Ww nimucha mungu kweli nyinyi wenyewe matusi mengi ndio mko nayo siufunze huyo mtoo tabia hata mtoto wako humpendi nametoka hiyo tumbo lako
@CynthiaMbula-x5h2 сағат бұрын
Joan mtreat martha vizuri wacha waongee
@finilalkiriago5474Сағат бұрын
Woow I like that
@mzeewamaonomilele2 сағат бұрын
Ninahitaji mawasiliano yako mama Niko mpanda katavi
@souvenirweber71698 сағат бұрын
Mwone na sauti yako ya kinafiki kama uko rohoni saaaaana mkataa ndugu na wazazi wako hivi kwenye kutambuliwa na Mungu wewe utakuwemo kweli?
@Musamahizo8415 сағат бұрын
Amen kwel dada ila naomba tusapotiane 1:03
@louisamazutantamukunzi736321 сағат бұрын
Kwanini asiongeye ?sasa hiyo halingumu ni mamayake alimleteya kuyapitiya?
@PriscaJosephat-j9t23 сағат бұрын
Asiyependa wakwao huyo ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.shetani ni muongo sana
@JosephinaEndriКүн бұрын
Amen
@mercymsumba3724Күн бұрын
Umemshauri vyema huwezi shindana na Mama yako kama adui yako aache kibri
@barryhezron2764Күн бұрын
Halleluja Bwana akutunze kwa utukufu wake!wengi wao wako kimwili zaidi na wengine wafuasi wa ibilisi mwenye siko na asikie!!wakushupaza shinho kazana mavuno yapo
@dionisiajohn519Күн бұрын
Acha wewe kujikosha, inategemea unalia nini. Nenda katubu kwa mama Yako... Hutabarikiwa, usipoutuliza moyo wa mama Yako, unaovuja huzuni.
@lightnessgamasa6039Күн бұрын
Matha asikilize huu ujumbe umsaidie jamani kwakweli yatosha
@lightnessgamasa6039Күн бұрын
🙈😫😫😫😫😫heeeeeeeee Leo umeamua bila chenga jamani wewe Dada
@magrethlwaga955Күн бұрын
Huna rorote
@frickchristina6175Күн бұрын
The devil is a liar
@lolatitus8278Күн бұрын
Ni kweli Mungu anatusaidia na sio watu. Lakini wewe pia unatakiwa kumwaibisha shetani kwa kusema kweli yote. Mwaibishe shetani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Unaongea kwa mafumbo sana wewe sio Yesu ni binadamu wa kawaida kabisa. Ushindi bado kabisa vitu vinaweza kukubadilikia ghafla usijidanganye Sis.Ujashinda hata Congo wanalielewa Hilo.Mungu akusaidie sanaaa. Sis.
@ladislausshirima863Күн бұрын
Mama, Bwana Yesu akupe maisha kwa Injili hiyo kwa huyo nabii mkora
@EstaKananiКүн бұрын
Amina ubarikiwe zaidi mama katika hayo watu tupone maana mtu mzuri ni yule atetemekaye alisikiapo neno la mungu
@AdramMakopaКүн бұрын
Haleluya mama Ubalikiwe Kwa point nzur kumbe mung Ana watu wake Balikiwa sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JuliethChristopher-q5cКүн бұрын
Amso very very nice 👌 👍 ❤❤❤
@JuliethChristopher-q5cКүн бұрын
Hello❤❤❤❤❤
@saraoloo9251Күн бұрын
Funza na huyo mtoto wako pia hekima basi maana hana hata kidogo.
@Joan-p8l5sКүн бұрын
Wow 100%
@RachelMathina-w5x2 күн бұрын
Aksanti sana❤
@GodbetterEmmanuel2 күн бұрын
Aaaaaameni Mtumishi,mzuri,unaesimamia kwelii ya mungu.ubarkiwe Kwa Maneno Mazurie.
@plujoncylugano46112 күн бұрын
Safi sana Pastor MariaMartha injili hii ina nguvu na Neno hili linaisha
@TumainiManga2 күн бұрын
Ubarkiwe mama
@Judy-dy4zt2 күн бұрын
Ilo nalo neno mwenyezi sikio nasikie barikiwa sana tuna masikio atusikii tuna macho atuhoni ewe mwenyezi Mungu utupe ufaham na uherewa 🙏
@MultiBice2 күн бұрын
Yaani wewe dada unanifurahishaga sijui hata nikulipe nini mungu akubariki saana saaana kazi nzuri saana unaeifanya ❤
@winygidarossa94722 күн бұрын
Malaya wewe
@Judy-dy4zt2 күн бұрын
Mhh 🤔🤔🤔😭
@barryhezron2764Күн бұрын
Winygidarossa,ewee Mwana wa ibilisi Bwana akukemee kwa jina la Yesu,uharibuye jamii kwakinywa kichafu
@winygidarossa9472Күн бұрын
@barryhezron2764 we naye Malaysia mwingine
@SharonShibalia2 күн бұрын
Mama uko sawa kabisa hata nimeona huyo nabii anapinga eti bibilia siyo kitabu cha mungu
@SmilingCityMap-xb9md2 күн бұрын
Wanaliacha neno la mungu wanadhani kila mafanikio yanayotoka kwa mungu kumbe sio maana shetani alipomjalibu yesu alimwambia angempa milki za dunia
@SmilingCityMap-xb9md2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@shadrackwilfred26062 күн бұрын
umeongea point sana mpendwa
@JaphetLukos2 күн бұрын
Jamani Gali la kwangu nimenunua kesho nikaamua mwenyewekuwa hiligari nimetengengezaaa badolina nilia mafuta ngojanipoteze ilininunue jingine maana fundiwameshindwa, nasiwezi kumpa mtu mwingi
@JaphetLukos2 күн бұрын
So shida nn? Siulishaaa toa zawadi au kunaninihapo! Aliechoma gari ulishAampa maliyake Sasa shida ikowaapi, hujawaiona mtu unapewa ugari na mtu anamwaga woote mbeleyako Sasa tatizo nn, sababu ww umtoa namm ninamaamuzi yangu!!!
