Ifike wakati na vikosi vya smz WAPELEKWE KULINDA Amani nasikia Wana makomandoo WAMEIVA Sasa zinafaa uivaji wao wakatumikie NCHI washiriki majukumu kimataifa
@landmadvdmbeyacity95613 сағат бұрын
Me ni soja wa kitaaa
@AloysHoricubonye4 сағат бұрын
Poleni sana familia waliopoteza na watanzania wote jumla.Serekali ya TZ aikutuma Askari DRC kucunga Amani bali walijiunga na serekali ya Congo kupigana na M23 kama Mercenaries. Muleta amani uwa apengamie upende umoja na unatakiwa ukabali matokeyo yoyote.. M23 ni wa Congo . . Acheni kuwandanganya wa TZ .
@AminaRashidi-z2y5 сағат бұрын
Brooo p1 sana mungu awasimamie katika mapambano yakulinda amani
@magrethlucas55055 сағат бұрын
Merci
@GodfreyKarino9 сағат бұрын
Mwenyezi mungu awa bariki na kuwalinda wana jeshi wetu
@MasnamussaPp12 сағат бұрын
Mungu awalinde ndugu zangu kazi iendelee mwanzo mwisho hadi kieleweke
@RubayitaRukaka14 сағат бұрын
Sasa muki shirikiana nama FDLR genocidaires mumezani m23 watatumia mawe!!
@peacemwesigaКүн бұрын
😭😭😭😭😭 Mungu warehem
@BahateabacarQuebulaКүн бұрын
Huu ni upuuzi kuuwa watu wetu eti kwa ajili ya umoja wa mataifa.?kuanzia enzi mnaua watu wetu bila maslahi yoyote
@peacemwesigaКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@annamnanka-qk1bxКүн бұрын
Wapumzike Kwa amani
@annamnanka-qk1bxКүн бұрын
Poleni sana wanajeshi wetu
@celinamputacelinamputa3577Күн бұрын
Jamani 😢
@Fatima-v9k6f2 күн бұрын
From 🇧🇮 nama pori ni makubwa san 😢
@HawaOman2 күн бұрын
Mungu wabariki wanajeshi nakulinda baba
@Fatima-v9k6f3 күн бұрын
From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun 😭
@MonaID-h6n5 күн бұрын
Mwacheni ,kuongeza masikari DRC hii inchi ya ziidi kutoa uhai wa masikari wengi , Wao watajifanyia amani kwao .sisi tunataka nini DRC ? kama mnavyoona amani hayapatikani kwenye inchi hii
@serantee39757 күн бұрын
I am sure this is a great video that I want to share with a Swahili-speaking family that I am working with to locate resources on Down Syndrome. Please let KZbin auto-transcribe the video (or provide your own transcript) so that users can turn on auto-translate and show Closed Captioning in different languages.
@SamiaomaryRwambo9 күн бұрын
Jmni
@afrakanaswahilitv55209 күн бұрын
Heko Rais mstaafu wa Msumbiji kwa kutoa hotuba yako kwa lugha adhimu ya kiswahili. Kiswahili kitukuzwe!
@MusaEcindo10 күн бұрын
Asante kwa tarifa
@MaitajiIvan10 күн бұрын
kisharo 225
@KhadijahOthman-b2l17 күн бұрын
Mm nko na 39 na sipati hedhi nashangaa
@LatifaRamadhan-v8b19 күн бұрын
Ukopoa
@ShanelKomba-n9f26 күн бұрын
Mungu akulinde sana
@imahaule881727 күн бұрын
tuwape nin Watanzania 😂
@imahaule881727 күн бұрын
GIBSON
@indiraconnolly288927 күн бұрын
Wow, siku moja ningependa kuweza kuongea Kiswahili kama yeye. Asante sana kwa video hii na video nyingine. Zinanisaidia kujifunza Kiswahili. Nashukuru sana kwa kazi yenu.
@jacquelineuriyo8017Ай бұрын
Ahsante kwa ufafanuzi
@AziziMtimaАй бұрын
Jamaa ata aongei sana
@SUMAIYAFILAMАй бұрын
Hakuna kitu unauliza kitu hiki linajibu kingine
@GoodluckDigimbaАй бұрын
To be honest, am very proud of FAO Iwill be a good ambassador to you , Tumepata elimu ya kilimo Bora , apo awali kabla ya ujio wa mradi Hali ilikua ngumu sana . Thank you alot
@WilbertMalula-vv7mlАй бұрын
HAHAHAHAH
@allyfarahani3029Ай бұрын
Big up.
@RAMPA_DeeАй бұрын
Jeshi la Tanzania mumependeza kwa uniform sasa mbona munaogopa M23 na Red Tabara!? Mnakura chakura ya bule tu.
@noelkabaila3284Ай бұрын
Wakumwitagaa Mpwangu aka Familiaa Melimelii Bigup sanaa
@jeremiahcharles6027Ай бұрын
Mmmmmmh????????
@lukangyela8347Ай бұрын
Mwisho wenu utaisha UN kwa sasa ina miaka zaidi ya 20 wakikula mali ya kongo.hole wenu siasa siku zote iwa inabadilika
@lukangyela8347Ай бұрын
Wanafurahia maisha tu😢 kongo watu bado wanakufa😢😢😢😢😢😢😢
@emmanuelmachage3876Ай бұрын
Unamaanisha nn unaposema wanakula maisha
@s.flavor38Ай бұрын
Ausio
@beaugosseadam6831Ай бұрын
UN ni kichaka cha RDF/M23🇷🇼🇺🇬🇰🇪 wanaotesa, kubaka, kuuwa Raia na kuiba rasilimali za DRC🇨🇩. Ni makatili kupita sana hawawezi kuishi bila kumwanga damu. Hata nyinyi mnaofurahia hizo Tuzo historia itawahukumu kama watu waliofurahia Wanawake kubakwa na kuambukizwa ukimwi, Vitoto vichanga kuuawa.
@HavanansiDataАй бұрын
Congo nchi kubwa, hicho kinchi kidogo kama Rwanda kinawashinda vipi?
@saidndimbo2738Ай бұрын
Tanzania, in collaboration with other forces, serves in United Nations mission in Africa, which struggles to bring peace and maintain security around areas of responsibility.
@saidndimbo2738Ай бұрын
God bless Tanzania for being of the best army in peacekeeping mission, we all witnessed the successful operation against M23 rebels in 2013. Despite operational challenges in the mission area, the Congolese population is proud of the Tanzania contigent for being a well disciplined army.
@salmaalhaji410Ай бұрын
Tunamshukuru mungu Tanzania yetu kwakupata watu waaminifu hakika tunaulinzi na watumishi hodari tunazid kuwaombea mungu awasmamie katka majukumu yenu
@stephanoplugendo3861Ай бұрын
Asante kwa habari
@msafirially7849Ай бұрын
Interested
@joycekisonga71212 ай бұрын
,je mwanamke akikoma anaweza kushiriki tendo la ndoa?je tumbo halitavimba kwa sababu ya uchafu?
@josephjulio61122 ай бұрын
Chuma ni chuma tu binadamu ni binamu huyo akili hana