nguo ni muhim sn huyu ni muislam lkn pia ni vzr kwa hasa mwanamke kujistir
@staanstaan87228 сағат бұрын
Boya we mletee unazoona zinafaa paka wa plastic
@seifsultan935122 сағат бұрын
Maashaaa Allah Mola akuzidishie B dd
@MaryamHemed-m6tКүн бұрын
hongera Thumaiy
@burhantvtzonline5417Күн бұрын
Big up sana sumaiyya
@IsmailMjeshКүн бұрын
Masha Allah, Masha Allah.... (Allah akuhifadhi daimah wa daimah).......
@user-lm1rh4jz6rКүн бұрын
Mashaallah Safi sn
@nassorseif404Күн бұрын
Hongera, hongera, hongera Sumaiya 🎉🎉🎉
@msauzimuhamed5483Күн бұрын
Hongera sana
@Islewilds2 күн бұрын
Good job
@mohdkhamis38573 күн бұрын
Sema lile soko la chuini au mnaitaga kwa nyanya jamaa wameboronga xn
@Is.haka_Statistician4 күн бұрын
Nice
@hajiabdalla57724 күн бұрын
Usafi muhimu na muwache zarau nyie wazanzibari kutunza mazingira hawawezi na jitu likija kuweka kigunia chini nje ya soko kuoanga tunguke faini apigwe na kuweka vibanda nje ya jengo faini na huko chooni usafi muhimu na kujisaidia kwa pesa ila ofisi ya Manispaa iwemo humo humo ndani kwa ajili ya uangalizi wa uchafuzi
@RamsingFullPackage5 күн бұрын
🎉🎉🎉
@nasrasheikh10208 күн бұрын
Soko linahitaji usafi, soko ni zuri masha a Allah ila tutaweza kulitunza?
@rajabmsinzia17159 күн бұрын
Wasio fadhila hao hawafadhiliki wao shida yao ni Madaraka tu kila kitu wanachofanyiwa huwona sio kitu
@alihijiiddi897714 күн бұрын
💪💪💪💪🌎🕌🕌SAWA SAWA MWINYI 💪💪💪💪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@rasheedabby287114 күн бұрын
mwinyi sasa anafanya vitu vya standard sana
@moodjeco584414 күн бұрын
usiseme ndio soko kubwa tanzania nzima bali sema zanzibar
@alhudhaify78109 күн бұрын
Anajua kusema znz ila kasema tz sasa unalifananisha na soko lipi jengine?
@DoctorBondia15 күн бұрын
Allah ajaalie mafanikio yapatikane katika mipangilio yenu yote. Aamin
@DoctorBondia15 күн бұрын
Huyu jamaa (mh Rais Mwinyi) Miaka mingine mitano inamuhusu ❤
@natafutamatatizo438215 күн бұрын
MWINYI UNANUKA DAMU NA TAYARI UMEANDAA KUMWAGA DAU NA BAADAE UPITE MISIKITINI UKIOMBEWA DUA! WATU 21 WALIPOTEZA UHAI KWA SABABU YAKO KUA RAIS NA SHETANI YUKO PAMOJA NAWE KWA DAMU UTAKAYOIMWAGA 2025! CCM OYEEE👁️👁️👀
@abuuzahra-fc2jg17 күн бұрын
Jamn Pemba mbona Iko Hoi
@RioIpo14 күн бұрын
Unguja ndio kitovu cha uchumi so wacha kuekezwe..
@moodyman758817 күн бұрын
Vp wanyonyoa kuku watapata maji yamoto. Au waje na majiko yao ?
@moodyman758817 күн бұрын
Lift hamna
@abubakarkhamis388417 күн бұрын
MashaAllah
@hassanmpemba574717 күн бұрын
tumekubali ni kweli kishindo kabisa maana sio ile zanzibar niliokuwa naijuwa mwanzo ilikuwa maji ni mtihani
@mohddelo17 күн бұрын
Safi Rais mwinyi
@khadijamohd574118 күн бұрын
Zanzibar oyeee
@najatrashidi664718 күн бұрын
Uchumi. Wa blue
@KassimHanga-xr7rb18 күн бұрын
Hongera Mheshimiwa Mw Mungu akujaaliye maisha marefu,afya njema na mwisho mwema,Amin kazi zako zinaonekana
@MaguguStore18 күн бұрын
Tunazionaje kama dawa kweli?
