Пікірлер
@GeorgeSimbeye-c1p
@GeorgeSimbeye-c1p 37 минут бұрын
Kulikon tena ayikon wa yanga uyo
@AdamCalvn
@AdamCalvn 3 күн бұрын
Wambea nyie kwenden uko
@simonmbogo7644
@simonmbogo7644 3 күн бұрын
Hivi mbona mnakua na maelezo mengi mnaboa
@SosthenessMlingwa
@SosthenessMlingwa 3 күн бұрын
Kwan inawahusu nini wao
@Babu24-x8s
@Babu24-x8s 4 күн бұрын
TOTO HHANA NNAFAS HAHITTAJIKI JANGWANI
@omarimhd7716
@omarimhd7716 4 күн бұрын
Nawapiga dislike
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 4 күн бұрын
Nyie Mnaemuongelea Vibaya Eng Hersi Kwamba Huko Ulaya Amejipeleka Ss Nyie Mnaongea Hayo Maneno Mlitaka Aende Kisugu Mtakufa Kwa Roho Mbaya
@samalumatanga
@samalumatanga 4 күн бұрын
Kwa usajili huu ni bora sana
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 4 күн бұрын
Mijitu mwingine, wanaobeza ni wahuni, bangi tupu, tena hovyooo, Eng Hersi atajipelekaje mwenyewe? hukooo?
@sizabintrajabu6709
@sizabintrajabu6709 4 күн бұрын
Hayo yote ni maumivu tuu mwisho wa siku mnaanguka na presha maana wivu sio kitu kizuri kwa binadamu
@Salvatorykarugaba
@Salvatorykarugaba 4 күн бұрын
Hao ni wapinzani wetu wa jadi,wasiotutakia mema Yanga
@AMRIKAGAMBO-cy5ul
@AMRIKAGAMBO-cy5ul 4 күн бұрын
Kweli wakati mwingine roho mbaya inaweza kukusababisha uitwe mchawi. Basi hata cheo cha uenyekiti wa vilabu Afrika alijipatia mwenyewe.😂😂😂
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 4 күн бұрын
sasa walitaka aalikwe mangungu au mbona shobo sana yaani apo bado hamjasema nakinachofata saivi ikiachia kiti motisepe anaingia eng
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 4 күн бұрын
nyie wote mnaomjadili eng ni mambwa tena koko wasiojitambua na bado mtasema mbona ndo kwaanza njia inazidi kua nyeupe kwa eng nyie kolo mangungu yupo mbangala vilngeni poleni sana mnayoyaomba mabaya kwa yanga yawarudie × 1000
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 5 күн бұрын
Wooote wanaosema haalikwani simbaaa,watakomawajingawasiojitambua ,wanafikiri ni mkutanowamisomisondo?,hatakamahunamwalikounaingiaaaaaa😂😂
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 5 күн бұрын
Mwandishiwakichwa chahabari hajitambuinibwege nawanaosemahajaslikwanimadundukawatupu watakomanawivuu😂😂utawaiaasaaaa😅😅
@YohanaMafula
@YohanaMafula 5 күн бұрын
😮😮😮
@marcobulili4341
@marcobulili4341 5 күн бұрын
Engineer Hersi alindwe kwa nguvu zote. Kuna watu hawamtakii kheri mtanzania huyu kwa roho zao za korosho wanatangaza maambo ya ajabu sana ili mrsdi wamharibie sifa zake! MUNGU ampe kingine zaidi ya hicho yaani aandae meza mbele ya watesi wake!.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 5 күн бұрын
Hata kama hajaalikwa tatizo ni nini? Kwani hakuhudhuria? Kwani kwenye ukumbi unaingia bila utambulisho? Wewe zero.
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 5 күн бұрын
Unakuaga mwoongo sana tena me nadhani uache utoto mwingi ni ufala kwenda zako uko
@BarikiMangula
@BarikiMangula 6 күн бұрын
Kwaa yanga hii ubingwa lazm
@Abeli-t4t
@Abeli-t4t 7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@ISAACMBAGO
@ISAACMBAGO 8 күн бұрын
Enyi viongozi wa yanga na rais wa yanga +GSM! Mna kwenda kuwa ma bingwa wa klabu bingwa, na itakuwa historia yenu na haita kuja tokea tena. Sasa fanyeni vitu vifuatavyo: (1) salini sana na mwache kuwa amini waganga wa kienyeji (2) msisikilize sauti za watu wanavyo sema (3) na wachezaji wasali kabla yaku pata chai na wanapo ingia uwanjani washikane mikono kama ishara ya umoja kwani hapa ndipo ushindi ulipo (4) na mashabiki wa ache kuingia na viashiria vya kutu fanye tuonekane washirikina (5) tusapotiane na tuwa shirikishe wazee waliyo pita yanga kwa mafanikio kwani wanao ushauri bora wakutuweka mahali pa zuri, (6) mwache kutoa heshima kwa mtu aliye kufa kwani ha yupo kwani hana mausiano na nyie. Kwa hivi vitu! Mtachukuwa ubingwa, na mwaminini MUNGU aslimia 100% kuwa atawa vusha.
