Nadhani shida ni Muslim Welfare, hii ni haki ya kiislam, lakini uhuru uliopatikana kwa ajili ya tanzania yote. Isitafsirike kwamba ilikuwa ni kikwazo kwa jamii fulani, kwani ziliruhusiwa taasisi za dini za ndani. Muungano wa taasisi ktk East Africa nadhani ilikuwa na shaka kiusalama na umoja wa kitaifa. Nadhani vizuri wangeweka nguvu walizonazo kwa ajili ya kujenga taasisi ndani ya nchi.
@MwinyiJuma-n4i25 күн бұрын
Jamani uslam raha sio raha??? Waislam tusimame kupigania haki kama kijana wakati ndio huu " BAKWATA" ni baraza la kukandamiza waislam tanzania hivyo ndivyo alivyomaanisha Nyerere. Ifikie wakati selikali ituachie uislam wetu unasheria zake sio watuzalilishe
@SultanMwalimАй бұрын
A.aleykum kama bakwata ndio tatizo la waislamu wa Tanzania tufanye nini
@nabilnassur707Ай бұрын
Alllah amjaalie janat firdaus
@Space-f9yАй бұрын
Nyerere alisema mambo ya waislamu yasemwe msikitini na sio kwa umma wote wa watanzania kwasababu watanzania hawana dini
@joachimmapunda41252 ай бұрын
Nyerere aliiona hii hatari mapema sana. Mungu amsamehe dhambi zake
@MohamediNgoge2 ай бұрын
Allah amsamehi alikufa ktk ushirikina
@joachimmapunda41252 ай бұрын
Ni mtazamo wako. Ni vile umefundishwa.
@tam52622 ай бұрын
Wazee wakiislam mbona mlishindwa kuongoza kuleta Uhuru wenyewe mpaka mzanaki??!
@ibrahimgwasma12233 ай бұрын
Umesema TANU ilikuwa ya Waislamu Je Dini zingine hazikuepo kabisa wkt huo? Na kusema 76% ya wabunge ni Wakristo wa katoliki je wanapataje huo ubunge wanachaguliwa na wakatoliki?
@adaNahimana-y7b3 ай бұрын
HK Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM 155 22 Ni Adam Toka Ubelgiji
@adaNahimana-y7b3 ай бұрын
HK 155 Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM Kwamaana Hivyo Serekali Ina Dini
@adaNahimana-y7b3 ай бұрын
Kh 155
@emmanuelnjelekela62993 ай бұрын
Hii ni Africa mambo ya din waachie waarabu hapa kaz tu!!! Kwajiyo mlikua mnapigania uhuru ili muifanye nchi kua ya kidin? Na kama Nyerere angelua mdin c angewaacha waingereza maana n wakristo? Kifupi Nyerere aliwajua malengo yenu ya kuleta udin ktk nch ndo maana akawafuta ktk history na wengine kuwakamata maana angewachekea tusingekua na serikali yenye nguvu kama kama hii tulonayo na ninyi mnapaswa kudhibitiwa ipasavyo sio wakuchekewa hata kidogo !!!
@raymondjohn37984 ай бұрын
Kwa Mimi binafsi siamini kwamba tatizo Ni udini,Ila Naona tu tatizo niwazee wenyewe,Kwa sababu kama Kuna upendo nasisi wote niwamoja hapawezi kuwa nakutoelewana!!,Dini kila mtu anaweza kuamini anavyotaka,Ila Mzee Abdul Sykes nimtu mkubwa Sana,mwenye mchango mkubwa katika taifa la Tanzania,hawezi kuwekwa pembeni hata siku moja,Kumtaja mtu mmoja Tu katika history hiyo haikubaliki kabisa,Lakini ukweli utajulikana Tu.
@raymondjohn37984 ай бұрын
Kwa Mimi binafsi siamini kwamba tatizo Ni udini,Ila Naona tu tatizo niwazee wenyewe,Kwa sababu kama Kuna upendo nasisi wote niwamoja hapawezi kuwa nakutoelewana!!,Dini kila mtu anaweza kuamini anavyotaka,Ila Mzee Abdul Sykes nimtu mkubwa Sana,mwenye mchango mkubwa katika taifa la Tanzania,hawezi kuwekwa pembeni hata siku moja,Kumtaja mtu mmoja Tu katika history hiyo haikubaliki kabisa,Lakini ukweli utajulikana Tu.
