JIFUNZE BIASHARA YA UWAKALA WA M PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA HALOPESA

  Рет қаралды 55,589

MTEWELE ONLINE HEALTH CONSULTANT

MTEWELE ONLINE HEALTH CONSULTANT

6 жыл бұрын

Jifunze mbinu mbalimbali za kufanya biashara ya uwakala na kuongeza faida katika mtaji wako. ni hapahapa FOC ENTERTAINMENT MEDIA. Usisahau kusubscribe kulike kucomment maoni yako kisha share na wenzako.
karibu sana

Пікірлер: 49
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 12 күн бұрын
vipi kuhusu wale ambao wanakuwa kama mawakala wa mitandao na bank pia na zile mashime pia
@daimunampupanga1279
@daimunampupanga1279 6 жыл бұрын
It's really nice video, I will watching your posts, it's real fantastic
@mtewelehealth
@mtewelehealth 6 жыл бұрын
Daimu Nampupanga KARIBU
@borgianathan3017
@borgianathan3017 6 жыл бұрын
Bigup DAIMU
@magrethrichard5653
@magrethrichard5653 5 жыл бұрын
asant kwa somo,vp kuhusu faida na jinsi ya kuanzaaaa?
@francishaule447
@francishaule447 5 жыл бұрын
Faida unapataje wanayoita cammission
@samweljoseph8415
@samweljoseph8415 5 ай бұрын
Napataje line
@user-vh2lc3lh6o
@user-vh2lc3lh6o 7 ай бұрын
Napataje sasa izo lain yan process zake
@shamimgally7402
@shamimgally7402 6 жыл бұрын
NYC kwel kwel
@mtewelehealth
@mtewelehealth 6 жыл бұрын
+shamim gally endelea kuwa nasi Usisahau kusaubscribe.
@ramadhanikondo6114
@ramadhanikondo6114 4 жыл бұрын
Hongera daimu na asante kwa somo
@bakaliabedi678
@bakaliabedi678 2 жыл бұрын
Haaa
@malakimwanyila3174
@malakimwanyila3174 4 жыл бұрын
Namba yako naomba
@malalezengo4405
@malalezengo4405 5 жыл бұрын
safi sana mkuu Kwa somo nzur san mm ninauzoefuu nina kama mika 6 nafanya kazi hii ongera pia kwa somo
@mdomani2404
@mdomani2404 5 жыл бұрын
Me naomba kuuliza jinsi ya kupata Faida
@pauljulius1662
@pauljulius1662 4 жыл бұрын
Fundisho namna ya kupata faida
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra 4 жыл бұрын
Umejitahidi lkn inaonekana hujafikia kabisa matumaini ya hadhira wako, maana kila mtu anahitaji kujua faida na sio jinsi ya kuifanya biashara
@fatmasalim7035
@fatmasalim7035 5 жыл бұрын
Sasa kaka unatakiwa uwe na mtaji wa shilingi ngapi?
@salumbatash5512
@salumbatash5512 2 жыл бұрын
Code yangu ya tigo nimeisahau nifanyeje
@mtewelehealth
@mtewelehealth 2 жыл бұрын
Nipigie 0768316304
@nusalim3389
@nusalim3389 5 жыл бұрын
je ikiwa unazungusha ml 5 kwa biashara hii kila siku unatarajia faida ya sh ngapi kwa mwezi?vilevile ukiwa unaweza zungusha hadi ml 10 kwa siku,hapo nazugumzia location yenyewe inaruhusu pili huo mtaji wenyewe pia upo
@malakimwanyila3174
@malakimwanyila3174 4 жыл бұрын
Nafaidikaje kaka?
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 5 жыл бұрын
laki tano haitoshi
@hassaniothumani5501
@hassaniothumani5501 4 жыл бұрын
Mi naanza na million 2 mkuu
@nipaelernest662
@nipaelernest662 3 жыл бұрын
niazime laki tatu tusaidiane umaskini
@asaszone1349
@asaszone1349 5 жыл бұрын
Tuma no ya whatsapp
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
Binafsi ungetuwekea no ya simu au hata email yako kwa maelekezo zaidi jamani..
@mtewelehealth
@mtewelehealth 5 жыл бұрын
0768316304.
@pauljulius1662
@pauljulius1662 4 жыл бұрын
@@mtewelehealth tufundishe namna ya kupata faida
@amizahayola8437
@amizahayola8437 5 жыл бұрын
Vzr
@linuskagenyi4208
@linuskagenyi4208 2 жыл бұрын
Changamoto zitokanazo na biashara ya m pesa
@mtewelehealth
@mtewelehealth 2 жыл бұрын
Zipo nyingi
@HawahallyAhmed
@HawahallyAhmed Ай бұрын
N
@agapengitao4439
@agapengitao4439 3 жыл бұрын
naomba namba yako ya whatsapp
@aishaqasim2679
@aishaqasim2679 5 жыл бұрын
tutumie no yko ya whtspp
@mtewelehealth
@mtewelehealth 5 жыл бұрын
Sawa
@pauljulius1662
@pauljulius1662 4 жыл бұрын
@@mtewelehealth fundisho namna ya kupata faida
@AnasteraEvarista-pv7bb
@AnasteraEvarista-pv7bb Жыл бұрын
Ok
@jamiriyaamasi9546
@jamiriyaamasi9546 3 жыл бұрын
Bei za line huwa bei gan
@mtewelehealth
@mtewelehealth 3 жыл бұрын
Bure andaa mtaji tu
@GAYOTV2023
@GAYOTV2023 3 жыл бұрын
@@mtewelehealth naitaji raini kaka
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 32 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 6 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
UTARATIBU WA KUPATA LESENI ZA BIASHARA KUNDI 'A'
19:11
BRELA ONLINE TV
Рет қаралды 3,6 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 12 М.
Siku Ngapi Mzigo Unakufikia Kutoka Alibaba (China)? Elewa kwa Undani Zaidi.
7:54
EPUKA KUFANYA MAKOSA HAYA YA KIFEDHA
10:36
Success Path Network
Рет қаралды 23 М.
MASHWALI 5 KUHUSU BIASHARA YA UWAKALA
9:25
RABAONE TV
Рет қаралды 3,9 М.
Притворилась БЕРЕМЕННОЙ 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 4,6 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
0:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 14 МЛН