YANGA LEO WAMETOA HABARI KUHUSU ENG HERSI YAMKUTA MAZITO HUKO ULAYA UTASHANGAA KILICHO TOKEA

  Рет қаралды 10,923

HNT Media

HNT Media

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 4 күн бұрын
Nyie Mnaemuongelea Vibaya Eng Hersi Kwamba Huko Ulaya Amejipeleka Ss Nyie Mnaongea Hayo Maneno Mlitaka Aende Kisugu Mtakufa Kwa Roho Mbaya
@SosthenessMlingwa
@SosthenessMlingwa 3 күн бұрын
Kwan inawahusu nini wao
@AMRIKAGAMBO-cy5ul
@AMRIKAGAMBO-cy5ul 4 күн бұрын
Kweli wakati mwingine roho mbaya inaweza kukusababisha uitwe mchawi. Basi hata cheo cha uenyekiti wa vilabu Afrika alijipatia mwenyewe.😂😂😂
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 5 күн бұрын
Mwandishiwakichwa chahabari hajitambuinibwege nawanaosemahajaslikwanimadundukawatupu watakomanawivuu😂😂utawaiaasaaaa😅😅
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 4 күн бұрын
Mijitu mwingine, wanaobeza ni wahuni, bangi tupu, tena hovyooo, Eng Hersi atajipelekaje mwenyewe? hukooo?
@sizabintrajabu6709
@sizabintrajabu6709 4 күн бұрын
Hayo yote ni maumivu tuu mwisho wa siku mnaanguka na presha maana wivu sio kitu kizuri kwa binadamu
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 4 күн бұрын
sasa walitaka aalikwe mangungu au mbona shobo sana yaani apo bado hamjasema nakinachofata saivi ikiachia kiti motisepe anaingia eng
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 4 күн бұрын
nyie wote mnaomjadili eng ni mambwa tena koko wasiojitambua na bado mtasema mbona ndo kwaanza njia inazidi kua nyeupe kwa eng nyie kolo mangungu yupo mbangala vilngeni poleni sana mnayoyaomba mabaya kwa yanga yawarudie × 1000
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 5 күн бұрын
Hata kama hajaalikwa tatizo ni nini? Kwani hakuhudhuria? Kwani kwenye ukumbi unaingia bila utambulisho? Wewe zero.
@Salvatorykarugaba
@Salvatorykarugaba 4 күн бұрын
Hao ni wapinzani wetu wa jadi,wasiotutakia mema Yanga
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 5 күн бұрын
Wooote wanaosema haalikwani simbaaa,watakomawajingawasiojitambua ,wanafikiri ni mkutanowamisomisondo?,hatakamahunamwalikounaingiaaaaaa😂😂
@marcobulili4341
@marcobulili4341 5 күн бұрын
Engineer Hersi alindwe kwa nguvu zote. Kuna watu hawamtakii kheri mtanzania huyu kwa roho zao za korosho wanatangaza maambo ya ajabu sana ili mrsdi wamharibie sifa zake! MUNGU ampe kingine zaidi ya hicho yaani aandae meza mbele ya watesi wake!.
@omarimhd7716
@omarimhd7716 4 күн бұрын
Nawapiga dislike
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 24 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 24 МЛН