Mzee Mohamed Said Nakukubali sana kwa Hekma zako na Darsa zako. MUNGU Akuongeze Nguvu na Afya. Amiin
@yusufige70302 жыл бұрын
Maashaala Mohamed said tuliabiwa na sheikh wetu Mohammed Ahmed mcomoro maneno haya nilikuwa mdogo lakini nakumbuka Allah akufariji sheikh
@abeidsaid49288 жыл бұрын
Asante shekh Mohamed said kwa kutueleza historia yetu tumejielewa sasa
@HabibaHabiba-mi1ez8 жыл бұрын
Nashukur kwa histori nzuri yenye mafunzo Allah akuzidisie kila la kheri Allah akulipe janaat firidaus Amiin
@muharamkigogo29555 жыл бұрын
Inshaallah allah akupe kila la kheri na hii ndio radio ya kislam inayo takiwa kwenye mtandao kwa diaba yetu wachangiaji
@chriskatoto23223 жыл бұрын
Sheikh Muhamed Said: shukran kwa kutuelemisha. Tumedanganywa mengi mda mrefu. Nyerere katuminya sana
@user1337514 күн бұрын
Bakwata ni ya nyerere😮😮😮
@HasnuuMakame3 күн бұрын
@@user13375Ndio maana yake maana amefuta chombo cha awali east african muslim association ambayo ilikua ndio ina nguvu na uwezo zaid kuliko hiyo Bakwata aloianzisha yeye chini ya uongozi wake..
@nakundwamkubwe78234 жыл бұрын
Kweli Allah anawalaani Bakwata tunawadharau na tumewajua Alhamdulilah.
@kaishazabengesi29715 жыл бұрын
I love this great man for what he is and what he stands for. May HE WHO HE IS enlighten him to see what he as mortal cannot see.
@talhiyahafidhi94848 жыл бұрын
inshaallah Allah akupe hekma
@saidakarim10438 жыл бұрын
Allah akulinde sheikh wetu
@amirithabit58029 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@amaniabasi18188 жыл бұрын
shekh nakutakia maisha malefu na afya njema ktk darsa zako
@mwanamisipofu32127 жыл бұрын
Mwenyezimungu akulinde mahadui inshaAllah
@shariffburuhani26909 жыл бұрын
Allah akulipe kwa historia nzuri ba sahihi, je redio zetu kama sauti ya Quruani mbona hamwiti?
@adaNahimana-y7bАй бұрын
HK Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM 155 22 Ni Adam Toka Ubelgiji
@Noahhersi7 жыл бұрын
bakwata maana yake ni baraza la kuumaliza waislam tanzania
@ibrahimgwasma1223Ай бұрын
Ndo tafsiri yake kwa faida ya wale ambao hawajui?
@msakuzikondo5362 жыл бұрын
Uhuru wa Watanganyika umepiganiwa na makabila pamoja na dini zote.Hakuna njema dhidi ya Waislamu.
Mm huwa namkubali sana shekhe mohamed said hajuwa mambo mengie sana najuwa waislam wa bakwata hawa mkubalie Mohamed said lkn hiko siku mmoja watakuja kumjuwa
@hamidubakary Жыл бұрын
k h bakwata inalindwa kuhakikisha waislam wasifulukute to 12255
@khalilyjuma43253 жыл бұрын
Ni khatar
@abdullkilawi55048 жыл бұрын
Shukrani kwa ujumbe
@kayunifuraha62468 жыл бұрын
Mume wangu Bahatibukuku
@renaldakamugishazeramulake9408 жыл бұрын
nguruwe baba yako na mams yako walio kuzaa misijakuza nawala sinamkuki mbwa mkubwaAbdull Kilawi
@issasuleiman91987 жыл бұрын
Sheikh Muhammed Said umeongea ukweli mtupu Nyere alikua nimtu m'baya sana kwa waislamu nampaka leo mzimu wake unatutafuna
@ibrahimgwasma1223Ай бұрын
Umesema TANU ilikuwa ya Waislamu Je Dini zingine hazikuepo kabisa wkt huo? Na kusema 76% ya wabunge ni Wakristo wa katoliki je wanapataje huo ubunge wanachaguliwa na wakatoliki?
@lgffumbuka1833 жыл бұрын
He is great a bit biased but scholarly. Watu wake ni manyema na waislamu wa Kariakoo
@chriskatoto23223 жыл бұрын
Assalaam alaykoum wa rahmatullahi wa barakatuhu. Idadi ya Waislam ni ipi Tanzania ? Ahsante
@dullybang72464 жыл бұрын
Huyu sheikh si walimtupia Bomu nyumbani kwake da mungu amuweke..ila bakwata hamna kitu..
@goodluckmhagama42363 жыл бұрын
Tunaona viongoz was dini wanavyo shindana kujibizana kwenyemitandao
@nakundwamkubwe78234 жыл бұрын
Kila ninapo sikia habari za Bakwata huwa naumia. Najikuta nabeba dhambi kwa kumchukia Nyerere na wengine wote hususani viongozi wa kiislam wa Bakwata.
