Wow 🤩 Congrats kwa kujitambua Mwisho Mie nakutambua I been through a lot with Family and friends but I still here wow hongera kwa hilo bravo 👏
@kalengashoppingcenter1108Ай бұрын
Nimeacha Pombe coz kwetu co pazuri, pia mwenyewe nahitaji nipige hatua nimeacha marafiki mzgo najarbu kujifunza kwa waliofanikiwa na waliofeli pia
@chusitvАй бұрын
what a lesson one can learn from this gentleman, it was good listening to you Mwisho Mwampamba
@edwinmmari634Ай бұрын
Hii ndio kujipa second chance kwenye maisha na sio baada ya kupita kwenye stress unakata tamaa moja kwa moja...nimejifunza mengi kupitia huyu mwamba....cha kwanza kuachana na marafiki wasio kua na ticha,kuacha ulevi wa aina yoyote...kua na target ya unachokitaka kwenye maisha bila kupoteza muda na kupiga kazi na kuacha kulalamika ama kuwalalamikia wengine wakati maisha Inabidi ufight mwenyewe👍👍👍
@benjaminsemwenda3152Ай бұрын
Mwisho Ni Mtu Mwenye Uelewa Mkubwa Sana Na Amebarikiwa Sana Ila Inaonesha Shetani Ametumia Nguvu Kubwa Sana Kumdhoofisha Na Kumfikisha Hapo Alipo Ila Nnachofurahi Hajajikatia Tamaa Na Anaendelea Kupambana Na Kupambania Kesho Yake
@ibel4lfАй бұрын
Umenena nilichokiwaza
@dennisnjonanje62Ай бұрын
Acha kujifanya unamjua, mwenyewe kaeleza yote😂
@benjaminsemwenda3152Ай бұрын
@ Sawa mke wake Mwisho me simjui ila nimejikuta naropoka tu
@tanzaniatouristsattraction162228 күн бұрын
😂😂@@benjaminsemwenda3152
@rastonmwakifuna8583Ай бұрын
Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza kupitia hii interview....thanks a lot Mwisho.
@ryzking1630Ай бұрын
Best interview ❤ Yani big up sio Wasanii Wa siku hizi Ashike simu ajibabaishe
@emmanuelmohammed1294Ай бұрын
Unajiamini sana broo! Hongera mwisho Mwampamba
@salimmzee1164Ай бұрын
Mwisho my young bro,kwanza hongera sana kwa kuweka wazi baadhi ya vitu ambavyo watu wengi hawajawahi kuvifahamu kuhusu wewe."That's the power of 'Push Back.' In short, the journey is never over until you reach your destination. We’re in this together, and you can always count on my support. Remember, the only time a MAN receives FLOWERS is when he's SIX FEET UNDER on the day of his burial. Until then, keep moving forward. Over time, the haters will come to realize just how misguided their perceptions of you truly were."
@samsongonsalves1703Ай бұрын
Was great experience kaka,keep it up
@omarimsangi4075Ай бұрын
i support community library and social club for tradition ngoma, local news i wish I was close to assist and community life as it use to be Mungu akusaidie utekeleze maono yako nimeipenda sana.
@jeremiahmtui6822Ай бұрын
Bonge la Interview nimejifunza sana jambo leo
@AbelShauriАй бұрын
Nime kuelewa sana brother mwisho big up sana
@nakundwamkubwe7823Ай бұрын
Nimeokota madini shukrani kaka Mwisho.
@salomewandya7257Ай бұрын
Mwisho akili kubwa👌👌💯💯
@mylifepurposeАй бұрын
Shukrani kaka mwisho kwa elimu na experience yako katika kupambana
@nikkitokke8162Ай бұрын
Safi sana Mwisho. Natamani nijue Dada Yako tumpe maua yake
@olivernyange2349Ай бұрын
Hongera sana self examination ni solution for every one
@IbrahimMohammed-uy6ysАй бұрын
He is very smart. This is me myself.
@norineraymond8098Ай бұрын
Best interview 👌🏾
@ItikaJohnАй бұрын
Hongera sana Mwisho … Nakukumbuka sana .. ucheshi wako, heshima, na tabasamu la kweli…. Unapakumbuka Sayansi Kijitonyama duka la Tyre? Kwa kina Mateso , Baraka aka Bonge …. Keep it up bro!!! Kuwa tajili ni afya kwanza then vyote vianafuata….
@ezekielmadindula2679Ай бұрын
😂😂😂, Classmate nakumbuka1993 form one Forest hill secondary school, nakumbuka orientation course uliniuliza kitu kilinifanya nijue English 😂😂😂😂😂
@nikkitokke8162Ай бұрын
Wote mliosoma Forest Hill, mna historia ndefu. Mlikuwa watoto wa madon, mliharibika kweli
@brain_ujazoАй бұрын
Ebwana noma asana kabisaa
@eka_nobilityАй бұрын
Smart one
@cchimodzi3858Ай бұрын
Safi sana kipindi kizuri chenye mafunzo
@stevekadri4916Ай бұрын
Stay blessed bro 🙏 🙌 ❤
@MaxmillianNtemoАй бұрын
Universal Leaf Tobacco Tanzania Limited..daah
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Kipind kizuri sana sana
@abdillahiabdallah438Ай бұрын
BROO SAFI SANA JINA LAKO KUBWA UMEFANYA POWA SANA KUACHANA NA STAREHE BIG UP
@hansmsangi9828Ай бұрын
Umenifurahisha kuacha pombe nakumbuka na mm niliacha tu ghafla watu wakajua kuna dawa za kiyenyeji labda nimekunywa lkn sio kweli mtu ana uwezo wa kuacha mwenyewe ukiamua ...
@farajiissa560Ай бұрын
Respect bro
@msafirisaimoni9561Ай бұрын
Depression mbaya sna usipokuwa mvumilivu
@fahimkhalifa5904Ай бұрын
Km 30 /2 kagawa anaweza kukimbia kwa kwenda 15 na kurudi 15
@brain_ujazoАй бұрын
Elimu Tosha Kabisa
@aminmohammed4249Ай бұрын
A real fighter🫡
@emmanuelmohammed1294Ай бұрын
Mwisho Mwampamba
@ZillahKonje-pi8rdАй бұрын
❤❤❤❤
@gayanimwansasuАй бұрын
Funzo kubwa
@jamessakaya1375Ай бұрын
Shulee
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Mke watt ujamuliza
@ndolehamisi5567Ай бұрын
Ana mke wa kizungu n watoto, wanaishi Morogoro karibu na rock garden
@waralizzy-bio-baleАй бұрын
Copied 5/5
@BakariImran-q6lАй бұрын
🫡
@rowlandmcharo5437Ай бұрын
Mwisho wewe mwongoo km 30 asubui na jioni huwezi kimbia
@josephlorri431Ай бұрын
Hajakulazimisha ukubaliane naye..
@shyfettymtunda4619Ай бұрын
Ukiwa mkweli wewe inatosha.
@Joe-tr2vkАй бұрын
Kama afya yako mgogoro usidhani kila mtu yupo hivyo. Km 30 maana yake ni wastani wa Km15 tu kwa session,asubuhi na jioni.