Dr Padre Kamugisha awaliza wazazi wake baada ya kusimulia maangaiko walioyapata

  Рет қаралды 59,373

MATUNGWA MB STUDIO

MATUNGWA MB STUDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@AgnesMfyomi
@AgnesMfyomi 3 күн бұрын
Mungu mwaminifu.... natamani sana nipate mmoja padri
@BlankaPhilipo
@BlankaPhilipo 16 күн бұрын
Mungu awabarik sana . Asante pia wazaz mlipambana kwelkwel
@vanesamedard1689
@vanesamedard1689 Ай бұрын
Ni raha sana Wazazi kuona kijana wao Anamtumikia mungu! Na kukumbuka changamoto walizopitia ktk familia Mungu Akutunze Mtumishi wa mungu Ufike mbali kazi yako sio bure Utalipwa usipozimia moyo 🙏
@mpelasokampelasoka490
@mpelasokampelasoka490 Ай бұрын
Ubarikiwe sana Fr . Mungu azidi kuwatunza wazazi wako wote .
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Mungu akutunze Fr.Tujifunze kuwatunza wazazi,tuwapende,
@ElishaKasambo-yu5jt
@ElishaKasambo-yu5jt 16 күн бұрын
Father kamugisha Mungu akubariki
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix Ай бұрын
Ninafarijika kwa Padre Kamugisha kusema hayo kwa kuwa nilikuwa mmoja wa maafisa wa Taasisi ya Mifupa na Magonjwa ya Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) ambapo huyu mama wa Padre alikaa miezi sita na kupata matibabu pale.
@georgemwala267
@georgemwala267 Ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri na kuona matunda ya kazi yako
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Mungu awabariki wazazi wote.
@novatusrukwago7052
@novatusrukwago7052 Ай бұрын
Ubarikiwe Sana kwa huduma na upendo
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 10 күн бұрын
Kweli sifa zote ziende kwa mama sababu ndy mlezi wa karibu asindekulea vizuri Baba asingekuweza tabia zisingekuwa nzuri ,Mtoto Mwelevu humfurahisha Babaye Mwana mpumbavu nimzigo wa mamaye...
@ChristinaBukholt
@ChristinaBukholt Ай бұрын
Bwana akubariki sana Father Kamugisha 6:56 ktk maisha yako na bila kuwasahau wazazi wako, Mwenyezi Mungu awazidishie afya njema na kufikia uzee wa hekima Sifa kwake Mungu❤🙏🏾🙏🏾
@levinakato7629
@levinakato7629 Ай бұрын
Hongera sana Fr. Kamigisha, mungu akulinde na kuwalinda wazazi wako
@JohnmaryNestory
@JohnmaryNestory Ай бұрын
Mungu atutangulie katika yote. Hongera sana Fr. Kamugisha pamoja na wazazi❤
@LeocardiaCelestine
@LeocardiaCelestine Ай бұрын
Hongera sanaa father Mungu aendelee kukubariki. Mi Mkulwa je we kaka au mi ma mdogo
@stellaphilipo5112
@stellaphilipo5112 Ай бұрын
Kushukuru ni kuongezewa ,,Hongera sana Padri wewe ni mfano mkubwa wakuigwa..wazazi tunapitia mengi lkn watoto wengi wamekuwa kama wale WAKOMA KUMI NI MMOJA TU WANATOA SHUKRANI ,,WALE KENDA NDIO WENGI SANA.
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 25 күн бұрын
Kweli Fr naomba utuombee kwa Mungu mauhubiri yako yanajenge sanaaaa tunajifunzu sana kushuru
@neemakahabuka459
@neemakahabuka459 28 күн бұрын
Barikiwa saaana father Kamugisha.Bukoba tumebarikiwa
@ClementinaPaul-sq9ep
@ClementinaPaul-sq9ep Ай бұрын
Nimependa utambulisho wako Father Mungu akubariki na kukulinda katika utume wwako
@FridahFlorence
@FridahFlorence 23 күн бұрын
Hongera sana baba hakika n kwa neema
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 Ай бұрын
Dkt. Padre Kamugisha...... Mungu Wetu, ni Mwema Kila Wakati....na Kila wakati Mungu Wetu ni Mwema, Na hiyo ndo asili yake.❤❤❤ Hakika Wewe ni mfariji katika maisha yetu ya Kila Siku. YESU KRISTO, kafala Wetu akazidi kukusimamia katika Utume wako. Amina.
@leticiamlandali3022
@leticiamlandali3022 Ай бұрын
Mungu awabariki wazazi pamoja na Fr hakika Mungu ni mwema.
@Luobby
@Luobby 26 күн бұрын
Barikiwa sana father.
@BlandinaKahuru-ur5el
@BlandinaKahuru-ur5el Ай бұрын
Waooo🎉 Mwenyezi Mungu akutunze Amina
@johnpesha9651
@johnpesha9651 Ай бұрын
Mungu akubariki sana Father Kamugisha
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Mungu awabariki wazazi wote, akawaguse na wale walosauliwa na watoto wao.❤❤❤
@vedastinasottery2161
@vedastinasottery2161 Ай бұрын
Hongera sana Fr Kamugisha..........Barikiwa sana
@leahogutu9818
@leahogutu9818 Ай бұрын
Hongera sn Father Kamugisha kw kuwathamini wazazi wako
@josephatodhiambo1525
@josephatodhiambo1525 Ай бұрын
Mwenyezi mungu na akulunde na akuongezee kekima
@josephatodhiambo1525
@josephatodhiambo1525 Ай бұрын
