#YALIYOMO

  Рет қаралды 20,721

IsleBlogTv

IsleBlogTv

8 күн бұрын

#isleblogTV Kishindo cha Dkt Mwinyi Soko la Kwanza la kihistoria Zanzibar, kwa Tanzania ndio soko la Kwanza pamoja na Afrika Mashariki yake.

Пікірлер: 76
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 6 күн бұрын
Mashallah mashallah mashallah hongera sana muheshmiwa Rais kwa kutumia uzalendo wakuwaajiri wazawa kwenye ukandarasi kumbe tunaweza
@DoctorBondia
@DoctorBondia 4 күн бұрын
🎉 Maashallah Inapendeza Sana, Allah ambariki Mr Rais na nawatakia utunzaji wa soko hilo.
@samirasalim4203
@samirasalim4203 6 күн бұрын
MashaaAllah Tabaraka Rahman, mwege toa na chumba cha kuswalia.
@hairathussein1118
@hairathussein1118 21 сағат бұрын
Mbona kipo
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 4 күн бұрын
Rais mwinyi fanya kazi ndugu yangu mungu atakubariki. Ishaallah ❤❤❤
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 6 күн бұрын
Kazi nzuri tatizo utunzaji....ndio watz tunapofeli
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 4 күн бұрын
Kabisa ndugu hatuna utunzaji katika majengo husussan ya Serikali。 Maoni Serikali iajiri au wafunge mkataba na Kampuni tatu Kampuni ya Usafi Kampuni ya Security Na Kampuni ya Maintanace, NB:Vituo vya Afya,Skuli na Masoko
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 19 сағат бұрын
Utunzaji kweli ni tatizo la uswahilin,lkn pia Tatizo jenqine ni ujenz wa viwango va chini. Yote ni walafi wachache waliomo kwenye sirikali
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 5 күн бұрын
Kazi nzuri mashallah wasiwasi wangu kwenye usafi mpaka vyooni usafi security ikuepo. Usafi nasisitiza zaidi soko zuri sana mashallah mwinyi mitano tena baba.
@AnkallyPandu
@AnkallyPandu 6 күн бұрын
Mashaallah soko zuri sana usafi muhimu sana maana soko kama hilo likiwa chafu aibu iwe kila mara liwe linasafishwa hongera kwa soko letu kuwa la kwanza Tanzaniaa nzima kwa ukubwa
@masoudkhamismasoud9945
@masoudkhamismasoud9945 7 күн бұрын
Mnahitaji pongezi kwa kazi kubwa
@salumkarim69
@salumkarim69 7 күн бұрын
mashaallah ukhtiy umejitahid kuelezea
@hadijamgambo-jn7kg
@hadijamgambo-jn7kg 2 күн бұрын
Kumbe wamejenga wazawa wa Zanzibar...Ma Shaa Allah
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 6 күн бұрын
Wasiwasi wangu kwenye Usafi na maintenance 😢😢.... Soko zuri saaana... Viwepo vitengo maalum kwa usafi na maintenance... Pesa hizi Kodi hizi😔
@mohddelo
@mohddelo Сағат бұрын
Wnapewa sekta binafsi kuendesha
@DaniDani-v3w
@DaniDani-v3w 4 күн бұрын
Shukrani mweshimiwa raisi ila walokuwepo kibanda maiti na wanamizigo ya kutundika kwamfano ndizi pia na mozigo mengi
@DoctorBondia
@DoctorBondia 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ Hakika yajayo yanafurahisha😅. Naomba na parking ijengwe ili Mambo yawe mazuri zaidi.
@masoudjuma8169
@masoudjuma8169 5 күн бұрын
Congratulation #Badrani # Hamis hollela🎉 good interview
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 4 күн бұрын
Mashallaah kazi nzuri sana. Haya ndio maendeleo tunayo yataka tanzania 🇹🇿 yetuu.
@mohddelo
@mohddelo Сағат бұрын
Safi Rais mwinyi
@user-qr7et3vl5z
@user-qr7et3vl5z Күн бұрын
Mashallah hakika 25 huna mpizani kiongozi
@w4058
@w4058 6 күн бұрын
Machinjio ulimwengu mzima takriban hayawi sokoni sehemu nyingi sana sana
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 6 күн бұрын
Potential area,,,,Masha Allah
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 6 күн бұрын
HONGERA MAMA SAMIA ♥
@DoctorBondia
@DoctorBondia 4 күн бұрын
Kwa hali hii hakika Mwinyi anastahiki kupewa tena mitano ❤
