WABONGO TUSIKALIE MAPENZI TU UGHAIBUNI | TUPAMBANE KAMA WAKENYA

  Рет қаралды 595

Witness Vlog

Witness Vlog

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 ай бұрын
Acha kuaddress wadada wa Tz wewe , hao madada wa Kenya wa kujiweka nao karibu ni hawa wako Ulaya , Marekani , Cabana wakitukanana hovyo huko tik tok ?? Wadada wa Kenya wako tayari kufanya lolote hata kujiuza Ili aonekane mpambanaji , Wadada wa Tanzania wanaonekana wako slow kwa sababu wamelelewa na maadili , Kuna kazi hawawezi fanya , ndio maana wanaonekana wako nyuma . Wanawake kutoka Kenya ambao wako nje ya nchi waangalieni huko Tik tok " tap tap tap tap " na matusi ya kuvuana nguo .
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 ай бұрын
Mbona umenifungua akila Chayo😂. Ni wanamatusi hasa huko tiktok
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 ай бұрын
@@Witnessvlog Aache kulazimisha wanawake wa kitanzania wenye maadili ya kike ,, wamelelewa vyema , wametulia , wife material, atake wafanane na wanawake wasio na maadili , wako tayari kulalwa hovyo ili waonekane watafutaji , wapambanaji . Aachane na mabinti wa Kitanzania wana sifa njema dunia nzima inajua .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 ай бұрын
@Witnessvlog Witness wasichana wa kitanzania hata awe mcharuko vipi lakini atafanya kwa wasiwasi , maana anajua maadili yetu si hayo , Hawa wenzetu wameshapotea , malaya , matapeli , wabaguzi , wanataka kuwaweka karibu mabinti wa kitanzania wawapoteze , Akaaddress ndugu zake wakenya waache kudhalilishana mitandaoni hasa tik tok tap tap tap tap tap tap .
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 ай бұрын
Uko sahihi kwakweli. Nimekuelewa vizuri mnooo
@justinambrose3577
@justinambrose3577 5 ай бұрын
This is a point to note. Thank you very much for this. 😊
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 6 ай бұрын
Umependeza sana hadi raha
@janety1933
@janety1933 6 ай бұрын
Ahsant sana dada angu Kwa kutusanua
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 6 ай бұрын
❤ hii ni kubwa
@HildaMyonga
@HildaMyonga 6 ай бұрын
Wakenya wabaguzi na wabinafsi, matapeli, fuatilia clip ya mdada aliyenyang'anywa mtoto utaona mdada wa Kenya alivyokuwa anashiriki kumgandamiza mdada wa Tz (wakiwa nje)
@Witnessvlog
@Witnessvlog 6 ай бұрын
Eeh🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@HalimaAlly-ir3nz
@HalimaAlly-ir3nz 5 ай бұрын
Wakenyaa mmh !! yaani hao ndo hawapendi maendeleo yetu kabisa wanaona kama tunawazibia rizki..... ukijiunga nao hao umeisha...
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 ай бұрын
Oh asante kwa maoni yako
@HildaMyonga
@HildaMyonga 5 ай бұрын
True, hii imewatokea ndugu zangu wawili,
@HalimaAlly-ir3nz
@HalimaAlly-ir3nz 5 ай бұрын
@@HildaMyonga Pole yao... Hao watu Acha kabisa...
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 5 ай бұрын
Ndio mpendane sasa watanzania inamaana Kweli wakenya tu ndio wanajua kuhustle,mbona wapo watz wanafanya vizuri cha msingi watanzania tupendane hasa walio huko nje,mkipendana mtavuta yule anaye chechemea mimi nashindwa nini kinachowafanya msipendane,wakati inaonyesha kabisa huko you're too busy hata mkikutana ni mara moja kuenjoy na kupadilisha mawazo kuhusu maendeleo binafsi na taifa,kama ni hapa tz ningesema maana si kwa majungu na unkora ulipo huku.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 ай бұрын
@PureSoul-rf4xd Hapo kwenye kupendana sasa.
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 6 ай бұрын
Some of them ni wabaguzi
@Witnessvlog
@Witnessvlog 6 ай бұрын
Ni kweli
@anita-nv4kk
@anita-nv4kk 5 ай бұрын
ametoa mawazo mazuri, ıla mhimu kuliko yote kuwa makini na marafiki awe mkenya, Mtz au taifa lolote. Duniani unafiki ni mwingi hivyo nimwajibu wako kujua umefuata nini na kupima unakoelekea. kuna dada alitoa uzoefu wake alipofanya consultation kwa waliowahi ughaibuni wako waliomwelekeza vizuri na wapo waliomtosa. cha msingi kuwa makini na maamuzi na washirika wako
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 ай бұрын
Point nzuri sana hii kwakweli.
KUA MAKINI NA WAZUNGU HAWA TAPELI | ZIJUE NDOA ZA  PRO FORMA
53:36
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
ALINIFATA CHUMBANI USIKU  NIKIWA MUTUPU
8:58
AMaizing Tv
Рет қаралды 64 М.
KITU CHA KWANZA KUFANYA KABLA HUJAENDA UGHAIBUNI
3:15
Witness Vlog
Рет қаралды 349
VITU VYA MSINGI VYA KUFANYA KABLA YA KUINGIA UGHAIBUNI
3:47
Lilian travel every day &vlogs
Рет қаралды 131
PATANISHO: Ndugu wa toka nitoke wagombana vikali hewani
18:38
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 13 М.
Akiahidi Atatenda
10:04
Pastor Jane Mutoro
Рет қаралды 52
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 618 М.
USHAURI KUHUSU JOINT ACCOUNT NA MWENZA WAKO
3:45
Witness Vlog
Рет қаралды 153
Life so far
39:27
Witness Vlog
Рет қаралды 391
NJIA TANO ZA KUINGIA ULAYA JIFUNZE KITU
4:08
Lilian travel every day &vlogs
Рет қаралды 146
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН