MZEE KARUME NA TANZANIA YA UJAMAA.
2:17
Mzee Abeid Karume na ASP.
1:03
6 жыл бұрын
Пікірлер
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 ай бұрын
Babu Karume tunamuomba Allah akupe kinachostahiki. Amiin
@user-bs1zq5ts1r
@user-bs1zq5ts1r 3 ай бұрын
Eshii jamani napitia comments hapa ila sijaona comments yoyote ya kumushukuru Karume hata chembe za mazuri yake hamukumbuki
@AbdulNassir-jk1jf
@AbdulNassir-jk1jf 3 ай бұрын
Eeh aduwi wa allah
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 7 ай бұрын
Dadali wa mwazo kuuuza zanzibar kwa watanganyika kwa husda na tamaa ya madaraka
@asilclub
@asilclub 10 ай бұрын
Moongo mkubwa huyu jambazi muuaji mungu atamlani yeye na nyororo asipo Kuwa ni sultan huyu mshenzi karume hajui hata kuvaa nguo
@ashaali7506
@ashaali7506 Жыл бұрын
Alhamdulillah❤😂🎉😢😮😅😊
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Жыл бұрын
Serikali yetu wenyewe mbona ukaipoteza bureee
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Жыл бұрын
Tulitolewa ukoloni mwa kiarabu na kuoingizwa katika ukoloni wa kiafrika
@allyhassan5664
@allyhassan5664 Жыл бұрын
Hivi sultan ametawala znz miaka mingi likn karume katawala miaka Saba maendeleo yameonekana mpk leo..sio
@user-zc3fk6oh9w
@user-zc3fk6oh9w 5 ай бұрын
You wrote the trush, you better keep quiet
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq Жыл бұрын
Ni kheri kutawaliwa na SULTAN kuliko kutawaliwa na TANGANYIKA
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 3 ай бұрын
Shida ilikua kwa ZNP "HIZBU" wao walipokea Uhuru kutoka Uingereza wakakubali Sultan abaki kuwa mkuu wa nchi,ila kiuhalisia Jamshid alikua ni sehemu ya Dola ya Oman,yaani Jamshid alikua mwakilishi wa Dola ya Oman nje ya nchi ya Oman...Mohamed Shamte alikua waziri mkuu na hakuwa na nguvu za kiutawala zaidi ya kusikiluza mkubwa wake.Ukweli ambao wazanzibar wengi hawaongelei ni kua Dola ya Oman imekaa zaidi ya makarne kwa mabavu kwenye visiwa hivi je Maendeleo waliyofanya kwa maelfu ya miaka ilishabihiana na ule mwaka 1964.Kihistoria Utawala wa Sultani ulikuwepo kabla ya wazungu kuingia Amerika, Kwa hyo majority had the right to overthrow the regime kwa kigezo cha muda huo na ukweli wa historia.
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 3 ай бұрын
Shida ilikua kwa ZNP "HIZBU" wao walipokea Uhuru kutoka Uingereza wakakubali Sultan abaki kuwa mkuu wa nchi,ila kiuhalisia Jamshid alikua ni sehemu ya Dola ya Oman,yaani Jamshid alikua mwakilishi wa Dola ya Oman nje ya nchi ya Oman...Mohamed Shamte alikua waziri mkuu na hakuwa na nguvu za kiutawala zaidi ya kusikiluza mkubwa wake.Ukweli ambao wazanzibar wengi hawaongelei ni kua Dola ya Oman imekaa zaidi ya makarne kwa mabavu kwenye visiwa hivi je Maendeleo waliyofanya kwa maelfu ya miaka ilishabihiana na ule mwaka 1964.Kihistoria Utawala wa Sultani ulikuwepo kabla ya wazungu kuingia Amerika, Kwa hyo majority had the right to overthrow the regime kwa kigezo cha muda huo na ukweli wa historia.