@alisalimo2861 Жыл бұрын
Huyo lanatullwal aliyekua akijafanya hatokufa yuko wapi mungu mkubwa zulma aliotufanyia molla atakulipa na kichapo akipata huko
@allahuakbar69438 жыл бұрын
tuuungane tuswali tumshtakie allah kuhusu bakwata naserikali inavyotufanya tuombe nadua yaumoja
@Emedroadtocanada7 жыл бұрын
Ipo siku yote haya yatakwisha tuzidisheni duaa na kufanya ibada kwa wingi
@salumshomary73604 жыл бұрын
Tumewasafishia njia wenzetu wanateleza tu
@saidmaulid76684 жыл бұрын
Tatizo waislamu hatuna umoja tunapenda dunia kuliko ahera laiti tungekuwa wamoja makafiri wangetulia tu
@issasuleiman91987 жыл бұрын
Nyinyi wakiristo hamuipendi haki
@AbdulRahman-wx6iv5 жыл бұрын
Kuhusu bakwata Kuna kitu kiko ulimwengu mzima ,SS hv tunaongozwa na ulimwengu wa Freemason na Illuminati.....
@AbdulRahman-wx6iv5 жыл бұрын
Umeingea ukweli sheikh naenda viongozi wote wa kikatoliki watembelee Rome wajionee wenyewe wanavoabudu masanamu ya yesu na Maria.watembee ulaya wajionee wenyewe ..
@hashimchaoga9566 Жыл бұрын
Waislam na Bakwata yetu tunashindwa kuwatumia wafadhili matajiri Wa mafuta waislam wenzetu kujijengea Mahospitali ya rufaa vyuo vikuu mashule bora yanayopasisha na vitega uchumi kama vile hatuna wasomi
@yassinhamza19696 ай бұрын
Huyo tajir akitoa hizo pesa atafilisiwa kwa kodi
@user1337514 күн бұрын
Kwani hakuna viongozi wa juu serikalini😮😮😮😮,mnahujumiana wenyewe😅😅😅😅
@mwanahistoriamohamedsaid438810 жыл бұрын
@Noahhersi7 жыл бұрын
Mwanahistoria MohamedSaid manshalah
@issasuleiman91987 жыл бұрын
Faustin Luambano ww unajua nini nyinyi kazi yenu nikupiga makelele tu makanisani nakudanganywa na wachungaji Huyo yesu wenyewe hamumjui yeye nimuisilamu safi nailikua hatoki misikitini huko Yerusalem hakuna hata aya moja inayo thubutu kusema kua yesu aliingia kanisani
@xinyingmiao49963 жыл бұрын
Mi ninge kua rais we mzee ninge kusweka ndani mana unaleta udini hufai ww
@yassinhamza19696 ай бұрын
Ukweli umekuuma
@AbubakariMussaАй бұрын
Mpumbavu HUYO. Dhulma zote hizo zinazoelezwa Bado unaona Giza tu. SUBUHANA LLAH .
@wagabwagab-md7rt19 күн бұрын
Kashindwa magufuli......sembuse mwengine
@ambrosiamlinga84024 жыл бұрын
Nimemsikiliza kwa makini huyu shehe yeye analia kwa kusema watoto wa kiislam wanaonewa kwenye elimu na anasisitiza sana mambo ya shule hivi kwenye uislam elimu ni haramu? Mnaita elimu dunia, si watoto wa kiislam wanatakiwa wasome Quran tuu Hembu nielimisheni kwa hilo
@akwiliniswai52035 жыл бұрын
Yaliyopita sindwele shehe tugange yajayo kamwe mfumo mzima wa dunia ulivyo hauwezi kumridhisha kila mtu hata tungekuwa watoto wa familia moja tusingeweza kulia sahan moja kila siku mfano mzuri ni watoto wa adam wao kwa wao tu walishindwa kuelewana naikumbukwe kwamba kuran imesema watu wakaribu sana na uislam ni manasara je mkigombana nao mtawageukia mayahudi na washirikina ? meza ya duara yatosha
@jacquelinemabula25197 жыл бұрын
kuna mashekhe wapumbavu sijawahi ona duniani
@suleimanizahor42846 жыл бұрын
mbwa
@jumaomar80655 жыл бұрын
Mpumbavu niwewe na ndugu zako na vioongozi wako wa diniyako
@phaselinkafricacompany34025 жыл бұрын
Masha allah
@barbaigsinyau93855 жыл бұрын
Njaa na tamaa zinawaponza mashekhee
@shamiryporoto87325 жыл бұрын
mpumbavu mwenyewe unaetembea nanajisi kila siku kafiri mkubwa
@faustinluambano99427 жыл бұрын
Hii siyo sahihi anamsemea nani huyu mchochezi mbona hakamatwi? Polisi mko wapi? Hivi mtu hawezi kuwa muislamu Hadi Uwe punguani unayehisi ukristo ndiyo adui. Unakuwa muislamu ili ushindane na wakristo au umuabudu mola wako?.
@suleimanizahor42846 жыл бұрын
mh
@salminwamu22974 жыл бұрын
Mbona umepanic ,tulia dawa ikuingie
@Zainabnoor0087-ze Жыл бұрын
Hujuma za wakatoliki,dhidi ya waislam Tanzania kupitia Nyerere, na upotoshaji wa historia