Kaka kawambwa hao singida wao wanakataa kuwa hawahusiki na uombaji wa huo uraia wa hao wachezaji kwani wameomba wakiwa wapi ? Nakama wapo hapa wakiwa wanavibali vya kazi tu vipi wakane je waliludi makwao ndo wakaomba sheria inasemaje kuhusu uombaji je wakati wameukataa hio nchi yao kwahio walikuwa sio raia vipi wameshiriki LEAGUE'S yetu wakati barua ya kuomba ikishughulikiwa je tff wanaweza kuwanyang"anya point kuwa walichezesha wakiwa sio raia wanchi yoyote ?
@NamweveMohamedi4 күн бұрын
KAKA KAWABWA NIPO NA SHEMEJI ZANGU APA BAMIA MAMA OSBETH NA SHEM ZAI ILA MMOJA NI YANGA HAPEND KUSKILIZA MICHEZO SASAIV
@EmmanuelSunza4 күн бұрын
Naitwa aizac sakalani nipo dodoma nzuguni, Simba hatuna mpinzani tena
@jafethzawad5 күн бұрын
Yangu tamu hatuyikati tama
@HassaniIbuo5 күн бұрын
U live ndo habar yamjini hasani ibuo maarufu fbi
@BakariHamisi-ke6zv6 күн бұрын
Mimi Bakari amisi mdigo nipo mbagala kuu nimefurahi sana kuwaona leo
@iddchapalama57107 күн бұрын
Kuna wakati jamaa yetu mmoja alimdhihaki dada mmoja alipita jirani yetu akimwita na yule dada hakugeuka sasa yule hakuacha mwisho akamwambia wewe si godoro tuu alikamatwa mahakamani aliambiwa aeleze godoro maanayake nini ? Alienda miezi 6 jela msg ya tantalila leo
@iddchapalama57107 күн бұрын
Yale maneno anayoongea Ally kamwe huwa ameyapangilia au yanamtoka tu ?
@MohamedMirambo8 күн бұрын
Jamani Hili swala la refa kumaliza mpira kabla dk zanyongeza kukamlika hii Nini maana yake na vp uhalal wa Musonda kuendelea Dk 45 zote Kiukwel nipo tumbo joto
@HappinessRaphael-lo3zx9 күн бұрын
Wenjeeee
@EmmanuelSunza10 күн бұрын
Naitwa aizaki sakalani was dodoma, nimeshaungana nanyinyi mapema sana
@SAIDMOTE10 күн бұрын
Dereva wa bajaj DAR LIVE Mbagala nimejjifunza kwenu simu haifai kuitumia ukiwa jikoni kwa kuhofia ges kulipuka
@niraajayotv350910 күн бұрын
Naitwa niraaj Tatizo watu wanaingia na vuvuzela nje wakiingia kweny uwanja hawaingii nayo
@HassaniIbuo11 күн бұрын
U live ndo abari yamjini
@HassaniIbuo11 күн бұрын
Katanga unaonekana Kama Lulu aiseeee
@JumaMaduka-m5r11 күн бұрын
Nawaona
@abdulimongo-f3w11 күн бұрын
habibaaa
@abdulimongo-f3w11 күн бұрын
pamojaaaàa
@HozamKimaroo12 күн бұрын
Hongera kwa zazimba kueshimisha inchi
@NestoryMbuya-b6s14 күн бұрын
Kaka habari za hapo studio ni mimi nestory mbuya nafurahi kukuona live leo
@IsihakaKatundu-v7q14 күн бұрын
Wa kwanzaaa😊
@kituamichael6814 күн бұрын
U live hoye!! jamani nauliza leo younga inacheza saa ngap ?
@SeifAbdhallah-j8w15 күн бұрын
Seif Abdhallah Seif Toka Old Shinyanga tupo pamoja mpaka mwisho inshallah
@MatungwaMtalemwa-f4q16 күн бұрын
Nimewata vizr tang saa kumi adi saa tatu
@AllyDonald-y3r17 күн бұрын
Habari zenu wote kwa ujumla vp Ikangalombo kasinya kweli yanga?
@AlexNestory-t3k18 күн бұрын
Alex kutoka kipunguni b moshi baa lelini habari za hapo studio❤❤❤
@HamisiKibegi19 күн бұрын
Mbona leo hamuonekani
@HamisiKibegi19 күн бұрын
Mbona leo hamuonekani
@HamisiKibegi19 күн бұрын
Mbona leo hamuonekani
@CosmasAckleo19 күн бұрын
Tupo pamoja mpaka tamati
@CosmasAckleo19 күн бұрын
Tupo pamoja mpaka mida fulan ujioniiiiiiiiiii😊
@MlangaleJoseph20 күн бұрын
Ubaya ubwela
@binamubakari496520 күн бұрын
Oya mbona kama unatupoteza YANGA kacheza jumamisi na jana jumapili naitwa Binamu Yao kutoka superdoll❤❤
@MaryBisare20 күн бұрын
❤❤❤
@MsafiriKitua22 күн бұрын
U live baba wa vipindi vyote vya michezo. Hongeren sana
@EradiusJackison22 күн бұрын
Amna sauti
@EradiusJackison22 күн бұрын
Nawapata nkiwa kwenye bus ra katarama nikitoka bukoba kuerekea dar
@misaelkiiza999923 күн бұрын
Nisome kama Misael Kiiza Kutoka Pande za Muleba Ngote ,,Naitakia Yanga Yangu Ushindi Mnono!!! Only 3P is enough👊💛💚🧡🧡🧡🧡🫂
@GeorgeNzige23 күн бұрын
Walete wana michezo
@ChegeChigunda-w8kАй бұрын
awa yanga mboni washanza kunitisha mwenyekiti
@SAIDIKUNDAVIАй бұрын
Saidi kundavi was Lindi tz Niko live
@BoaziMatamboАй бұрын
Dodoma Jiji piga hao ⚽⚽
@KivumaTalhaАй бұрын
Nimechelewa
@barakadagobert439Ай бұрын
Huyu kipa wa Jkt anafaa sana pale Yanga
@ivanildopereirasebastiao6844Ай бұрын
Bom dia meu Amigo FN.
@allymaranyaАй бұрын
Uyo nd mwenye kiti
@MichaelNgowi-nc3vnАй бұрын
Hapana crementi mzize saizi Yuko moto nazani Wana yanga wooote tuna mkubali kwa sasa hatakiwi aanzie benchi