@kassimhashi49
@kassimhashi49 Жыл бұрын
Mzee Allah akulaze pema peponi from Kenya
@seifhafidhsuleiman3643
@seifhafidhsuleiman3643 Жыл бұрын
Hotuba inaishi hii
@user-xl3xy6db2g
@user-xl3xy6db2g Жыл бұрын
Hatutaki kutawaliwa kwani kuna ubaya 😂😂😂😂
@user-xl3xy6db2g
@user-xl3xy6db2g Жыл бұрын
Watu wa Unguja na Pemba tumepata uhuru wetu kwa vita na Mungu alikuongoza heri na ufahari aupate yule alie kuzaa Mungu anisamehe kwa mabaya yko na akulipe kwa wema wako Amin
@user-zc3fk6oh9w
@user-zc3fk6oh9w 5 ай бұрын
Na mabaya pia amlipe , hakujua km hii Dunia mapito
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Nyerere kwa tamaa yako ya madaraka NA kua rais wameiteka nchi yako ya zanzibari tanganika ilikuwa dola NA zanzibari ilikuwa dola ungelikua NA akili sahihi zanzibari ina serkali peke yake dola yenye kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani dola ina uhuru kamili NA mamlaka kamili huyo sultani ni mwananchi wa zanzibari amezaliwa hapo hapo pemba NA mama yake ni mwafrika hana uhusiano NA oman kabisa wameshatengana toka kitambo sana NA oman zanzibari ni dola peke ya halali sasa umewapa wa tanganika ukoloni mpya milele bada ya kua NA serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe nchi ilikuwa NA kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua NA amani NA bendera yake hapo akili iko wapi nyerere NA waengerza wamefaulu kuiteka nchi NA watu wake sasa wazanzibari wanalia hawataki huo muongano
@mohammedabdallah9821
@mohammedabdallah9821 Жыл бұрын
Kaondoka sultani mwarabu, Sasa tunae sultani mtanganyika ndo aloikalia Zanzibar kwa mabavu, HAKUNA tena nchi ya Zanzibar kuna Tanzanian
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Tumeamua hata sie watanganyika hatutaki Kua na nyinyi mwambieni bi mkubwa auvunje we are ready
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Ameiuza zanzibari kwa nyerere hawana uhuru imefutwa dola ya zanzibari katika ramani ya dunia muongano yaani kutawaliwa NA tanganika
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 Жыл бұрын
Adhabu na wewe unaiyona adhabu ya Allah ulio wauwa ndio sisi wazanzibar
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Mungu aliempa athabu katika dunia kupigwa risasi nane NA huko akhera ataulizwa roho za watu nafsi za watu sio mchezo hata ukiua paka utauliwa wazanzibari wa liuwawa kinyama ni raia tu wala sio askari sasa huo karume hao watu wanamsubiri huko sirati huko ahera wa nataka malipo yao aliye uwawa anamuliza mungu huo ameniuwa dunia duniani kwanini
@allyhassan5664
@allyhassan5664 Жыл бұрын
Lkn aliemuua karume ataenda kujibu nayy kwann alimuua .adhabu anaiaubiri
@omarsaid4702
@omarsaid4702 2 жыл бұрын
Kweli mungu atamlipa kwa alicho kipanda
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Kwa kua elfu ishirini NA kuiza nchi kwa wakrsto wa tanganika
@fahmialharthi4596
@fahmialharthi4596 2 жыл бұрын
Unaiyona raha mustareh huko ulipo
@anuaryjuma9469
@anuaryjuma9469 2 жыл бұрын
Kweli nchi ya wafrica
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Nchi emetawaliwa NA jirani
@abdulab6202
@abdulab6202 2 жыл бұрын
Khalid said unamwambia mtu llaantu llah je ingekuwa hao warabu wange wauwa watu weusi unge wa laani kama ni dhulma na wao hao warabu walikuwa wanadhulumu watu usimlaani mtu hujui nini kingetokea kwa hao waafrika maana nahao unao watetea walikuwa na njama zao waswahili wamesema ukujuwa huu wenzio wanao ujuwa huu kaa utafakari
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Kaleta ukoloni wa namna nyingine hao waarbu ni wazaliwa zanzibari hawajui kwao kabisa ni wanainchi sasa umetawaliwa hamna cha mamlaka ya zanzibari kua elfu ishirini kwa dakika arbaini hakubali mungu hao ni waaslamu wanataamka shada
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 Жыл бұрын
@@alialamoudi9729 yy alikua muafrika ndio wakawau mpaka watoto wa walio zaliwa.