@sifamalinga18162 күн бұрын
Hakuna pastor mwanamke mnayatoa wapi haya na mnapata wapi ujasiri wa kukosoa wanaume mumeaguzwa kuwaheshimu wanaume wewe dada yangu mbona kwenye nyimbo Yako umeimba eti unataka kumubabe Yesu Kristo mgongoni kwako unani we we sembuse tu huyo mama yake Yesu aliye barikiwa kuliko wanawake wote duniani Yesu Kristo mwenyewe alimkataza kuwa asimguse baada ya kufufuka Kwa kuwa hajapaa MBINGUNI Kwa BABA yake alikotoka Kwa kuwa aliuvaa mwili wenye utukufu sasa wewe mwenzangu na mimi huo mgongo wako UMBEBE YESU?,unachekesha Bora hata Rose Mhando aliyeimba Yesu ni bebe ila wewe eti unataka kummbeba Yesu Kwa usafi upi ulionao Yesu anajitosheleza ni mungu mwenyewe ndio maana alipopaa kwenda Kwa Baba yake aliye mtuma Duniani hakuhitaji SHOBOO yoyote acheni kujifanya mnajua na kugombana wenye hekima wemenyamaza tu kimya nakuwaacha mnapayuka tu kama wendawazinu KUWENI NA HEKIMA na zaidi ifanyeni kazi ya mungu aliye waita kama mumeitwa kweli mnatuchosha na hizo drama zenu wengi mnatafuta kiki tu muweze kutrend kwenye mitandao na sio kuhubiri injili na kuokoa roho za watu I AM DONE sipendi tunapogombana na kunyosheana vidole huo sio UPENDO aliotuachia Yesu kristo samahani kama nimekukwaza pastor wa watu nimeshindwa KUNYANAZA
@olivermwakyonya56832 күн бұрын
Unapoandika Mungu anza na herufi kubwa
@nduwimanaegide84282 күн бұрын
Wewe tuliya ukweli usemwe mutaumbuka tu
@sifamalinga18162 күн бұрын
Enyi wagalatia ni nani aliye waroga mulianzaa rohoni munamaliza Kwa mwili vita yenu yatoka wapiiiiii WAPENDWA katika Bwana HUU sio wakati wakuparurana na kuwafahidisha wasio amini tumuombe mungu atupe hekima namna ya kutatua matatizo yetu media zisitumike kama uwanja wa mashindano kwetu Wana wà mungu media zitumike kuokoa roho za watu na kuwaleta Kwa kristo katika ufalme wa mungu na sio kutunishia misuli na kuonyeshana umahili wa kuijua injili kuliko wengine mungu atusaidie sana.
@Marjeby2 күн бұрын
Messages zako nzuri sana malengo yako mazuri sana but very pure approaching hata unavyoongea tuu hueleweki huna mpangilio kabisa wa maongezi yako unapiga kelele tu Yesu Yesu nyingiii sio mahubiri mama
@عائشهعائشه-م9ق2 күн бұрын
Barikiwa Maman
@Zena-oq8fc2 күн бұрын
Ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu
@ElibarickFungo2 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@godlivermwasha27912 күн бұрын
Nyumba itaidha kwani huwa inaanza chini au juu? Acha maswali ya kizushi wewe
@godlivermwasha27912 күн бұрын
Jenga mtoto,maswali ya wasiokupenda achana nao,hata km alikuwa hana nyumba ni kawaida.Mbona wapo hata mawaziri hawajawahi kujenga jadi leo huko makwao,hata easanii wazamani pia hawajajenga kwao.songa mbele bint wewe siyo km wanao subilia kuzalishwa wajengewe nyumba.Lskini wewe simamia hapo hapo unaupendo
@EinothMotika2 күн бұрын
Barikiwa mama.Nyundo la Yesu mwenye maskio na asikie
@stellajohn84862 күн бұрын
Angenipa hiyo gali
@stellajohn84862 күн бұрын
Acha ujinga hata mitume waliuwawa ,, yesu mwenyewe alichomwa mikuki
@stellajohn84862 күн бұрын
Martha amelewa sofa za wanadamu,, lakini hazitamfikisha popote
@gladyedwards30972 күн бұрын
Hongera sana Zuchu 1:23
@saadasaidi9002 күн бұрын
Kwaiyo mama yake miaka yote alikua amepanga
@yusternyirenda72312 күн бұрын
Kwa hiyo hata kama nina nyumba 100 mwanangu akinijengea nyumba kama zawadi kwangu ni dhambi??
@fatmafatu11282 күн бұрын
Kwahiyo hiyo nyumba imeisha mpaka useme kamjengea nyumba mamaake