Рет қаралды 296
Jeshi la Polisi - Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeanza msako wa watuhumiwa wa ubakaji kisha mauaji ya mtoto wa kike aliyekuwa na umri wa miaka mitano ambaye mwili wake uliokotwa jana Agosti 14, kwenye pagale lililopo Mbagala Kichemchem.
Kamanda wa Polisi - Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amezungumza na @ufmtz na kutoa maelezo ya kina.
Msikilize
#UfmUpdates