mauti
18:16
14 күн бұрын
Пікірлер
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 42 минут бұрын
ALLAH AKBAR
@muhseinmohamed5319
@muhseinmohamed5319 Сағат бұрын
ukiona hawafanyi basi fanya wewe. ... na una uhakika gani kama hawajengi madrassa na kufanya mengine ya kheri... shafi umeamza kujaa sifa sasa
@hassanisindi474
@hassanisindi474 Сағат бұрын
#kaziiendelee
@ramadhanmgumba3680
@ramadhanmgumba3680 Сағат бұрын
Ila shekh apo kwenye jez ya azam unatuzuga tunajua wew ni yanga😂😂
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn Сағат бұрын
Mashaallah ❤
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Сағат бұрын
Kondoo alie potea ni wewe ndacha
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Сағат бұрын
Mashekh wa kisufi na Majezi majezi yenu... Mna promote ushabiki wa mpira! Allah akuongoze!
@salehjuma704
@salehjuma704 Сағат бұрын
Ameen
@alexmukama3801
@alexmukama3801 2 сағат бұрын
Sorry for Muslims..Bana peda waseme gizi wanataka
@alexmukama3801
@alexmukama3801 2 сағат бұрын
Wanduguzangu nimaadiko inasema vile sio papa simba
@omarhassan9377
@omarhassan9377 2 сағат бұрын
Ustadh tafadhali tutajie iyo orodha ya ayo mafuta 14 huku kwetu madukani hawayajui.
@HusseinLimbe
@HusseinLimbe 11 минут бұрын
Shekh wangu Kabla hujatajiwa hiyo orodha umejihakikishia kuwa hayo mafuta ndio tiba? Shekh Shafii tunampenda ila inabidi aje na uthibitisho wa hiyo taaluma yake kaitoa wapi na kaisoma wapi kwenye Uislam Je ipo kwenye Sahih Hadith au Quran? Maana si haba Shekh Wetu ako na Elimu kubwa kutuliko sisi Ila Yampasa atupe Uthibitisho?
@HaliaKheri
@HaliaKheri 3 сағат бұрын
❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 4 сағат бұрын
Inna lilahy wainna ilahy rajuun
@RAMADHANNDORO-cg6bt
@RAMADHANNDORO-cg6bt 5 сағат бұрын
Iyo ni pesa ngapi kenya money na naeza yapata vipi mombasa
@kagileman5798
@kagileman5798 5 сағат бұрын
Nyny ndo watu wenye uchungu na Mafia Kwa nguvu na maaruf wako natumai Itafika mbali Saut yako
@MagunoMtanda
@MagunoMtanda 7 сағат бұрын
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh nataka hayo mafuta mwanangu anakojoa
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 7 сағат бұрын
Walykum salm warahmatullahi wabarakatuh 0713596030
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 7 сағат бұрын
Mashallah
@akimzeli5030
@akimzeli5030 9 сағат бұрын
Mpaka hapa kwa akili za hao wapigafilimbi wa mama tayari washakujengea chuki. Wao kazi yao ni kusifia tu hata kwa sifa zisizokuwepo.
@JustinePascal-i1t
@JustinePascal-i1t 11 сағат бұрын
Hawa waislam mnafurahi hawa MASHETANI wanavyobwabwaja, furahini ila mjue huu ndiyo mwisho uliotabiriwa. Huyu katumwa kutoka kuzimu, mengine anasema kwel mengine anapotosha
@JustinePascal-i1t
@JustinePascal-i1t 11 сағат бұрын
Hawa ni wafuasi wa Shetani ndiyo maana wanaropoka, hawa ndiyo waliotabiriwa maana hakuna sehemu inasema mtu ujiite nabii hawa ndiyo waliotabiriwa, MASHETANI wakubwa.
