qur'an inayosomwa kwenye mashindano au hafla za furaha. Masauti ya tajweed yana kanuni zake. Na wasikilizaji wanatakiwa kuchunga nidhamu zao kwa mazingira husika. Tuna masauti ya huzuni, na yale ya furaha. Na kuna ufundi wa kutia huzuni katika kila sauti pia. Tujifunzeni kwa Waarabu, hasa Misri. Anafariki mwalimu wa tajweed, inasomwa kwa huzuni na hakuna makelele wala kucheka cheka.
@anifasekumbo92735 ай бұрын
je hivyo ndivyo alivyofundisha Mtume wetu au ni uzushi pia nieleweshe
@abdallahkassim76025 ай бұрын
Inna Lillah wainna illahi rajiun Allah ampe qauli thabit
@Legends_Interviews5 ай бұрын
MashaAllah
@Chuwa_official5 ай бұрын
🕋🕋🕋
@Shafikimanga75 ай бұрын
Machungu hayana mfano isipokuwa wanaimani na mwisho mwema. Hao ndio waliofaulu, Allah awalipe na awatie nguvu
@hamisisalimu69085 ай бұрын
Hivi huoni kwamba Quran yetu ina miujiza, inaujumbe kila nafsi inapokea kivyake, wengine wanalia wengine wanafurahi