@IdiKondo19 күн бұрын
Daa ingekuwa msikiti Ingependeza zaidi
@salimkhamis363818 күн бұрын
Kuna msikiti mkubwa unajengwa hapo karibu na soko
@user-qr7et3vl5z19 күн бұрын
Mashallah hakika 25 huna mpizani kiongozi
@user-pp7ug2bc1y20 күн бұрын
Fungueni ubalozi mdogo Thailand
@shaviercharvinho1820 күн бұрын
😂😂😂😂❤❤❤❤mwinyi oyeeeeeee japo mie cinq chama
@hatibbaraka395620 күн бұрын
Mimi kilio changu pamoja na kuekeza kwenye sekta ya utalii,tuanze kubadilika tuekeze kwenye viwanda,tujifunze kipindi cha Corona kila mtu alikua mkulima na mvuvi,siku wageni wakiamua kupata chimbo jipya hii idadi itapungua na pesa itakimbia. Pia usafi kisiwa kichafu mno kutoka mjini hadi vijijini. Mgeni unatoka nae airport akifika Kwerekwe tu anakuambia mji mchafu hapo unaenda nae kusini,plastic hadi kwenye fukwe ambazo wageni tunawategemea watembelee,saa nyengine unamkuta mgeni anabeba chupa kaokota ufukweni.
@alhajjkassim264820 күн бұрын
❤
@KhafisaAli20 күн бұрын
Nakuomba irudie hii
@hadijamgambo-jn7kg20 күн бұрын
Kumbe wamejenga wazawa wa Zanzibar...Ma Shaa Allah
@yahyahamisi203820 күн бұрын
Tanganika ziiiiiii 😂😂😂😂 Kadiba mmmaa 👍👍👍👍
@mrok28421 күн бұрын
Tatizo watalii watembea uchi. Tena Hadi mitaani mwetu wanatembea wakiwa ng'ande. Cjui up utamaduni wa Mzanzibari tunauhifadhi vp😌😌??
@nadirmahfoudh181221 күн бұрын
Masha'allaaaah ❤
@user-qt5xq6fk6o21 күн бұрын
Mh mwinyi wewe ni mtu na nusu big up Mr president.
@aseelaisaa42821 күн бұрын
Znz ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ daima itakuwa juuu zaid.chini ya uongozi imara thabit wa viongozui wenye sifa za kiwango cha hekma kuotaka znz mpya iwe historia.
@MAPETEE21 күн бұрын
Ujinga huo si tatizo kuja hawo lakin wasifanye mambo machafu na kuvaa uchi
@hajiabdalla577221 күн бұрын
Na fukwe za bahari chafu muweke japo vijana wa mitaani wawe wanadafisha na japo elfu ishirini kwa siku muwalipe kuliko kukaa mtaani.kisiwa cha utalii usafi muhimu na mazingira bora yaendelea kwa sote
Waboreshe pale immigration wako very slowly sana na room zao za huduma zipo chache mtu unapanga quuee mpaka miguu inaingiya ndani kwa kusimama till umfiliye huyo officer na kwenye malipo ya visa vilevile wako very slowly
@user-qe9ot4kl9u21 күн бұрын
Mm nimesema hapo juu 👆🏽 wamenitusi wakasema ni Mkenya ila ttzo watu wetu bado wana ujinga mwingi Airport Zanzibar haina hata sehemu ya kuswalia ya kueleweka wasafiri wanaswali kwenye koridoo 😮
@AbdulmajidkhamisMakame21 күн бұрын
Acha uongo unaijuwa vizuri hiyo Airport ya Zanzibar au unaporoja tuh . Sehemu màalumu za kuswalia zipo tena ni Kwa wanaume na wanawake. Acha kusema vitu Kwa chuki Fanya utafiti kabla ya kuongea.
@saidaly820121 күн бұрын
Limghrimu Milion 30 au nimeskia vbya tu hebu rejea ndg sjaelwa hapo
@hairathussein111818 күн бұрын
Bilioni sio milioni
@SalimKombo-xo4pq21 күн бұрын
Rais mwinyi fanya kazi ndugu yangu mungu atakubariki. Ishaallah ❤❤❤