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 11 сағат бұрын
Kwa nn usiwaombee Dua wakawa wema kama ww usiombee wezio mauti
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 12 сағат бұрын
Natamani haya mahojiano yangewafikia viongozi wote hasa ngazi za juu, hivi kweli miaka zaidi ya50 ya uhuru bado kuna sehemu hazina hata usafiri😢😢😢 halafu zinatengwa mabilioni ya pesa eti yajengwe makumbusho ya maraisi ni ujinga kabisa tuna serikali na viongozi wa hovyo sana
@mohdkombo3397
@mohdkombo3397 12 сағат бұрын
Ni aibu Muislam kama huyo yupo ktk siasa za kikafiri. Tunachotakiwa kuwa na Siasa za uislamu si siasa za kikafiri. Hakika huyo si Sheikh bali ni mpotoshaji Cha cha kislamu kipo na ni hizb ut tahrir ndugu. Ukiwa huthaminiwi na Allah swt utathaminiwa na wanadamu? Hiyo yenu si dawa ya kislamu bali ni dawa kusambaza ukafiri wa makoloni. Rudi ktk uislamu ndugu, uislamu na vyama vya kisecular ni magharibi na mashariki ni aibu yako na waislam ambao wameingia ktk ukafiri huwo Naam
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 12 сағат бұрын
Ma shall ah sheikh Ally kadogoo Mungu akujaalie mwisho mwema
@AbdulhalimYusuf-bc6rj
@AbdulhalimYusuf-bc6rj 12 сағат бұрын
Mashallahu Maalim umemtaja mtu mmoja huku pemba anaitwa Ustadh Ali said huyu mtu yupo ni mzima wa afya kwa sasa yeye ni Amiri wa jumuiya ya maimamu wilaya ya chake lakini pia anauza vitatu vya dini yetu hapa chake Allah akubaark inshallah mimi naitwa hamad kutoka wesha chake chake karibu sana Maalim wetu
@RamadhaniMohamedi-r2k
@RamadhaniMohamedi-r2k 12 сағат бұрын
Umezungumza sahihi, ila cjapenda unaposema haupingi maulid , maulid ni bida'a shaykh yapinge tu
@mohdkombo3397
@mohdkombo3397 12 сағат бұрын
Wengi wa wapemba wamekasirikiwa na Allah swt pale walipoacha uislamu na kushika fikra za makafiri za wazungu yaani democracy,Maalim seifu amewapoteza wapemba,lakini MashaAllah wapemba walioshika uislamu hawo ni vidume na Allah swt yupo pamoja nao na ndio waliokusudiwa na ayya aliyosoma mzungumzaji,si wafuasi wa mavi ya democracy hawo wamekasirikiwa na Allah swt. Democracy ni ukafiri Allah swt awarudishe wapemba ktk haki Naam
@AsminHakimo
@AsminHakimo 12 сағат бұрын
Watu wa mafia naomba kuuliza je ikifika kipindi cha kampeni mgombea uraisi huwa anakuja kuomba kura?
@jabirkombo5483
@jabirkombo5483 5 сағат бұрын
Ustadh shaaafii mungu akuwekeee na akupe umri
@MaalimGumboxella3
@MaalimGumboxella3 13 сағат бұрын
Mashallaaa😢 mungu akuefadhi
@MariamuChwaya
@MariamuChwaya 13 сағат бұрын
Umeupiga mwingi shekh
@shafiishomari2328
@shafiishomari2328 10 сағат бұрын
Hahaha
@chande2k250
@chande2k250 13 сағат бұрын
Safi Ustadh shafii naungana Nawe usafiri wa Mafia Bado Changamoto kuanzia bungu Mpk nyamisati barabara mbovu ukifika nyamisati boat ya kwenda Mafia haina Ratiba maalumu Bado Changamoto sana
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 13 сағат бұрын
Tunatakiwa kupinga kila kitu kilozushwa kwenye dini. Hivi hadithi ya mtume s.a.w alosema kila uzushi ni upotovu na kila upovu ni motoni. Je mtume s.a.w alikua sio sahihi kutamka maneno yale. Hadi ifike pahala masheikh wasema kuna uzushi mbaya na uzushi mwema. Je mtume kwa nini alitumia kauli ya kusema. Kila uzushi ni upotevu. Je hakujua kama kuna uzushi mbaya na uzushi mzuri. Swali la kujiuliza je maulid yalianzishwa na nani? . Na je kwenye karne 3 tuloambiwa tuzifuate waliwahi kufanya maulid.?? Na kama wao hawakuhi kumsheherekea mtume. Je wao walikua mapenzi kwa mtume wao ni madogo kuliko sisi tunaomsheherekea??