@HNT-xz7uk
@HNT-xz7uk 8 күн бұрын
Asante
@KwellyRyoba-n5s
@KwellyRyoba-n5s 9 күн бұрын
Sass having hakuna usability kwa wachezaji ambao wanasomeka wanamilikiwa na klabu.acha uongo
@HashimuHasani-w1c
@HashimuHasani-w1c 9 күн бұрын
Kama ni hiyo poa
@YammiTosha-d4x
@YammiTosha-d4x 18 күн бұрын
Kwan nyie mumekosa habari za kutangaza mpaka museme habari za uongo mala chama ametoka yanga ameongea tamko zito mala chama anakula mkate mkavu acheni izo ata ukasikia unatafuta ela ndo museme habari za uongo nyingine mala dube
@BeatriceCharles-f8t
@BeatriceCharles-f8t 18 күн бұрын
Namwombea feisal arudi yanga atupe raha mashabiki wake tumemumic sana love yuo brother fei hakuna mkate mkavu mbele ya chai one day yes 💚💚💚💚💚💚💚
@StellaKalinga-ui9zl
@StellaKalinga-ui9zl 18 күн бұрын
AZIZI K bado hajaonesha ubora wake 😂😂😂
@StellaKalinga-ui9zl
@StellaKalinga-ui9zl 18 күн бұрын
Mimi siamini kama anaua viwango vya wachezaji
@StellaKalinga-ui9zl
@StellaKalinga-ui9zl 18 күн бұрын
Hnt media mnatuletea habari za kueleweka kabisa sasa itakuaje ataondoka kweli au😢😢
@methuselakajwaula4739
@methuselakajwaula4739 18 күн бұрын
Acheni uchochezi wa uongo
@StellaKalinga-ui9zl
@StellaKalinga-ui9zl 19 күн бұрын
Yangaaaa ya gamondi ❤
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 19 күн бұрын
Mwambie amfukuze mama yako
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 19 күн бұрын
Mwambie amfukuze mama yako
@EvelynePaul-x9y
@EvelynePaul-x9y 19 күн бұрын
Kwanini analalamika sijawaelewa toeni taarifa zakueleweka
@EvelynePaul-x9y
@EvelynePaul-x9y 19 күн бұрын
Toeni taarifa zaukweli mnatuchanganya
@kassidpandu866
@kassidpandu866 19 күн бұрын
kasajiliwa kwa kuikomoa simba Tuu
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 19 күн бұрын
Gamond anaua vipaji pale yanga hawapi nafsi japo dk 30 .injinia fukuza hilo kocha zee linaua vipaji mfano liliua kipaji cha moloko.
@DENISMAKALA
@DENISMAKALA 19 күн бұрын
Wewe ni kolo sio yanga huna loloteeee
@Yassirjuma-i1c
@Yassirjuma-i1c 15 күн бұрын
Anaitaj faraja ije au umeanz kuogopa kufukuzwa kocha wko? Yy atakuw sehem ya mchezo sk 1
@isackanatory
@isackanatory 23 күн бұрын
Simbaaaaa
@innocentsyrvester7579
@innocentsyrvester7579 24 күн бұрын
mnatngenez ujinga tyu 2:31
@athumanhatibumkombolaguha
@athumanhatibumkombolaguha 26 күн бұрын
Kuhusu Aziz Kii, bado hamjasema,,,, ,,,,,,
@georgealphonce100
@georgealphonce100 28 күн бұрын
Kweli kiwango cha Azizi kimeshuka na asipojiangalia atazidi kushuka,mi nilisema tangia mwanzo Azizi anaponzwa na starehe hasa alipojipachika kwa Mobeto
@upendokweka8381
@upendokweka8381 Ай бұрын
Azizi K, mmembemenda wenyewe Sasa mnalalamika nini?
@maryfides591
@maryfides591 Ай бұрын
Ni kweli kabisa Aziz sio yule wa amani tunae mjua😮
@BagashekiFelix-jr9cu
@BagashekiFelix-jr9cu Ай бұрын
Wachaa hisia zenu chafu nyie sio malaika ni washenzi nyie kutumia kalamu na midomo yenu kuleta vitu vya rohoni mwenu "WADHAMBI" kuhisi visivyo.
@SaidKombo-i3r
@SaidKombo-i3r Ай бұрын
Muongo acha fitina
@MariaMchomvu-ko8qw
@MariaMchomvu-ko8qw Ай бұрын
Uwongo weww
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm Ай бұрын
Mjinga wekilaza
@GeraldJoseph-r4w
@GeraldJoseph-r4w Ай бұрын
Jamn mm wa kwanza naomba like zangu😮😮😮😮
@dismanManota
@dismanManota Ай бұрын
Weka video tuone acha ngenga