Si siri simulizi ni kio cha jamii...kupitia kwa simulizi hizi nimejifunza mambo mengi sana hasa tabia za wanajeshi ..kamwa siwezi mkubali mwanangu kufanya kazi ya polisi..jeshi na siasa..uovu mtupu..thanks Felix
@khadijasayeed338110 сағат бұрын
Majidiii😂😂😂😂😂
@OmaryMlacha-se2bg10 сағат бұрын
Gobore jamani
@AishaOthumani-xq4ec11 сағат бұрын
Atimae temu joramu na Ana na inspecta kombo wamepeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿 💖 asanteni sana simulizi mix nawapendaa❤❤❤❤
@Pretty2275011 сағат бұрын
😂😂😂😂mbona hii simulizi ni km filamu moja ya kishua,yani drama si km drama acha nicheke maana mm nimebakia kuwa mtazamaji wa mapenzi, anyway shukran simulizi kwa simulizi nzuri tena yenye mafunzo,afu nimekumbuka mlituahidi kutuwekea movie ya SOL
@asiakhamissalim231911 сағат бұрын
Yaani hii stor ingeitwa machizi wa mapenz ingezidi kupendeza ha cjawahi ona wallahi tena
@nurafedrick37811 сағат бұрын
😂😂😂😂😂nacheka kama mazuri jamani etii Remmy mahraa anakusubiri kwanyumbaa ..Remmy kavurugwaaa Mama mwambie tukutane makaburini😂😂😂😂jamani kazi ipo huyu mahira mwenyewee anavyoo jishaua bs kwa mama mkweeee haha sijui atamuoa yy mana sio kwakumpigania campeni hivyoo mama Remmy
@Pretty2275011 сағат бұрын
Kah 😮nyieee kwn Sandra na mamake wana undugu na Lucifer? 🤔kuuwa tena kiumbe kisicho na hatia ee Mungu binadamu km hawa qweli hawafai 🤮😞
@user-fg1xi6ss3e11 сағат бұрын
Jamani walahi iko vizuri sana
@user-ez6cy4pj8z12 сағат бұрын
Shukuran Felix..
@Pretty2275012 сағат бұрын
Where is this friend of mine alisema mapenzi ya kaudhal sio mapenzi bali ni ujinga asikilize sasa Remy kafa kaoza kwa mtu yuko kitandani na hajui km atapona ama atafariki mpaka kasema mahira akamsubirie makaburini maana amekufa,hapa natumai kunq Jambo la kujifunza mapenzi yakiamua kukupeleka mahali yatakupeleka mpaka kwingine mpaka Dunia ikushangae na mtu asione km ni big deal wallah 😊❤
@user-yk8em1bh8g13 сағат бұрын
❤❤❤
@mourinejebetkibor290313 сағат бұрын
😢kama kupenda hivi wacha nife single
@reginachangala990713 сағат бұрын
Kama taahira uyo kauthali
@scollamwanisisi273913 сағат бұрын
Oyooooooooooooooooooooo Jensen
@lonakirao527513 сағат бұрын
Ikiwa Majid atakubali kumuua mwanawe atakuwa nimjinga kuliko hata kauthali maan ukweli upo wazi kwamba Sandra sio mtu sahihi lakin yy yupo tu kama kondoo mlemavu ,jinga kabisa
@raudhwaMohammed14 сағат бұрын
Asanti kwa star nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@raudhwaMohammed14 сағат бұрын
Asanti kwa star nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@raudhwaMohammed14 сағат бұрын
❤
@MwanaidiKashoda14 сағат бұрын
Katrina mungu anakuona
@MwanaMpole-mo5di14 сағат бұрын
Present sir thank ones again ❤
@Wakiomiss.7814 сағат бұрын
🔥🔥🔥💃
@salmazwallo592014 сағат бұрын
Mmmmhhh fahani 😢😢😢😢😢 mungu anakuonaa kwa kweli
@StellahLivogah15 сағат бұрын
Gobole jaman sijui limeixha risasi??naomba mungu lipone tuendelee😢😢
@reginachangala990713 сағат бұрын
😂😂😂 kabisa
@swabrinamwaka243715 сағат бұрын
❤❤❤❤🎉
@halimashaib910215 сағат бұрын
Sema kuwapita Leo. Mumezoea nikiwa wa mwisho. Nko chonjo Sana
@kibibikombe920315 сағат бұрын
Safi sanaa
@eddydady733115 сағат бұрын
No one to comment ..... 🎉
@zenaathumani814415 сағат бұрын
Wakwanza likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@zenaathumani814414 сағат бұрын
Shenzi kabisa huyu kauthali jamani anatia aibu sana katika jamii ya wanawake daaah 😮😮😮😮