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 2 күн бұрын
Tanganika ziiiiiii 😂😂😂😂 Kadiba mmmaa 👍👍👍👍
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 7 күн бұрын
Looking good
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 7 күн бұрын
Soko ni zuri ,lakini ninavyo ijua Zanzabar shida yetu kubwa ni usimamizi mbaya juu ya mambo mengi sana ,soko hilo litakuwa chafu muda mfupi tu ,takataka zitazagaa kila mahala .
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 6 күн бұрын
Hao wafanya biashara ndio wachafu zarau kuta zote zitawekwa misumari waweke mapolo pakacha
@alihabib2270
@alihabib2270 6 күн бұрын
Nina 9:00 shauri machinjio yawe mbali na soko na hata kuwa mbali na mji na hiyo ndio utaratibu wa masoko mengi ya mji ili kudumisha usafi wa masoko
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 6 күн бұрын
Mskiti umeuvunja ujengwe soko sio muhimu zaidi kuliko ibada zetu
@DoctorBondia
@DoctorBondia 4 күн бұрын
Akhy kuwa na shukrani kwani ineo Hilo msikiti ulikuwa Ni huo mmoja tu?
@DoctorBondia
@DoctorBondia 4 күн бұрын
Ni Mara ngapi amejengesha miskiti unguja na Pemba
@bakarhamad6810
@bakarhamad6810 13 сағат бұрын
Misikiti ni mingi Sana znz na km tutagawanyiwa wazanzibar wote utagundua kila wtu 20 wanapata msikiti wao so tatzo lkn je tupo ktk Hali gani kiimani na kiitikad. Sasa kuna misikiti mingine sio tatzo kuvunjwa km patatengenezwa Jambo kubwa lenye manufaa makubwa ktk maendeleo y jamii. Il'imrad tu iwe walengwa na wanufaika ni jamii ya Sasa na baadae.
@bakarhamad6810
@bakarhamad6810 13 сағат бұрын
Ninalolitamani ni siku moja na sisi wapemba aje atujengee kitu km hicho ili tuanze kuifungua pmba kiuchumi.
@alhajjkassim2648
@alhajjkassim2648 2 күн бұрын
@IbrahimSallim-xd4lx
@IbrahimSallim-xd4lx 6 күн бұрын
Mashallah 😍❤
@alihabib2270
@alihabib2270 6 күн бұрын
Na kama hili halikuonekana sasaivi litakuja kuonekana baadae inshaallah. Hongera sana raisi Mwinyi.
@user-qt5xq6fk6o
@user-qt5xq6fk6o 3 күн бұрын
Mh mwinyi wewe ni mtu na nusu big up Mr president.
@alihabib2270
@alihabib2270 6 күн бұрын
Nadhani pamoja na dhamira nzuri ya serikali katika kufanikisha biashara kwa soko la kwerekwe lakini kuweka Shemu ya machinjio sokoni naona kwa kuanzia inaweza ikaonekana ni sawa ila kadiri machinjio yanaendelea nahisi itakuwa mzigo kwa wananchi na wafanyabaishara sokoni
@jombadulla
@jombadulla 6 күн бұрын
nakuomba mheshimiwa ukienda kukagua angalia kuna raba nyeupe kweny ukuta umezibwa hiyo ni nyufa imeanza kukatik ,wameziba ili kuficha,
@masoudjuma8169
@masoudjuma8169 5 күн бұрын
Maeneo unayoona rubber nyeupe ni expansion joints, kitaalamu jengo kama ilo kubwa huwa linagawanywa .
@salimsalim-ut4jk
@salimsalim-ut4jk 5 күн бұрын
Mm mungekuja na uchambuzi ni namna gani na kwa kipindi gani fedha zilizojengewa soko zitarudi hp ningewasifu lkn pia siwalaumu kwa kua sisi pengine hatujawahi kuona vitu km hivi lkn pia nikumbushe tu kuwa vitu km hivi maranyingi hufanywa na makampuni na sio serikali, nakuombeni mutuletee na uchambuz wa hela iliyotumika na vp itarud
@hamicpina1151
@hamicpina1151 6 күн бұрын
Tengeza viwanda vpi kuusu bandar hivi ND tunataka maana watu watapata ajira pasipo mfano na nd maana watanganyika wanajuwa ukijenga bandar na viwanda Zanzibar itakuwa kimaendeleo na sera ya ccm kuizamishaza Zanzibar kimaendeleo kwa iyo mtatubabaisha kwa vitu kama ivo xjuli masoko na Barbara ila mujuwe tuu viwanda vy samaki vy mwani vy matumbawe vya karafuu vya makonyo na pamoja na bandar ndio tunahitaji
@firdaus7428
@firdaus7428 5 күн бұрын
