Tokauondoke wewe hiyo Pemba haina gati wala haina Airport
@HawahallyAhmed27 күн бұрын
N
@jacobkakale95863 ай бұрын
Kali doctor 💪💪
@samweljoseph84154 ай бұрын
Napataje line
@user-vh2lc3lh6o6 ай бұрын
Napataje sasa izo lain yan process zake
@emmanuelmasanja389710 ай бұрын
Keep fighting bro
@user-fm5xz4so4x10 ай бұрын
Duhh si mchezo
@user-fm5xz4so4x10 ай бұрын
Duhh si mchezo
@AnasteraEvarista-pv7bb11 ай бұрын
Ok
@Jastin-rodin11 ай бұрын
Broo nahtaji mawasiliano nawe
@mtewelehealth11 ай бұрын
0768316304
@yaliyomo Жыл бұрын
masikini Zanzibar
@user-xf9or5cv1d Жыл бұрын
Hamtaki kukopa mnacho taka kunyanga nya kwa njia si yahalali
@machenjamaduhu7636 Жыл бұрын
Magambo Machumu noma sanaa
@mosesmabula5840 Жыл бұрын
Abm fm mpo Dodoma maeneo gani?
@abeidsng Жыл бұрын
Unaongea sana nenda kwenye point
@elikanatininalazza7209 Жыл бұрын
Kama huna nida
@sushi3112 жыл бұрын
unaongea sana
@naimasaidhandembroidery80112 жыл бұрын
Hongera
@mtewelehealth2 жыл бұрын
Karibu
@salumbatash55122 жыл бұрын
Code yangu ya tigo nimeisahau nifanyeje
@mtewelehealth2 жыл бұрын
Nipigie 0768316304
@linuskagenyi42082 жыл бұрын
Changamoto zitokanazo na biashara ya m pesa
@mtewelehealth2 жыл бұрын
Zipo nyingi
@tkmaster58762 жыл бұрын
Kama kibanda ni cha kwangu..?
@mtewelehealth2 жыл бұрын
Gharama zitapungua
@onorathcassian80623 жыл бұрын
Hiyo laki moja kwa mwenye mtaji mdogo ni gharama za ufuatiliaji au ndo mtaji wa kuanzia
@mtewelehealth2 жыл бұрын
Unaweza kuanza na kiasi ukichonacho
@famebutvhass64093 жыл бұрын
Je kama huna leseni ya biashara lakini una tini namba huwezi pata line ya uwakala au ukatumia leseni ya mtu mwingine
@mtewelehealth2 жыл бұрын
Lazima uwe na leseni
@maulidsaid94483 жыл бұрын
Je hiyo njia ya kupatana na watu ambao wameshaacha kutumia hizo laini zao, huwa ukiipata laini hiyo ni salama?
@mtewelehealth3 жыл бұрын
Usalama nj mdogo sikushauri
@jamiriyaamasi95463 жыл бұрын
Bei za line huwa bei gan
@mtewelehealth3 жыл бұрын
Bure andaa mtaji tu
@GAYOTV20233 жыл бұрын
@@mtewelehealth naitaji raini kaka
@mussakalinga92213 жыл бұрын
Vipi nikitimiza vigezo vyote lain inakuwa imekamilika ndani ya mda gan?
@agapengitao44393 жыл бұрын
naomba namba yako ya whatsapp
@deborasanga99853 жыл бұрын
Congratulate best utafika mbali mwamini mungu
@gladymndala97093 жыл бұрын
Nina mwaka line ya tigo sijapata alaf nimeenda kiuhalali mpk lesen imeisha muda wake
@rahimually58153 жыл бұрын
nahitaji laini ya m.pesa kwa njia ya online
@angelinajoseph12483 жыл бұрын
Swali lingine ni kwamba Kama nimehama mkoa na kwenda mkoa mwingine je nitahijika kubadirisha Hivyo vibali
@mtewelehealth3 жыл бұрын
angelina joseph hapana nenda Tgo shop au Voda wakubadilishie wakala mkuu
@angelinajoseph12483 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa vizuri naomba kufahamu kwamba nikishapata TIN namba pamoja na reseni ya biashara je kule VODASHOP, TIGO SHOP au AIRTEL SHOP nitatoa shilingi ngapi ili kupata hizo lain
@mtewelehealth3 жыл бұрын
angelina joseph mtaji wako inategemea unataka kuanza na tsh ngap unaweza kuanza na lak 5
@akederamadhani58673 жыл бұрын
@@mtewelehealth hyo laki tano analipia hzo lain au anaingiza hela katika laini ziaze kufanya kaz
@careencharlescharles97493 жыл бұрын
je hiyo leseni ya biashara nawaze kufanyia hata biashara mbili au tatu
@mtewelehealth3 жыл бұрын
Careen Charles Charles Utakapienda pata leseni utaulizwa aina ya biashara unayotak kufany
@careencharlescharles97493 жыл бұрын
da mrorongo mzito hadi naogopa
@mtewelehealth3 жыл бұрын
Careen Charles Charles ni rahis sn
@tkmaster58762 жыл бұрын
Ni lahis mno me nimefatilia tuanzia juzi nimekamilisha jana na isingekuwa ubusy ningepata siku ile ile lesen
@careencharlescharles97493 жыл бұрын
asante kaka
@abdallahseif79543 жыл бұрын
Nawezaj wasiliana na nyny?
@mtewelehealth3 жыл бұрын
Abdallah seif 0768316304
@itsjonahfather79413 жыл бұрын
Tatizo lako unazungukaa sanaaaa ufiki kwenye main point maelezo yamekuwaaa mengiii mpaka unabowaa
@hamadhamad81123 жыл бұрын
Nammnataka
@ndyanabokatabaro3424 жыл бұрын
Thank
@peterjosephmanula91174 жыл бұрын
Samahani je kama umepa TIN NO Dar af ukapata uhamisho ukaenda mkoani je una change lessen au pamoja na TIN NO.
@millermsoz72324 жыл бұрын
Unahamisha tini
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
Mi naanza na million 2 mkuu
@nipaelernest6623 жыл бұрын
niazime laki tatu tusaidiane umaskini
@malakimwanyila31744 жыл бұрын
Namba yako naomba
@malakimwanyila31744 жыл бұрын
Nafaidikaje kaka?
@ramadhanikondo61144 жыл бұрын
Hongera daimu na asante kwa somo
@bakaliabedi678 Жыл бұрын
Haaa
@belathomgayamavyale50224 жыл бұрын
Saf post nyimbo nyingine nimeipenda
@jescajoshua754 жыл бұрын
Je unaweza kutumia laini ya MTU ambae alikuwa wakala afu akaach?