Bukoba hapakutendeka haki kuna karatasi za kura feki karibu sehemu zote. Ila yote kwa yote mungu atajibu tu.
@AgnesMfyomi3 күн бұрын
Mungu mwaminifu.... natamani sana nipate mmoja padri
@DafrosaNyamwiza6 күн бұрын
Hongera sana BMMMD SRS. Mungu awatie nguvu daima❤
@floridakokuberwa92576 күн бұрын
Hongereni sana masisita kuitika wito mtakatifu.
@inviolatamalifa687110 күн бұрын
Kweli sifa zote ziende kwa mama sababu ndy mlezi wa karibu asindekulea vizuri Baba asingekuweza tabia zisingekuwa nzuri ,Mtoto Mwelevu humfurahisha Babaye Mwana mpumbavu nimzigo wa mamaye...
@lenadaandrew78511 күн бұрын
Poleni wanafamilia
@gracedonald38512 күн бұрын
pumzika mwanangu
@ElishaKasambo-yu5jt16 күн бұрын
Father kamugisha Mungu akubariki
@BlankaPhilipo16 күн бұрын
Mungu awabarik sana . Asante pia wazaz mlipambana kwelkwel
@FridahFlorence23 күн бұрын
Hongera sana baba hakika n kwa neema
@rosekiwale830225 күн бұрын
Kweli Fr naomba utuombee kwa Mungu mauhubiri yako yanajenge sanaaaa tunajifunzu sana kushuru
@Luobby27 күн бұрын
Barikiwa sana father.
@neemakahabuka45928 күн бұрын
Barikiwa saaana father Kamugisha.Bukoba tumebarikiwa
@mpelasokampelasoka490Ай бұрын
Ubarikiwe sana Fr . Mungu azidi kuwatunza wazazi wako wote .
@stellaphilipo5112Ай бұрын
Kushukuru ni kuongezewa ,,Hongera sana Padri wewe ni mfano mkubwa wakuigwa..wazazi tunapitia mengi lkn watoto wengi wamekuwa kama wale WAKOMA KUMI NI MMOJA TU WANATOA SHUKRANI ,,WALE KENDA NDIO WENGI SANA.
@vanesamedard1689Ай бұрын
Ni raha sana Wazazi kuona kijana wao Anamtumikia mungu! Na kukumbuka changamoto walizopitia ktk familia Mungu Akutunze Mtumishi wa mungu Ufike mbali kazi yako sio bure Utalipwa usipozimia moyo 🙏
@paulrwechungura4284Ай бұрын
Hongera sana father
@altonkanjolonga2380Ай бұрын
MUNGU AKUTUNZE Dkt PADRE KAMUGISHA
@jimmyandrew3883Ай бұрын
Kwan kamugisha unamuona mkbwa hazidi miaka 42 huyo
@sirillamichael2582Ай бұрын
MUNGU akubariki fr
@festokemibala5832Ай бұрын
Padre, umenikumbusha hadithi moja (Literature) kwenye Kitabu kimoja wakati nasoma F3 kitabu kinaitwa "The African Child" kimeandikwa na Kamara Raye. Kuna hadithi kuhusu namna ya kumlea mtoto kwamba huo mkono wa chuma alosema Dr . Padre Kamugisha mle kwenye kitabu imeandikwa ni "...havy hand". Kwamba spare the hand kill the Child
@leahogutu9818Ай бұрын
Hongera sn Father Kamugisha kw kuwathamini wazazi wako
@maryrobert5506Ай бұрын
watu na vipaji vyao jamani Padre Kamugisha una kipawa cha tofauti
@yonazimpombe1160Ай бұрын
WAO MAMA 😊
@jonathanmpangala7057Ай бұрын
Utume mwema father kamugisha
@BlandinaKahuru-ur5elАй бұрын
Waooo🎉 Mwenyezi Mungu akutunze Amina
@vedastinasottery2161Ай бұрын
Hongera sana Fr Kamugisha..........Barikiwa sana
@ednamwakalundwa7933Ай бұрын
barikiwa xna baba Padre
@ClementinaPaul-sq9epАй бұрын
Nimependa utambulisho wako Father Mungu akubariki na kukulinda katika utume wwako
@anoldamkumba3208Ай бұрын
Nimeonja uinjilisti wako pale Kiberege "UPENDO NA HURUMA NJIA YA HIJA" Wewe ni mwalimu Mungu akubariki sana.
@sylvestrengwelu2012Ай бұрын
Dr.Baba Yetu Tunakupenda sana
@gelarisjonathan7081Ай бұрын
My teacher
@edvesterdamas3061Ай бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki wazazi wako
@LeocardiaCelestineАй бұрын
Hongera sanaa father Mungu aendelee kukubariki. Mi Mkulwa je we kaka au mi ma mdogo
@josephatodhiambo1525Ай бұрын
Mwenyezi mungu na akulunde na akuongezee kekima
@josephatodhiambo1525Ай бұрын
Mungu apewe sifa padre,kwa hiyo imani thanithi na wasia wako.umenitia nguvu na kuniongezea imani kama mkritu mkatoliki
@levinakato7629Ай бұрын
Hongera sana Fr. Kamigisha, mungu akulinde na kuwalinda wazazi wako
@tumainichanya3268Ай бұрын
Baba ckujui Ila nimebarikiwa Sana uliposhukuru wazazi
@alexanderkashozi3712Ай бұрын
Baba hongera saana
@MagrethMallya-we8uiАй бұрын
Mungu awabariki wazazi wote, akawaguse na wale walosauliwa na watoto wao.❤❤❤
@ADELITUSMASHASIАй бұрын
Hogera sana baba tunakpenda sana
@RutaRushokeАй бұрын
Hongera sana Fr Kamugisha
@meckmussa1840Ай бұрын
Kila la kheri
@christianmwabukusi8132Ай бұрын
Nimejikuta natokwa na machozi
@alexandermakanta9468Ай бұрын
Next Time Usitumie Dr.Padre....ANZA na Padre Dr.Kamugisha
@emmanuellyatuu4103Ай бұрын
Naam!
@DennisDotto-nl5mwАй бұрын
Yes
@JacqulinedeogratiusKahwaАй бұрын
Fadha kafuga ndevu
@johnpesha9651Ай бұрын
Mungu akubariki sana Father Kamugisha
@FaithWinston-o3lАй бұрын
Mungu akubariki 🙏sana Father Allan
@ANSILAASIIMWEАй бұрын
Ee Mwenyezi Mungu, tunakuomba uubariki ukoo wa mzee Merchior Kabobo na umbariki na kumtunza padre wetu mtumishi wako Fr. Allanus Kabobo. Aamiina
@JohnmaryNestoryАй бұрын
Mungu atutangulie katika yote. Hongera sana Fr. Kamugisha pamoja na wazazi❤