Mungu apewe sifa padre,kwa hiyo imani thanithi na wasia wako.umenitia nguvu na kuniongezea imani kama mkritu mkatoliki
@sirillamichael2582
@sirillamichael2582 Ай бұрын
MUNGU akubariki fr
@edvesterdamas3061
@edvesterdamas3061 Ай бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki wazazi wako
@ADELITUSMASHASI
@ADELITUSMASHASI Ай бұрын
Hogera sana baba tunakpenda sana
@ednamwakalundwa7933
@ednamwakalundwa7933 Ай бұрын
barikiwa xna baba Padre
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 Ай бұрын
Hongera sana father
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA Ай бұрын
Jonathani hongereni sana kwa mahubiri MAZURI .
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Ай бұрын
Baba ckujui Ila nimebarikiwa Sana uliposhukuru wazazi
@TheresiaSwai-m3g
@TheresiaSwai-m3g Ай бұрын
Mafundisho ya huyu padre yananibariki mno napenda sana kumsikiliza na nimefurahi sana kuwaona wazazi wake ni bahati kubwa mno hongera sana
@RutaRushoke
@RutaRushoke Ай бұрын
Hongera sana Fr Kamugisha
@sophiakomba7672
@sophiakomba7672 Ай бұрын
Mungu yu mwema hakika, wazazi ni miungu wa 2
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 Ай бұрын
MUNGU AKUTUNZE Dkt PADRE KAMUGISHA
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 Ай бұрын
Mungu ni mkuu
@renisterhyera2552
@renisterhyera2552 Ай бұрын
Mungu akubariki
@jonathanmpangala7057
@jonathanmpangala7057 Ай бұрын
Utume mwema father kamugisha
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 Ай бұрын
WAO MAMA 😊
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Padre, umenikumbusha hadithi moja (Literature) kwenye Kitabu kimoja wakati nasoma F3 kitabu kinaitwa "The African Child" kimeandikwa na Kamara Raye. Kuna hadithi kuhusu namna ya kumlea mtoto kwamba huo mkono wa chuma alosema Dr . Padre Kamugisha mle kwenye kitabu imeandikwa ni "...havy hand". Kwamba spare the hand kill the Child
@alexanderkashozi3712
@alexanderkashozi3712 Ай бұрын
Baba hongera saana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
Moyo wa Shukrani
@maryrobert5506
@maryrobert5506 Ай бұрын
watu na vipaji vyao jamani Padre Kamugisha una kipawa cha tofauti
@alexandermakanta9468
@alexandermakanta9468 Ай бұрын
Next Time Usitumie Dr.Padre....ANZA na Padre Dr.Kamugisha
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 Ай бұрын
Naam!
@DennisDotto-nl5mw
@DennisDotto-nl5mw Ай бұрын
Yes
@gelarisjonathan7081
@gelarisjonathan7081 Ай бұрын
My teacher
@theobartkingamkono5087
@theobartkingamkono5087 Ай бұрын
Pole sana father
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Ай бұрын
Nimeonja uinjilisti wako pale Kiberege "UPENDO NA HURUMA NJIA YA HIJA" Wewe ni mwalimu Mungu akubariki sana.
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 Ай бұрын
Dr.Baba Yetu Tunakupenda sana
@meckmussa1840
@meckmussa1840 Ай бұрын
Kila la kheri
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Hivi ni kweli hao ninao waona ndiyo wazazi wako kweli? mbona bado ni vijana kuliko nilivyodhani mimi? Hongera kwao walikulea na ukaleleka. Mara nyingi napenda sana mafundisho yako hauchoshi.
@LeoniaLyimo
@LeoniaLyimo Ай бұрын
Matunzo baba.❤❤❤
@MariaJacob-w5v
@MariaJacob-w5v Ай бұрын
Ilikuwa ni anniversary?
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
@@LeoniaLyimo Huwenda ni macho yangu tu huwenda huyu father yuko chino ya 50 yrs
@LeoniaLyimo
@LeoniaLyimo Ай бұрын
@@dicksonkilupa2258 Ni kweli.Amen
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Ай бұрын
Yeye mwenyewe Father anaonekana kwa sura bado kijana kabisa
@jimmyandrew3883
@jimmyandrew3883 Ай бұрын
Kwan kamugisha unamuona mkbwa hazidi miaka 42 huyo
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Ай бұрын
Nimejikuta natokwa na machozi
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Inye ndi mulwani.
@getrudaadolfu7561
@getrudaadolfu7561 Ай бұрын
Omurwani wankaa
@JacqulinedeogratiusKahwa
@JacqulinedeogratiusKahwa Ай бұрын
Fadha kafuga ndevu
USIJILINGANISHE NA PADRE DKT. KAMUGISHA
18:47
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 10 М.
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 10 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 45 МЛН
Padre Dr. Faustine Kamugisha - Imani
15:38
Divine Studios
Рет қаралды 12 М.
Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
41:59