@sellamwani7300
@sellamwani7300 Жыл бұрын
​@@alialamoudi9729waarabu waliuza waafrika mamillioni kwenye Utumwa!yaonekana wewe mwarabu?
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 2 жыл бұрын
Big man viva karume asante sana
@khalidsaid4297
@khalidsaid4297 2 жыл бұрын
Ww ndie ulie tudhslilisha na ndio tunazidi kizalilishwsa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Ye hayupo we umefanya nini kutoa huo udhalili
@khalidsaid4297
@khalidsaid4297 2 жыл бұрын
Laaanatu اللہ Allah atakulipa kwa ulichokipandaa
@albertjames6845
@albertjames6845 Жыл бұрын
Wewe mjinga mmoja tu, hujitambui
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 Жыл бұрын
@@albertjames6845 babu kausho lalichokipanda anakipata aliua kwa mtutu na yy aliuwa kwantutu! Kama kamata dini tudani.unapomfanyia mwenzio na wewe utafanyiwa ndicho alicho kipata
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@mohammedhamad5297 wangapi waloua kwa mtutu na hawakufa kwa mtutu
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 2 жыл бұрын
💪💪💪🌎🕌❤️👀
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 2 жыл бұрын
NAMKOBOZI WA ZANZNZIBARI LAKINI MKOLONI MAMBO LEO WA BARA
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 Жыл бұрын
Hiyi imeendaa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 2 жыл бұрын
NYANI HALIONI KUNDULE HAKI YA MTU HAIPOTEI
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Mpka lini hiyo haki itarudi sasa miyaka sitini kutawaliwa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 2 жыл бұрын
HAKI HAIPOTEI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAHUNI MAJAHIL HAKI KAILETA ALHAMDULILLAH RABI ALLAMEEN
@komboomar8275
@komboomar8275 2 жыл бұрын
*Ukaichuwa zanzibar yenye mamlaka yake ukaipeleka bara sasa tunaoteseka ni sisi*
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Kaiuza rasmi
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Huyo angekua NA akili amewapa nchi yake nzima kwa wakrsto huko tanganika ya nyerere maauaji wa stini na ine ndio bala wale walikufa wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume ni waaslamu wenzetu mungu atatuliza wameuliwa kinyama bila thambi raia tu wala sio askari nyerere ameamuru mjeshi yake kuvamia zanzibari wewe ingia Google youtu.be utaona maajabu watu waliuliwa walipigwa risasi kiyama kuna suali
@zahorsalum663
@zahorsalum663 3 жыл бұрын
Ww umeenda umewachia mafisadi kijio wapo wanatumaliza kwakutuua kwarisasi.kisa madaraka.tu.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Duuh mungu mkuu sauti ya Miaka 41 ipo clean kama janana
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 3 жыл бұрын
Ndio wewe mjinga uliowadhulumu watu
@nassornassor8774
@nassornassor8774 4 жыл бұрын
Kwa Tànzania babu hapana tabu lakini A S P haipo hatuna vya kuikumbuka mitihani , mbona ww hukuunga vyama ?babu tunakukumbuka na hizo hazabu Tanzania milele
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Sahihi
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 4 жыл бұрын
Hajijui anasema nini majisifu mengim
@raymondkaswaga5055
@raymondkaswaga5055 4 жыл бұрын
Babu ulikufa na Nyerere akafa na wenzako hawautaki muungano
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 2 жыл бұрын
Good good good
@alyhamad852
@alyhamad852 4 жыл бұрын
Thanks rest in peace
@thanimosi8906
@thanimosi8906 4 жыл бұрын
Mnasikia maneno hayo nyie wajinga wafuasi wa Juha seif
@mohammedomar7280
@mohammedomar7280 3 жыл бұрын
we hunaujuacho eti
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Huyo ndio mkomboz wa kwel sio wale wengine wakomboz fake
@masoudchake2552
@masoudchake2552 5 жыл бұрын
Muendelee kutuekea maneno haya kama kumbukumbu ya vizazi vya sasa na vyahalafu! Ila dakika muongeze kwa sababu mnatuekea sekunde chache! Haya maneno ya mzee matamu kuyasikiliza
@mussakassim2336
@mussakassim2336 5 жыл бұрын
Super king