Yan nilikuwa najiuliza binzari nyembamba kuna muda inakua na ladha mbaya sana hata kwenye pilau kumbe inakua haijaiva
@NeemaNtawigaya-ss1wi Жыл бұрын
Im sooo glad your back. Yaan napenda sana jinsi unavyofundisha . Nimekuwa mpishi mzuri kupitia video zako❤
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Asante sana Neema.nafurahi kusikia hizi video zinakufaa.this time tutapika sana tu
@barkaabdallah2407 Жыл бұрын
MashaAllah very nice ❤
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Asante
@salimalmarhoobi5675 Жыл бұрын
Ulikuwa wapi dada
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Michakato tu ya jikoni kaka.nimefurahi kukusoma
@RatifaHamza-p6t Жыл бұрын
Ieo napika❤
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Tunangoja mrejesho
@nataliampalanga36122 жыл бұрын
Unaeza kula wali huo na nini
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Na mboga yoyote tu,nyama ,kuku ,mboga za majani.vile unapenda
@bibianaamede78452 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Karibu sana
@monicachigoji23222 жыл бұрын
Ni maharage mazuri ila sijajua kwa sisi mama nitilie wateja watayapenda
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Chakula kizuri siku zote watu ukipenda.isipokua si rahisi watu wote kupenda kitu.hivyo wapo wateja watapenda na wapo ambao hawatapenda.ukijaribu utajua
@ngubwene2 жыл бұрын
Wow mie ni mmooja wa followers wako mie napenda sana kula wali na ninapenda kupika kila iku na ladha toffauti ... asante kwa vionjo ulivyotupa 👌👌👌
@mwanaishamtengo782 жыл бұрын
Like
@sarahossur9852 жыл бұрын
Asanteh dada nimesoma upishi wako
@mwanamvuachaulembo26972 жыл бұрын
Ujionei huluma mwili uwo mafuta mengi mbona
@mwanamvuachaulembo26972 жыл бұрын
Kwenye kuponda bado halage likiiva vzl Alina haja yaku pondwa
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Kweli
@jovinathabaraka80302 жыл бұрын
Je kama sina mayonaize niweke nini?
@parisspatz18802 жыл бұрын
Thanks dada najifunza kupitia wewe
@eunicelaizer2503 жыл бұрын
Jamni ckuizi ckuoni mamy
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Utaniona karibuni sana.kaa mkao wakupika
@tausiluguru74913 жыл бұрын
Congrats mama
@shymaak23183 жыл бұрын
Uko wapi
@adianamasinga3553 жыл бұрын
Mapishi mazuri ila una stori nyingi
@hermandemello22003 жыл бұрын
TyTollys Kichen uko Makini Sanaa na maelekezi ni fasihi!! Wali umetoka safii zabibu tamu. I'm pleased n happy watching ur post from TANGA amen
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Asante sana.nashukuru kwa huu mrejesho
@sheikhmixtureislamiclibrar5673 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5nVfY2uaLZ1mrM
@mollymwenitumba66413 жыл бұрын
Una sauti nzuri na unaelewesha vzr sana. Keep up the good work Tolly
@tollyskitchen3967 Жыл бұрын
Asante sana sana
@iranpaul31913 жыл бұрын
This is such a cool cooking video. If you add this on Khal,com. I can guarantee that this will be on the homepage..
@damasiphilipo69203 жыл бұрын
Jamani nimekumiss
@damasiphilipo69203 жыл бұрын
Jamani mbona umepotea sana
@worlddestinations65074 жыл бұрын
My favourite chef 😋 😍 👌 ❤
@habibam14294 жыл бұрын
Aweeeeeh napika leoo
@michellewambura57424 жыл бұрын
I LOVE it. Thanks sis
@aminasalamalekumamina62174 жыл бұрын
Mashaallh
@ladylucky17144 жыл бұрын
Nimekupenda bure ❤❤❤❤❤ unafundisha vizuri sana..Blessings on you
@djumamariam18104 жыл бұрын
Hasante sana dear kwa maelezo mungu akubariki
@lucymutai68694 жыл бұрын
Must try yummy
@Realzone2364 жыл бұрын
I just love you Tolly. Unaongea vizuri, unaelekeza vizuri na unapika vizuri sana. Set up ya studio ni nzuri sana.
@stephendominic29764 жыл бұрын
Vizuri San my
@aichirosina84404 жыл бұрын
You are the best food presenter I've watched by far ..love love love this...unafundisha haswa
@realkhamso22244 жыл бұрын
surely how does someone dislike a good presentation like this??