Wafundishe wataelewa tu hata pakikawa wanasilimu ndogomdogo kutoka mueda mozambik🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Rkey1133 күн бұрын
Wapili kutoka Malawi
@Catherine-mh8sw3 күн бұрын
Kumbe Malawi wanazungumza kiswahili
@samxx4113 күн бұрын
Nasema tena kwa ndugu zetu uislamu unasema ukweli na kukuonya bali kukubali na kukataa ni hiari yake mtu...
@CamalizaCamiloCamaliza3 күн бұрын
Wakwanza kutoka 🇲🇿
@Catherine-mh8sw3 күн бұрын
Kumbe Mozambique wanazungumza kiswahili
@HaliaKheri3 күн бұрын
❤❤❤🌹🌹🌹📿
@faiqaanwar72682 күн бұрын
Ndio maana wntongo zana kanisani alafu kuona
@babazungu31803 күн бұрын
Watu wa roho mtakatifu ni shida tu
@MohamedMohamed-u3t1n7 сағат бұрын
Hawa watu hawafuati maandiko wanafata matamanio ya nafasi zao😂😂😂😂 yani ukristo mtihani sana
@MohammedIslam-t2n3 күн бұрын
Asalam aleykum sheikh wangu wanamke atakosaje thamani katika usilamu na wao wametuzaliya manabi pamoja na mbora WA mitume wore sayidna rasullah swalalahu alehim wasalam
@HOUSEOFDREAMS-cm2fk3 күн бұрын
Walykum salm warahmatullahi wabarakatuh
@Catherine-mh8sw3 күн бұрын
Takbiiir
@mahmoudmapesa35232 күн бұрын
Simulizi wanao ona na hawasikii itabidi utafute namna yakuwasaidia ..viziwi nao wanaweza pata faida
@MarKarim-km2yh3 күн бұрын
Asalam alaykum shekhe. Nini hukumu ya mwanamke aliye ishi kweny ndoa na kuzaa mtoto alafu akaondoka kwa mumewe kwasbb ya kugundua kuwa mumewe ana mke mwingine Na uko alipo baada ya kukaa kwa muda mrefu akapata mwanamme mwingine wakaishi na kuzaa lkin awajaowana Sasa mwanamme wake wa kwanza amefariki lkn amekufa na deni la mahali ya yule mwanamke ssa yupi anaestahiki amlipe mwenzie Naomba ftwa ya jambo hilo inshallah
@abrahmannassor4259Күн бұрын
Aslama alaykum ustadh naomba kuliza unakielewa kitab cha hekok na unakielewa vp
@samxx4113 күн бұрын
Akili za akina mobutu na wenziwe wapi kiubishani
@FadhiliNalinga3 күн бұрын
Simuliz atakuja kusilim
@Catherine-mh8sw3 күн бұрын
Ikielewa vizuri. Mpaka sasa hajaelewa vizuri
@MohamedAhmada-ie7keКүн бұрын
@@Catherine-mh8swpengine ashaelewa but bado haja amuakuongoka
@Catherine-mh8sw21 сағат бұрын
@MohamedAhmada-ie7ke bado hajaelewa maana wachungaji wakimwambia anaona wako sahihi . Sheikh shafii akimwambia anaona yuko sahihi. Mpaka sasa hajuwi ashike wapi
@MohamedAhmada-ie7ke21 сағат бұрын
@@Catherine-mh8sw unajua kutoka sehem moja kuenda sehemu nyengine pia kunataka maamuzi coz ushazoea kukaa sehem kwa muda mrefu kwaiyo ni lazima kidogo kidogo uanze mabadiliko sio hafla tu kama unavo dhania
@Catherine-mh8sw19 сағат бұрын
@@MohamedAhmada-ie7ke najuwa sana. Ndiyo maana nakwambia huyo bado hajawa na jibu
@samxx4113 күн бұрын
Sheikh Shafi wape elimu ya kiroho hao wenzetu waijuwe maana yake nini??