Рет қаралды 32,868
Mahitaii
•Mchele kilo 2
•vitunguu maji 2 vikubwa
•vitunguu swaumu kijiko 1 1/2 cha chakula
•Nyanya ya kopo kijiko 1
•chumvi kwa ladha
•Mafuta ya kupikia 1/4 ya kikombe,au kwa kiasi upendacho
•Maji ,vikombe 8 au ( vikombe sawa na kipimo cha mchele)
•zabibu kavu kikombe 1 (weka zaidi ukipenda)