SIO KILA TIBA ASILI YA MME NI DAWA
2:33
Пікірлер
@NaifatNahoda
@NaifatNahoda 8 сағат бұрын
Hongereni sana
@TamimuAzizi
@TamimuAzizi Күн бұрын
Aallaaaaaaaa
@bakarikhamis7752
@bakarikhamis7752 Күн бұрын
@zeco kijana muhimu hyu kwa taifa zima
@YusraYahaya-x4t
@YusraYahaya-x4t 2 күн бұрын
Allah awalipe
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 4 күн бұрын
Uligeuka visigino, yaani, uligeuka nyuma. Na visigino: wingi wa 'aqb' ambayo ni gongo, na mwenye kugeuzwa visigino anatembea bila ya uwongofu, kama yule anayetembea ameinamisha uso wake, na Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: "Je! Anatembea na uso wake umeinama zaidi, au yule anayekwenda sawa katika njia iliyonyooka? hatamdhuru Mwenyezi Mungu hata kidogo, na Mwenyezi Mungu atawalipa wenye kushukuru kwa visigino vyake. na Muhammad ni Mjumbe aliyepita kabla yake. Je! Al-Awwam na Al-Miqdad bin Al-Aswad waliwashambulia washirikina na kuwashinda, na Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, na maswahaba zake wakabeba, hivyo wakamshinda Abu Sufyan na yeyote anayegeuka nyuma kwa visigino vyake.” maana yake : Anarudi Kuhusiana na dini yake, “Hakuna kitakachomdhuru Mungu,” maana yake: Hili halitapunguza utukufu wa Mungu, utawala wake, au mamlaka yake Aya hizi ziliteremshwa na Mwenyezi Mungu baada ya Vita vya Uhud. matayarisho ya kifo cha Mtume, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani ziwe juu yake mauaji yao hayakuwaathiri wafuasi wao, na wale wa makabila waliorudi nyuma hawakufaidika na onyo hili na mawaidha haya, kwa hiyo waliipoteza dunia na akhera, yaani kukengeuka kwao kutoka kwenye haki na ukafiri wao : matako ya mtu, na ikasemwa: kisigino, na wingi wake ni Imepokewa: Ole wake visigino kutoka Motoni Imepokewa kutoka kwa Abdullah bin Amr kwamba amesema: Mtume ametuwia nyuma yetu katika safari tuliyoichukua, na tukajikuta tumechoka hadi kufikia alasiri, kwa hiyo tukaanza kutawadha na kuipangusa miguu yetu kisha akaita kwa sauti yake ya juu: Ole wake visigino kutoka kwa Moto, na neno “. aqab” na derivatives zake zimekuja katika Qur’an: Maana ya kwanza ni katika maana ya adhabu, na maana hii ndiyo inayotumika sana katika Qur’an. Kutokana na hayo ni kauli ya Mwenyezi Mungu: Basi ilikuwaje adhabu yangu, maana yake: Adhabu yangu? Sawa na kauli yake, ametakasika: Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuwaadhibu wafuasi wao baada ya kufa mitume au akiuawa, je, mtarudi nyuma kwa visigino vyenu? , na pamoja na hayo, akifa au akiuawa, nyinyi mrudi nyuma kwa visigino vyenu, basi jambo jengine linafaa zaidi, na huku ni kukanusha kutoka kwa Mwenyezi Mungu - Aliyebarikiwa na Mtukufu - dhidi ya anaye rudi nyuma kwa visigino vyake, sawa sawa. ni Mtume, Swalah na salamu zimshukie yeye na aali zake na maswahaba zake, Ewe Mwenyezi Mungu, zifikie mwisho wa maneno ya waja wako wema na hukumu baina yao kwa haki, uadilifu na uadilifu na rehema na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie bwana wetu Muhammad na aali zake na maswahaba zake, na amani ziwashukie wote.☝☝🤲🤲☝☝
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 6 күн бұрын
Mnawadanganya
@abdnassor
@abdnassor 6 күн бұрын
Yajayo yametimia jaman.
@zuleikhaomar4657
@zuleikhaomar4657 7 күн бұрын
Tupeni mwendelezo wa huyu kijana
@hilalskach6205
@hilalskach6205 7 күн бұрын
Amin
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 8 күн бұрын
NadirApewe uweneziiiiiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤
@salyali7807
@salyali7807 9 күн бұрын
Jamaa wa bara watupu .. ndio wanaoongoza nchi
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 10 күн бұрын
Ama hawa nimajuha kila siku wanazidi kupotea kenge hawa
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 10 күн бұрын
Kama viongozi wetu wataacha MUHALI nnahakika asilimia98 basi madawa ya kulevya yataondoka
@dr.jjmwaka2596
@dr.jjmwaka2596 11 күн бұрын
Mashaallha
@KulthumAbdalla-l7k
@KulthumAbdalla-l7k 13 күн бұрын
Asalam alaykoum bin nyange media samahani kuna kaswida naiomba kutoka madrasat tawba ni ya muda kidg siijuw jina ila kuna ubeti unasema kila mtu na bahati aliopewa ulale milango wazi wajisumbua please naomba kama bado ipo
@MohdJuma-e4n
@MohdJuma-e4n 13 күн бұрын
😂😂😂😂😅😅😅
@EmmanueliKarisa
@EmmanueliKarisa 14 күн бұрын
Tumepanga,tutafanya.tumeamua.tulikaa tukaelewana . mpaka lini?
