Пікірлер
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 Ай бұрын
Huyu jamaa bonge la fundi nakumbuka kwenye mashindano ya magari morogoro alikuwa fundi kabla ya big brother ya kwanza
@AbduliHamisi-q2c
@AbduliHamisi-q2c Ай бұрын
Daah jamaa sikujua kama anakili hv kwl wadishi wanajuwa kumchafua mtu
@veronicapoul
@veronicapoul Ай бұрын
Njia za MUNGU hazichunguziki usimwache MUNGU dada
@CheynaCreations
@CheynaCreations Ай бұрын
Story innasisimua.nzuri
@LevensonSiame
@LevensonSiame Ай бұрын
Unachonga sana lete stori
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 Ай бұрын
Kwenye utofauti wa dini,mila,desturi,utaifa na vitu kama hivyo ni muhimu sana"niliolewa NDOA ya kiislamu na nikabadilisha dini😢namuelewa sana Mwisho Mwampamba❤
@misschagga8042
@misschagga8042 Ай бұрын
Nimependa sana busara zake
@didamugya6039
@didamugya6039 Ай бұрын
Mshiriki pekee wa Bigbrother aliyevuma kupita washindi wote
@SarahMsinga
@SarahMsinga Ай бұрын
Wow 🤩 Congrats kwa kujitambua Mwisho Mie nakutambua I been through a lot with Family and friends but I still here wow hongera kwa hilo bravo 👏
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 Ай бұрын
Akina mwaisa wabishi sana 😂😂😂😂
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 Ай бұрын
Kipind kizuri sana ongera sana kaka
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 Ай бұрын
Self esteem is very important...
@gracegeorge4848
@gracegeorge4848 Ай бұрын
Big brain mkwewangu
@nicomuhaya2260
@nicomuhaya2260 Ай бұрын
🎉
@aganolwanda5707
@aganolwanda5707 Ай бұрын
Kazi njema sana Dr. Mungu aendelee kukuongoza ktk huduma hii
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Ай бұрын
Marekani kama una akili utafanya vitu vikubwa nyumbani.
@samweljoel6128
@samweljoel6128 Ай бұрын
Hongera sana kaka lucas
@estherignas7755
@estherignas7755 Ай бұрын
Kazi yako ni njema Dk hivi ndio vitu ambavyo jamii inaviitaji ili kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 Ай бұрын
Safi sana Mwisho. Natamani nijue Dada Yako tumpe maua yake
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj Ай бұрын
He got that mind set from his pop the professor mwampamba
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 Ай бұрын
Kipind kizuri kaka ongera sana
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 Ай бұрын
Amen ❤
@RichardMatoli-t6d
@RichardMatoli-t6d Ай бұрын
Kaka Mwisho yuko vizuri mno uzowefu wake ni mkubwa mno anayomengi anaweza kutumiwa katika Media yoyote kuhusu jamiiii.🎉🎉🎉
@RichardAssey-pw9ns
@RichardAssey-pw9ns Ай бұрын
Hahahahaha leo mwamba umenichekesha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Heee hivi huyu yupo wapi?
@Mbarukuhawa
@Mbarukuhawa Ай бұрын
Morogoro
@fahimkhalifa5904
@fahimkhalifa5904 Ай бұрын
Km 30 /2 kagawa anaweza kukimbia kwa kwenda 15 na kurudi 15
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
ZANANI TULIZANI AMERICA UNAOKOTA HELA, KUMBE SHIDA TUPUU. NA SIYO AMERIKA TUU. HATA NCHI ZA ULAYA. SAA NYINGINE UTAKUTA WATU WANAVYOUSHI MPAKA UNAJIULIZA HIVI KWA NINI WAKO HAPA?
@ShedrackFaustin
@ShedrackFaustin Ай бұрын
Kwani we shida yako ni nn, siufanye yako, kila mtu ana haki yakuishi popote na kuchagua, Africa ni shida tupu, kazi kuuza mali asiri za nchi na kutekana,, kama mambwa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
HAKUNA CHA MAANA HUKOO, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KUHANGAIKA TUUU KUANZIA ASUBUHI MPAKA JIONI. HUNA HATA MUDA WA KIPUMZIKA. KILA MDA NI KAZI, KAZI.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Ай бұрын
Kupumzika duniani si rahisi, mwili utapumzika lakini akili inawaza
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo Ай бұрын
Nyie ni mafara murani nchi yenu Muna enda kuosha mabibi kize kama umefika kaa usihamasishe vija wetu Wana kuja kuteseka
@vincentmbaire2666
@vincentmbaire2666 Ай бұрын
We huna akili bali unatamani na wewe uje ukawoshe ma bibi kizee upate pesa
@msengasikaonga3039
@msengasikaonga3039 Ай бұрын
Jitahidi kuwekeza jumbani dungu
@rosemkude4804
@rosemkude4804 Ай бұрын
Very sad.... Sasa kama mshindi wa pili na tatu waliambulia tickets... What about the rest waliopotezewa muda wao jamani 😢😢😢😢😢😢
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Mashindano yenyewe ya kipuuzi tu na hela hupewi
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 Ай бұрын
Lakini ndo sheria ya mchezo na una kubaliana nayo kabla hujaingia .
@abigailalex2146
@abigailalex2146 Ай бұрын
Story nzuri sana
@MaxmillianNtemo
@MaxmillianNtemo Ай бұрын
Universal Leaf Tobacco Tanzania Limited..daah
@charlesmajuto4664
@charlesmajuto4664 Ай бұрын
Da.kaka naweza pata contant ya huyu bwana nione kama anaweza kunihost mimi na familia yangu maana niko kwenye process ya kuja huko mwezi wa nne mwakani.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Ай бұрын
Baros anapenda ugali naona hahaha 🎉🎉🎉 safi sana
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Ай бұрын
Woow great 🎉🎉
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 Ай бұрын
😂😂😂, Classmate nakumbuka1993 form one Forest hill secondary school, nakumbuka orientation course uliniuliza kitu kilinifanya nijue English 😂😂😂😂😂
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 Ай бұрын
Wote mliosoma Forest Hill, mna historia ndefu. Mlikuwa watoto wa madon, mliharibika kweli
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Ай бұрын
Kwakweli hapo malipo sio marekani
@AyoubMwairuby-y4l
@AyoubMwairuby-y4l Ай бұрын
Daaah,,safi sana hii nimependa
@rouqia
@rouqia Ай бұрын
Genius, so real and humble.
@albertmaneno
@albertmaneno Ай бұрын
Life experiences.... Mwisho is wise
@yassinmwambeta9218
@yassinmwambeta9218 Ай бұрын
Genius Mwisho Mwampamba.
@FaustineTz
@FaustineTz Ай бұрын
Haaà miaka 20 uyo ni mbongo dadeki
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 Ай бұрын
Pako kama tz tu
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 Ай бұрын
Umetisha
@rastonmwakifuna8583
@rastonmwakifuna8583 Ай бұрын
Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza kupitia hii interview....thanks a lot Mwisho.
@abrahema8231
@abrahema8231 Ай бұрын
Ukisikia Content ndio hii sasa..jamaa ana subscriber buku na clip inatembea
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
😂😂
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 Ай бұрын
Wazungu pori wengi sana Tz
@NoelChambo
@NoelChambo Ай бұрын
Good job
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 Ай бұрын
Umenikumbusha Sajuki alikuleta kwenye bongo movie ila ndio hukutaka kuendelea rest in peace Sajuki nazani hata wastara baada ya kukuona kamkumbua sajuki