MAPAMBANO YA LUGHA ZA UGHAIBUNI
1:04
HALI YA HEWA NYUMBANI & UGHAIBUNI
2:46
MAMBO MAZURI UWANJA WA TAIFA
2:00
USHAURI KUTOKA KWA GASPER
2:18
7 ай бұрын
BADO UNATAKA KUA MBWA ULAYA?😂
2:13
UJUMBE WA WAAFRIKA WALIOKO ULAYA
1:54
MAISHA YA ULAYA WAKATI WA SNOW🥶
1:39
Visa interview Questiobs
1:04
11 ай бұрын
UPWEKE UGHAIBUNI
3:34
11 ай бұрын
Пікірлер
@PeterRobertchilipalo
@PeterRobertchilipalo 11 сағат бұрын
Jipange unapofanya kazi na fanya zowezi kabra 😂😂ila tumepata kuelewa
@Witnessvlog
@Witnessvlog 25 минут бұрын
Asante sana kwa ushauri
@HerriMossi-fu3lw
@HerriMossi-fu3lw 21 сағат бұрын
Naanza nasalamu dada unaendeleya ajh
@Witnessvlog
@Witnessvlog 24 минут бұрын
Sijambo sana ndugu. Busy tu na majukumu
@graceweiss3813
@graceweiss3813 Күн бұрын
Hi! I appreciate the video. Wouldn't it be more helpful if answers were provided as well?
@Witnessvlog
@Witnessvlog 23 минут бұрын
Hi Grace. I think that would be nice. I will find the time and do that
@RICHARDJOSEPH-q9p
@RICHARDJOSEPH-q9p 2 күн бұрын
Acha mauzo yasio faaa nenda Direct kwenye mada yako ya kuelimisha watu sio unanyanyuka kwenda kunywa maji unarudi jifunzeni kutengeneza matangazo bila kuwachefua watu jamani
@Witnessvlog
@Witnessvlog 21 минут бұрын
Pole sana kwa hilo. Kwahio mtu asiende kunywa maji? Nenda CNN au BBC wako direct kwenye mada.
@YusraOmary-c2z
@YusraOmary-c2z 6 күн бұрын
Sorry naomba nikuulize dada hiv kama mzungu amekwambia anakutumia mzigo Tanzania je inabidi Uzingatie nin?
@Witnessvlog
@Witnessvlog 3 күн бұрын
Wengi ni matapeli. Usimtumie pesa kwa namna yoyote ile
@AbdulSalmin-d2x
@AbdulSalmin-d2x 15 күн бұрын
Ilo biti la mziki lann?
@Witnessvlog
@Witnessvlog 14 күн бұрын
Pole
@MaulidLihendeko-zu4mv
@MaulidLihendeko-zu4mv 19 күн бұрын
Airport ya tz haiko busy kama airports zingine duniani ndio maana wanapata muda wa kusumbua wasafiri me mwenyewe ni muhanga wa usumbufu pale uhamiaji.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 18 күн бұрын
Yani kwakweli haiko busy.
@MwanaishaMande
@MwanaishaMande 20 күн бұрын
Kwenye kuuana hata Tanzania saivi hakuna amani
@Witnessvlog
@Witnessvlog 18 күн бұрын
Yani inasikitisha sana
@MwanaishaMande
@MwanaishaMande 20 күн бұрын
Nina ndoto ya kufanya kazi marekani japo sijasoma nisaidieni😢
@Witnessvlog
@Witnessvlog 18 күн бұрын
Omba green card mwaka huu
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 23 күн бұрын
Nakuja kukusaidia kumlea aunt Malaika😅
@Witnessvlog
@Witnessvlog 23 күн бұрын
Nitashukuru karibu sana
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 23 күн бұрын
Mama malaika Mungu akutunze imiss u ❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog 23 күн бұрын
Amen. I miss you too
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 күн бұрын
Lakini zamani kulikuwa hakuna usumbufu mwaka2002nilisafili peke yangu kulikuwa easy
@Witnessvlog
@Witnessvlog 23 күн бұрын
Oh vizur kujua
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 күн бұрын
Mbona misafara mingi chukua Emirates mpaka Dubai mpaka hapo unapoishi very simple au Qatar airways
@Witnessvlog
@Witnessvlog 23 күн бұрын
Still bado nitaunganisha hata nikichukua hizo ndege. In fact Napenda kuunganisha kupitia nchi za ulaya kwasababu visa inaniruhusu kutoka nje ya uwanja na kutembea nchi kuliko huko Dubai ambapo nitahitaji visa nyingine
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 күн бұрын
Sio boot dada yangu ni cargo
@Witnessvlog
@Witnessvlog 23 күн бұрын
🤗Asante sana kwa kunisahihisha.