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 14 күн бұрын
Mashaallah
@fgfvgggf6993
@fgfvgggf6993 15 күн бұрын
Umemwaga damu zisizo na hatia nenda kwenu
@fgfvgggf6993
@fgfvgggf6993 15 күн бұрын
Kwakua bunge imechomwa ndio wataka kuongea na wakenya kama isingechomwa bunge usingesema wataka kuketi na wakenya kwenda na huko
@Omanbahla-f8i
@Omanbahla-f8i 16 күн бұрын
Mashaallah
@user-so8kx8op8g
@user-so8kx8op8g 17 күн бұрын
Rais bro Mungu akusaindie to
@SoudShuraim
@SoudShuraim 18 күн бұрын
Awazike vzr au
@khalifasaidi4181
@khalifasaidi4181 18 күн бұрын
Wakat uhuru anaongoza nchi ruto makamu wa raisi lakini ana chama chengine ndani ya serekali ya kenya uhuru ni raisi nae anampigia kampeni babaa uku baba ana chama chake kwaiyo kenya akuna viongozi sahihi tamaa na ukabila mnawaponza wananchi wasio na hatia hutoboi na atakae kuja atoboi serikali hanaeshima
@GeorgeJoram-im1ss
@GeorgeJoram-im1ss 19 күн бұрын
Umeshindwa kazi
@user-ik3fb9ic7s
@user-ik3fb9ic7s 19 күн бұрын
I appreciate you President Ruto. Congratulate for inviting all Kenyans to sit together for the good future of Kenya. May my God strengthen you and keep you alive.
@davidc.o.gitanga3403
@davidc.o.gitanga3403 19 күн бұрын
Hiyo waja office and all this will come to a halt.
@davidc.o.gitanga3403
@davidc.o.gitanga3403 19 күн бұрын
All these will end if you leave office.
@JokhaJoko
@JokhaJoko 19 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JokhaJoko
@JokhaJoko 19 күн бұрын
Rutonakupenda sana
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 19 күн бұрын
Allah kareem Atawalinda Inshaallah
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 19 күн бұрын
Usalama na Amani ni Bora kuliko madai malalamiko maandamano na fujo.Mbaya zaidi yakiwa yana mkono wawana siasa au vibaraka wa nje
@MalikshotelsMalikshotels
@MalikshotelsMalikshotels 19 күн бұрын
Kumabako www RUTO MUST GO
@kassimomar7589
@kassimomar7589 19 күн бұрын
Kwahyo wasomi wetu wa zeco Wana shindwa na elemu na huyo mpaka Leo umeme tuna towa bara
@josephjulio6112
@josephjulio6112 19 күн бұрын
Wakala wa NATO wakala wa shetani kabisa
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 19 күн бұрын
Ruto mungu akuongoze na pia awaongoze vijana waache Vita na mungu akusaidie nchi yako iwe na amani
@ShubilaKingi
@ShubilaKingi 20 күн бұрын
Kuchoma bunge ukute napokisi wengine awamtaki
@user-ot1ff7yq2l
@user-ot1ff7yq2l 20 күн бұрын
Iko hvi ni kwa nini watu wafikie kufanyaa uaribifu hivo manake kuna tatizo wewe rais inatakiwa kuchambua hayo kwa umakini zaidi ishi sio kupeleka jeshi kupiga raia hapna unakoseaa ndo ule msemo kuku ni wa kwako mwenywe manatii ya niniiiii
@monicachacha455
@monicachacha455 20 күн бұрын
shinda nini😂😂😂😂😂
@user-si5wk9gq1e
@user-si5wk9gq1e 20 күн бұрын
Toka ww mwenyewe kwa ofisi uwatafute kama ulivyo zunguka ukitafuta kura zao,, eeeh Mungu sikia kilio cha wananchi na uyaone machozi ya wanao kufiwa na watoto wao ju ya huyu mtukufu mabavu
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h 20 күн бұрын
MUNGU ingilia kati ,mungu ibariki kenya.
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 20 күн бұрын
Ruto is very wise real wise!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 20 күн бұрын
Kiler Ruto, mtajiju w Kenya
@noahpaulo3845
@noahpaulo3845 20 күн бұрын
ruto ume bip peoples power kuwa mpole waombe wananchi samahani la sivyo yatakuta ikuru hayo majamaa
@allyhussein4625
@allyhussein4625 20 күн бұрын
Acha nchi mlegwa ulikuwa sio wewe dam ya yakenya ulio wapoteza ndio hiyo achaia
@allyhussein4625
@allyhussein4625 20 күн бұрын
Unaleta vulungu upya hiyo achana nayo
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 20 күн бұрын
Nyie viongozi wa kiafrika dawa yenu ni maandamano viongiz wa kiafrika hamjui waajiri wenu ni wananchi masiki
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 21 күн бұрын
Mpaka tikufundishe wumechemuka
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 21 күн бұрын
They is no religious or God in you if you was thinking about people in Kenya you couldn't go to begg in America daily wunawawunga mukono
@AminaShabani-uq9ok
@AminaShabani-uq9ok 21 күн бұрын
Naenda huko umekuwa watu hata aibu huna