Masha Allah znz Dr. Hussein Mwinyi pongezi nyingi kwako Baba 👏👏
@sule17942
@sule17942 5 күн бұрын
Mwinyi mtu sana
@user-wz7tm6bp1g
@user-wz7tm6bp1g 4 күн бұрын
Doky MWINYI vunja HOROFA hapo mbele ya SOKO
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 7 күн бұрын
Zuri
@harithwhite589
@harithwhite589 6 күн бұрын
Viazi mbatata vinakawaida ya kubeba tope,kwaivo vibaraza vyake viwe uko second floor,sio mbele ya mapokezi apo mwanzo
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 6 күн бұрын
Tuko hapa hapa
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 4 күн бұрын
Muwaweke watu watakaosafisha
@IdiKondo
@IdiKondo Күн бұрын
Daa ingekuwa msikiti Ingependeza zaidi
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 9 сағат бұрын
Kuna msikiti mkubwa unajengwa hapo karibu na soko
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 6 күн бұрын
Msikitini vp jama kumbukeni hiyo ninyumba ya Allah na nyinyi mumeibomoa na mpaka sasa hamjafanya chochote
@user-un3hr5kh6z
@user-un3hr5kh6z 5 күн бұрын
Tunahitaji viwanda zaidi mwinyi usitumbaze sisi mitaji hatuna ila nguvu na akilin tunayo
@harithwhite589
@harithwhite589 6 күн бұрын
Jusa yuleeeee,kama namuona hivi
@msabahaali758
@msabahaali758 7 күн бұрын
ule msikiti mliouvunja ujengeni jamaaniii apo kwerekwe
@ramadhanngwilili6261
@ramadhanngwilili6261 5 күн бұрын
Jengo kuwa kama hili haliwezi kosa Sehem ya Kuswalia kaka
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 6 күн бұрын
Ila zuri lkn pesa hio no
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 6 күн бұрын
Kodi je itakuaje maana tulisikia ya dara jani?
@AnkallyPandu
@AnkallyPandu 6 күн бұрын
Vipi kuhusu usafi maana hilo soko la kitaifa
@user-ho1ze2jb5c
@user-ho1ze2jb5c 6 күн бұрын
Naomba mtangazaj tumia kiswahili sababu wazaa wite hatuelewi lugha ya kiengerez na tuna hski ya kupata habar
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 6 күн бұрын
Kwan anaongea English hapo😅
@bongo39
@bongo39 6 күн бұрын
Mashaallah kama oman mwinyi anafanya mabadiliko makubwa sana
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 6 күн бұрын
Hio hela bilioni 35 hebu inane tena wasema tu hio mpesa soko hii no kwa pesa hio no
@Khamis_Waya
@Khamis_Waya 6 күн бұрын
😂😂😂 so mchezo ila wao ndo walojemga kwaio cc wacha tukafanye kaz lakin cio pow ata kidogo.
@user-qr7et3vl5z
@user-qr7et3vl5z Күн бұрын
Wewe nimpizani hata ukipauka Domo lako sisi kazii tunsiyoons
@saidaly8201
@saidaly8201 3 күн бұрын
Limghrimu Milion 30 au nimeskia vbya tu hebu rejea ndg sjaelwa hapo
@hairathussein1118
@hairathussein1118 21 сағат бұрын
Bilioni sio milioni
@jombadulla
@jombadulla 6 күн бұрын
limepasuka wameziba raba nyeupe,mkifik jamani angalieni
@khatibabass3106
@khatibabass3106 6 күн бұрын
Kwa vikuta hivyo ninavyoviona hahahahaha kazi ipo vitawashinda tu hao wafanya biashara
@AnkallyPandu
@AnkallyPandu 6 күн бұрын
Sio kweli
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 5 күн бұрын
😅😅😅
@SleimanMsellem
@SleimanMsellem 6 күн бұрын
Uchawa tuu ubunifu aaah
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 5 күн бұрын
😅😅😅
Raila, Kalonzo present as President Ruto signs IEBC Bill into law
40:07
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 162 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 48 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 58 МЛН
#ZANZIBAR NA JAMBO KUBWA LA KIHISTORIA
5:29
IsleBlogTv
Рет қаралды 5 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 892 М.
MAENDELEO UJENZI WA FLYOVER
4:04
HABARI ONLINE TV
Рет қаралды 1 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН