Рет қаралды 218
Askofu mlezi wa Jimbo la Ziwa Tanganyika Baba Ezekel Yona akifungua mkesha wa maombi ya kuombea Sinodi na uchaguzi wa Askofu,kamati tendaji ya Jimbo na Halmashauri kuu ya Jimbo ambao utafanyika kanisa la Moravian Kasulu Mjini kuanzia tarehe 24-26/10/2024