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 13 сағат бұрын
Ustadh nataka ayao mafuta nitayapataje nko Kenya tafadhali naomba namba yko
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 13 сағат бұрын
+255713596030
@salama1113
@salama1113 14 сағат бұрын
Shukrani sheikhe🙏☝️📿
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 14 сағат бұрын
Wanafahamu pia lakini ni njaa ya wasumbuwa.jamani njaa itatutiya motoni.
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 14 сағат бұрын
Jamaa wa ache njaaaaaaa
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 14 сағат бұрын
Mbona napiga namber iliyo mbele yako shekh shafi hupatikani.napiga kutoka kenya na sikupati na namber hiyo
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 14 сағат бұрын
+255 713 596 030 or +255 716 747 459
@YossofShamal
@YossofShamal 16 сағат бұрын
Huyu Dada nimjinga Sana ukiwa hujuwi waulize wanaojuwa
@MohdAlly-pw6bw
@MohdAlly-pw6bw 16 сағат бұрын
Wewe unaiesema kuw maalim wet anafundisha ufrimanson jitambuwe ya kuwa ufahamu wako wa akil unamatatizo 😂
@HumoudAlbahry
@HumoudAlbahry 17 сағат бұрын
آيش هذه سوالف😂😂😂
@HumoudAlbahry
@HumoudAlbahry 17 сағат бұрын
Ni محروج Au مخارج الحروف Bwana 😂Wewe Mwenyewe Hujui Kitu Ham Usipoteze Watu Hapa Yani Nyny Vikanzu Vya Ukosi Na Marangi Mingi Kama Waganga Wa Kienyeji Mnazingua Sanaaaaa 😂Eti Mahruji 😂😂😂Kisha unamwambia Mwenzako yy Surat Fatha Hajui Ww kutamka Hizo Herufi shida😂😂😂!!!!!!!!!
@jotafungo4622
@jotafungo4622 20 сағат бұрын
Poleni sana,amin.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 21 сағат бұрын
Maulidi ni mradi wa watu. Hiyo bajeti ya maulidi ilitosha tuwe na shule za kutosha na hospital
@saidmohamed6543
@saidmohamed6543 13 сағат бұрын
@@adamhashim3352 ndio hawa makhurafi wangeyaacha haya maulid ingekuwa boraa maana hata maswahaba hawakufanya maulid kabisa yaani ni uzushi na ni bidaa
@GEOFREYABISI
@GEOFREYABISI 22 сағат бұрын
Ndugu usitamani sana asiyenaRoho akubari Rohoo
@EgideNkeshimana-xl2of
@EgideNkeshimana-xl2of 22 сағат бұрын
Shukran Sheikh wetu, 🙏🙏🙏
@jeanboscosindihebura4035
@jeanboscosindihebura4035 22 сағат бұрын
Unaufunza u freemason chekh.
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 22 сағат бұрын
Na maulid uzushi tutaupinga hadi uishe huo uzushi wa mashia nanyi mkaukumbatia na hamtaki kuambiwa
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 22 сағат бұрын
Ustadh hata huko kupinga maulid ni moja ya kupeleka dini mbele c kusilimisha watu tuu sababu wengi mnasilimisha na hamfuatilii mjue jee wanasoma dini baada ya kubadilisha dini lakini mnakimbilia maulid ambapo hakuma thawabu huko ila mkisomesha dini leo na kesho utakua unachuma tu
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 22 сағат бұрын
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe
@kassimomar7589
@kassimomar7589 23 сағат бұрын
Pemba kama pemba home sweet home