@dausonkahitira5597
@dausonkahitira5597 24 күн бұрын
Jina unaitwa nni boss nikufute Instagram
@dausonkahitira5597
@dausonkahitira5597 24 күн бұрын
Kaz njema witness Napenda unachofanya dada angu 🎉🎉🎉
@Witnessvlog
@Witnessvlog 24 күн бұрын
Asante sana Dauson
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 25 күн бұрын
Mimi najifunza kingereza kwa sasa namshukul Mungu ila kuongea km wewe ndio sijui ila tunaelewana natafuta mialiko ya biashala au mikutano sasa sijui km watataka English au kiswahili
@Witnessvlog
@Witnessvlog 24 күн бұрын
Endelea kupambana. Imenichukua miaka mingi kuongea hivi muhimu nikukazana na kufanya mazoezi ya kuandika, kusoma na kuongea kila siku. Unaweza chagua lugha ambayo uko huru nayo ila kwa visa ya biashara ni vizuri tutumie Kingereza juu huko unaenda kukutana na wafanyabiashara ambao hawaongei kiswahili.
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 24 күн бұрын
@@Witnessvlog Asante sana dada nitajitaid kujifunza
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 25 күн бұрын
Dada naomba unijibu interview za Marekani zinakuwa za lugha moja tuu ya English au unaweza ongea kiswahili
@Witnessvlog
@Witnessvlog 25 күн бұрын
My dear inategemeana Pls Angalia hii video hii nilishazungumzia hili. Bonyeza link hii👇 kzbin.info_-AyrIvj3XY?feature=share
@AliAli-m5k9l
@AliAli-m5k9l 29 күн бұрын
Na kupata nipo ilaq
@Witnessvlog
@Witnessvlog 27 күн бұрын
Asante sana kaka
@shariffkhatibu6503
@shariffkhatibu6503 29 күн бұрын
Dah!😂😂😂😂😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog 27 күн бұрын
🤣
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Ай бұрын
Congrats In Advance our vloger since day uno.... You gonna speak denish honestly
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Thank you bro. Yani siku Niki kimaster ntafanya sherehe
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Ай бұрын
Kweli witness you look so humble man
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
😂😂Dada ni Sina Hela tu😅😅
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Ай бұрын
@@Witnessvlog amna inaonyesha ndivyo ulivyo
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Asante sana
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Ай бұрын
Hello 👋 witness i missed you,you have to come back again to make warm here,it been while
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Miss you too my dear. Been a long time
@irenemichael
@irenemichael Ай бұрын
Nikimaliza mkataba oman dada saidie nifike cannada
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Tutaona
@farajasallah2338
@farajasallah2338 Ай бұрын
Nashukuru sana,kwa kipindi nilichokufuatilia ndugu yangu nilimuelekeza akafutilia na Sasa anamiezi miwili alipata kazi ujerumani,ndirumba
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Asante sana Faraja
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila Ай бұрын
Ee wa nkumi ko wavyibushe chane se😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Ndandya chane mwamba
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 23 күн бұрын
😂😂😂​@@Witnessvlog
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Ай бұрын
🤣🤣Sissy baridi lisha anza huko zuji nikachungulia kwenye KZbin yako nikaona kimwa asante kwa video hii
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
EEh vaileth msimu wa Baridi limeanza. Asante sana niliwamiss pia
@HalimaAlly-ir3nz
@HalimaAlly-ir3nz Ай бұрын
Asanteh kwa kutukumbuka tena...
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Niliwakumbuka
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory Ай бұрын
Hongereni Madent Baby Malaika and Co.
