Ni kweli Mungu anatusaidia na sio watu. Lakini wewe pia unatakiwa kumwaibisha shetani kwa kusema kweli yote. Mwaibishe shetani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Unaongea kwa mafumbo sana wewe sio Yesu ni binadamu wa kawaida kabisa. Ushindi bado kabisa vitu vinaweza kukubadilikia ghafla usijidanganye Sis.Ujashinda hata Congo wanalielewa Hilo.Mungu akusaidie sanaaa. Sis.
@Joan-p8l5s7 күн бұрын
Wow 100%
@dionisiajohn5197 күн бұрын
Acha wewe kujikosha, inategemea unalia nini. Nenda katubu kwa mama Yako... Hutabarikiwa, usipoutuliza moyo wa mama Yako, unaovuja huzuni.
@souvenirweber71696 күн бұрын
Mwone na sauti yako ya kinafiki kama uko rohoni saaaaana mkataa ndugu na wazazi wako hivi kwenye kutambuliwa na Mungu wewe utakuwemo kweli?
@PriscaJosephat-j9t6 күн бұрын
Asiyependa wakwao huyo ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.shetani ni muongo sana
@saraoloo92517 күн бұрын
Funza na huyo mtoto wako pia hekima basi maana hana hata kidogo.
@louisamazutantamukunzi73636 күн бұрын
Kwanini asiongeye ?sasa hiyo halingumu ni mamayake alimleteya kuyapitiya?