Idara ya habari Mungu awabariki Kwa kazi nzuri mnayoifanya🙏🙏
@ElishaKasambo-yu5jt21 күн бұрын
Mbarikiwe sanaa
@BoazElias-k6t23 күн бұрын
Pongezi nyingi ziwafikie uongozi wote jimbo hilo
@emmanuellesson5103Ай бұрын
Hakika wimbo huu una ujumbe mzito, mbarikiwe sana waimbaji wa Mungu
@moravianziwatanganyika201329 күн бұрын
Hakika mtumishi
@EzekielSaul-g6jАй бұрын
Duu Nyimbo nzuri jamn
@LameckMbeleАй бұрын
ombeni Mungu sn hamko salama haki
@yusuphalinani5432Ай бұрын
Ameni
@SichivulaGevasiАй бұрын
Mungu akubalik
@AyubuChacha-u6uАй бұрын
Ooo mpaka makanisan ccm imeingia huko tujiangalie sana ndugu mwisho wa mungu umefika kumpe kama wizi wa kura mpaka makanisan hii ni shida sana hakuna jipya shetan imeingia mpaka makasan hao waliofanya hivyo mkiwafatilia ni wa ccm kamili.
@ElishaKasambo-yu5jtАй бұрын
Good
@SichivulaGevasiАй бұрын
Safi sana aminaah
@SichivulaGevasiАй бұрын
Munga akubalik sana
@SichivulaGevasiАй бұрын
Mungu akubalik
@HappyMtongwa-kp7hgАй бұрын
Ashukuriwe MUNGU HAKI imetendeka.🙏🙏🙏🙏
@EMMANUELMAIGE-o6wАй бұрын
Mimi nimmoravian kilichofanyika mmetuvunja myoyo kwani hao walioharibu uchaguzi mbona wanafahamika baba askofu, tatizo huyojamaa nimtumishi wa mshahar
@NIPIGETAFUGROUPАй бұрын
Hongereni sana Morovian kwa kumaliza Cinodi yenu ya kumchagua Askofu wa Ziwa Tanganyika Nipige Tafu Group inatoa rai kwa Dini zetu kusimamia ukwel na haki ni aibu kubwa kuona Kanisa linajiingiza kwenye vitendo vya hovyo kufoji kura mpaka waumini wanakosa kupata Kiongozi wa kiloho
@yusuphalinani5432Ай бұрын
Amina mungu amlete askofu kutoka kwenye haki
@WllyMsholoАй бұрын
God bless you brother Richard katsla kwa mahojiano mazur
@Rev.SamwelUziaАй бұрын
Amina
@robertpetro1619Ай бұрын
Sawa.. hekima za baba Askofu kiongozi. Wamefanya vyema kuahirisha maana ni muhimu kupata kiongozi aliyechaguliwa kwa njia halali.
@GivasMwananzumi-tx2ssАй бұрын
Mungu mkuu, hakika alitunze kanisa lake, mwana kondoo ameshinda na tumfuate.
@samsoncharles1445Ай бұрын
Mungu tukumbuke Jimbo letu la Ziwa Tanganyika
@BernadethaAlfred-h4vАй бұрын
Hakika mungu atatenda tuko pamoja
@yusuphalinani5432Ай бұрын
Mungu awakumbuke Jimbo la ziwa tanganyika
@EzekielSaul-g6jАй бұрын
Amen Mungu ni mwema
@EzekielSaul-g6jАй бұрын
A weee ilikuwa noma sanaaa
@GivasMwananzumi-tx2ssАй бұрын
Aminaaaa, hakina Mwaa kondoo ameshinda na wote tumfuate.
@EzekielSaul-g6jАй бұрын
Hakika hakika Ameshinda
@maromedia6272Ай бұрын
Amen
@StivinMwaipajaАй бұрын
Tunategemea mkutano wa amani
@NoahSimfukwe-y9zАй бұрын
Mungu awatangulie kwenye sinodi ya uchaguzi, maombi yawe mhimili wa sinodi
@yusuphalinani5432Ай бұрын
Tunaombea sinodi njema mungu akawe kiongozi kwenye uchaguzi huu
@njiwamediaАй бұрын
Tunawatakia Uchaguzi mwema, Njiwa Media tutakuwa tunawafuatilia kwa ukaribu. Mungu awaongoze
@EzekielSaul-g6jАй бұрын
Hallelujah mambo ni moto 🔥 🔥 🔥
@YeremiaPius4 ай бұрын
Mubalikiwe sana vijana
@madamsubira5 ай бұрын
Amina may God bless you more and more
@godymwambola65415 ай бұрын
Unyamwez San mtumishi doz imeingia
@madamsubira5 ай бұрын
Amen
@godymwambola65415 ай бұрын
Safi kabisa vijana Kaz kwetu kuoa
@moravianziwatanganyika20135 ай бұрын
Amen Mungu awape kibali
@LusubiloMwambebule8 ай бұрын
Nimemic mahubiri yako baba Askofu, pumzika kwa Amani jamanii
@yusuphalinani5432 Жыл бұрын
😂ameni
@ombenkazyoba9715 Жыл бұрын
Kwaya yangu pendwa
@luhamba6852 Жыл бұрын
Katale duuuuuh
@luhamba6852 Жыл бұрын
Amen
@ezekielsauli1646 Жыл бұрын
hiii noma hii msako Wa hatari🔥🔥Mungu awabariki San watoto wetu
@Behindsomeone Жыл бұрын
Sawaaaaaaaa mujomba piano la maana
@elikanawilliam8807 Жыл бұрын
Safi Sana Vijana wa Badae wapo vzuri wapewe maua yao🎉🎉🎉🎉
@Behindsomeone Жыл бұрын
Ndioooooooo
@effelysiyame2536 Жыл бұрын
Mwamba amelala 😭😭😭
@thomasmpinga4130 Жыл бұрын
Sijawahi kuamini mpaka sasa mungu a mlaze mahala pema peponi
@maromedia6272 Жыл бұрын
Nakumiss san baba
@ElishaKasambo-yu5jt Жыл бұрын
Amina be blessed
@nicholausjeremiah.5229 Жыл бұрын
Mungu ,ni Mungu tu ,,🙏
@humphreymsengi6686 Жыл бұрын
Poleni sana kwa kuondokewa na mtumishi mkubwa katika Ufalme wa Mungu. Faraja yake iendelee kuwa na kanisa pamoja na familia yote kwa ujumla