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Thank you mummy
@NassorRashid-v8r
@NassorRashid-v8r Ай бұрын
Sijaelewa chochote
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Pole sana
@Zuu673
@Zuu673 Ай бұрын
Nahitaji mawasiliano yako nataka kuja soon
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Nichek Instagram @witnessvlogs
@FiqNcoro
@FiqNcoro Ай бұрын
Hujataja Trinidad and tobago
@tatumzelela5515
@tatumzelela5515 Ай бұрын
Huyu mdada anachekacheka nakautoto bado anako kizazi cha 2000 mmmmh
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Njoo wewe uliyesiriaz uhojiwe. Watu mnamakasiriko. 😏
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 Ай бұрын
Hongera❤ shoga Kwa kupata mtoto❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Asante sana dear
@josephinalubanguka1884
@josephinalubanguka1884 Ай бұрын
Mimi naitwa josephina chongera ni ndugu yangu
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Hi Josephina. Nimefurahi kusikia hivo
@HassanMaulidi
@HassanMaulidi Ай бұрын
Mapigo saba sina imani kama kuna nyimbo za asili ambazo zinaweza kulingana na hizi za hawa jamaa
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Umesema vyema. Wako vizuri mnoo
@HassanMaulidi
@HassanMaulidi Ай бұрын
Yaan mapigo saba anaitangaza kigoma vilivyo kwakweli hata waha waliyoko nje ya mkoa wetu wa kigoma tunapaswa kuwa tunawaalika kwenye matamasha makubwa
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Yani umesema point kubwa sana
@ashafaulkner
@ashafaulkner Ай бұрын
WaafrikA wanaona Wazungu bora
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Which is sad. We should change that
@ashafaulkner
@ashafaulkner Ай бұрын
Pole ndugu yangu, hata sijuwi niseme nini. Kusema waKenya au Wazungu Wapata, hiyo sio kweli. Wewe bahati yako mbaya Umekutana na waKenya na Wazungu wabaya. Kuna watu wa Zuri na wabaya kila kabila. Hata huko kwetu Tanzania kuna watu wabaya. Nakuombeya kila la kheri. I hope you will find happiness and peace
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
You are very right. Thank you for your comment
@ManirambonaClaudine-g8k
@ManirambonaClaudine-g8k Ай бұрын
Hello bado wanafanya kazi Ama?
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Sugeco? Ndio
@YonnahKokan
@YonnahKokan Ай бұрын
Natamani kupata contact zako unielekeze namna ya kuomba green card lottery
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Angalia video za EBM swahili youtube. Kuna maelezo yote
@YonnahKokan
@YonnahKokan Ай бұрын
@@Witnessvlog ok wity asante ila kweli namm nitapata? Mana nmetamani sana kuondoka lakn cna wa kunisaidia maisha hapa ni magumu sana rafk yng
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Hakuna mtu atakae kaa akusaidie maisha. Wewe ndio mtu wa kwanza kabisa kujisaidia. Hii ni bahati na sibu kila mtu ana nafasi Sawa ya kushinda hivyo nakutia moyo jaribu. Ya Mungu ni mengi
@SheraziiNurdin
@SheraziiNurdin Ай бұрын
Mimi nauliza ukituma hayamaombi onlin naukakipia kilakitu unawezakutuma mtu na akaenda uhamiaji na akakuletea passpot mahala ulipo?naomba unijib
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Huwezi mtuma mtu. Lazima uende mwenyewe kwasababu unatakiwa kupigwa picha
@OmaryMwinjuma
@OmaryMwinjuma Ай бұрын
Pole sana,magenge ya uhalifu yameikamata selikali hiyo,,asante,miaka mingi nilijua sweden ni nchi nzuli,,na aina ubaguzi,,nenda ubalozini
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Asante sana kwa comment yako
@KalorosiaMtani
@KalorosiaMtani Ай бұрын
Achananao hao waTanzania bwana
@AsifiweIsaac
@AsifiweIsaac Ай бұрын
Tz tz ?? Or TZ TZ
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
I don't understand what you mean?
@KulwaManase-j8w
@KulwaManase-j8w Ай бұрын
Big up man
@Yamaguccilifestyle
@Yamaguccilifestyle Ай бұрын
Dada km nime apply Denmark bank statement n chench hela kwa danish au euro
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Huna haja ya kubadili. Kwa Tanzania shillings inatosha. Wao wataconvert
@Yamaguccilifestyle
@Yamaguccilifestyle Ай бұрын
Wow asante dear witness ❤️
@Yamaguccilifestyle
@Yamaguccilifestyle Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
🙏🙏
@PhinaMwacha-b3d
@PhinaMwacha-b3d Ай бұрын
Dada samahani naomba namba yako
@Witnessvlog
@Witnessvlog Ай бұрын
Habari Phina. Naomba unitafute Instagram @witnessvlogs