@SEBASTIANBEKKO-ni8nn4 ай бұрын
Safi sana
@ignasnyembo12564 ай бұрын
Nilikua bado sijazaliwa. Baada ya kuzaliwa nilipenda sana kujua historia ya ardhi ya nchi yangu kupitia marehemu baba yangu. Alijitahidi kunieleza. Namshukuru kwa hilo. Leo baba yangu mdogo Mohamed said ananifunulia kilichopita hata leo Tuna jmh ya muungano wa Tz
@MaalimuIslaamu8 ай бұрын
Mapenzi ya maswahaba kwa mtume S.A.W
@MaalimuIslaamu8 ай бұрын
Napenda sana mawaidha ya harakati za uislamu
@Do-it-yourself_at_home8 ай бұрын
MASHAALLAH
@yassinhamza19699 ай бұрын
Mohammed mzee smart sana anajua history
@yassinhamza19699 ай бұрын
Nyerere baada ya kupewa chans akawageuka wazee waliompa nafasi
@yassinhamza19699 ай бұрын
Bakwata sijawahi waona kwenye shida za waislamu bali kwenye makongamano ya ccm
@yassinhamza19699 ай бұрын
Sheikh upo vizur sana kwa historia ya uhuru
@yassinhamza19699 ай бұрын
History nzur sana,wazee wamepigania nchi wanakuja kula nchi wengine kabisa
Minadhani tuamue Sasa kumbe sio wazanzibari t wa nasema na kudai ukweli kuleta Haki usawa hata watanganyika
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Yeye aliwazima wote wote kabissa ili waislam wasiojuilikane wasisikike na yeye pia alitumika ukatoliki uwe mbele
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Aa babu yangu wee waislam si wapo bakwataaa
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Uyoo alikuja kuwazimaa wote akijifanya peke yake ndio master
@MohdIkra-d7s11 ай бұрын
Kilio Tena kilio tumeumiaa
@King_Of_Everything11 ай бұрын
👊✌️👍.
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👍✌️👊。
@mohamedimikombe3354 Жыл бұрын
Mashaa ALLAH
@hamidubakary Жыл бұрын
k h bakwata inalindwa kuhakikisha waislam wasifulukute to 12255
@alisalimo2861 Жыл бұрын
Huyo lanatullwal aliyekua akijafanya hatokufa yuko wapi mungu mkubwa zulma aliotufanyia molla atakulipa na kichapo akipata huko
@hashimchaoga9566 Жыл бұрын
Waislam na Bakwata yetu tunashindwa kuwatumia wafadhili matajiri Wa mafuta waislam wenzetu kujijengea Mahospitali ya rufaa vyuo vikuu mashule bora yanayopasisha na vitega uchumi kama vile hatuna wasomi
@yassinhamza19699 ай бұрын
Huyo tajir akitoa hizo pesa atafilisiwa kwa kodi
@user133753 ай бұрын
Kwani hakuna viongozi wa juu serikalini😮😮😮😮,mnahujumiana wenyewe😅😅😅😅
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
Hatutatoka ktk Maisha haya ya Dhiki bila ya KUIANDIKA/KUISOMESHA Historia Yetu ya UKWELI.!.
@JafariAbdallah-ot9gp Жыл бұрын
Ewe mola wetu wahifadhi wazee wetu kwa kutufumbua akili
@Shammy-rn3tn Жыл бұрын
Mpaka leo mfumo ni wakikristo.
@Shammy-rn3tn Жыл бұрын
Haikumalizika. Wallahi Sheikh Said hakika ni mwanahistoria. Kama iko kipande cha clip iliyobaki kitumwe.
@Shammy-rn3tn2 жыл бұрын
Hakika Sheikh Mohamed ni mwanahistoria. Hadithi hii ya baadhi ya watu kuitwa na Nyerere baada ya kula wali wakageuka ili kuvunja East African Muslim Association nimeisilkia katika mahojiano na mzee waikela mwenyewe na inafanana kabisa na maelezo Sheikh Mohamed Said mwanahistoria ambaye hasa inaonekana anafanya utafiti wa kutosha.
@siyaluggajo16252 жыл бұрын
Chief Makwaia kukataa kuchukua Urais wa Tanu kwa kigezo cha kuogopa wazungu na kwa maslahi yake mwenyewe kwa lugha nyepesi tunaweza kusema alikuwa Kibaraka mnaona ni SAWA. Lakini kwa Nyerere kukubali kuacha kazi yake ali risk na kukubali kupewa Urais usio na ofisini wala nguvu yeyote na kuendelea kukijenga chama cha TANU kisiwe na msingi wowote wa kidini mnaona ni TATIZO aisee mna matatizo makubwa sana.
@edwinbernard32899 ай бұрын
aliacha kazi lakin nani alikuwa anamfadhil kama siyo Ali sykes, na ndiyo alileta udini kwenye chama
@hilalal-busaidi40072 жыл бұрын
TUNAWAPONGEZA WAISLAM KWA KULETA UHRU TANZANIA
@hilalal-busaidi40072 жыл бұрын
Katila soasa za tanzania
@hilalal-busaidi40072 жыл бұрын
MWALIMU ALIONA MBALI
@111dudi2 жыл бұрын
Kazi ya Nyerere, baba qa taifa, lakini leo waislam wamo
@giftmalema50322 жыл бұрын
Mzee yuko partial.... anajibu kutokana na anavyoona yeye sio kwa facts...... VICTIMISATION imemtawala sana!!
@jimj82852 жыл бұрын
Wacheni usenge!!! Huyo karume alikuwa msenge Hana akili wala busara! Kazi yake kutumia madaraka na nyege zake za kuzini na kutomba wanawake woote aliowatanani Kwa kisasi cha utumwa wake na weusi wake!!! Alikuwa na KUWADI AKIITWA FUMU!!! AKIMLETEA WAKR ZA WATU AKIWATOMBA NA KUWAFIRA LAANATULLAH!!! MAALIM SAID NILIKUHESHIMU ILA WEWE MURTADI KHANITHI WEWE!!! NYAU WEWE!!! MNYAMWEZI WEWEEEE!!!