Dr.Tulia watu wa Mbeya wanalia
12:55
4 сағат бұрын
Rais samia ashukiwa na mzee huyu
6:38
21 сағат бұрын
Zuchu akemewa usileta uchawa Mbeya
9:11
21 сағат бұрын
Пікірлер
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 10 сағат бұрын
Tanzania Marais wa UKWELI Ni 2 tuu Mwl JKN NA JPM. wabarikiwee wote hukooo
@MinihajMdoe
@MinihajMdoe Күн бұрын
Duh hii ni hatar sana
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 2 күн бұрын
Hatatokea laisi Kama magu pumzka kwa amani nani Kama magufuri
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 күн бұрын
Wekeni kumbukumbu vizuri anajua wauaji na anafurahia.
@SaluMahali-x2v
@SaluMahali-x2v 3 күн бұрын
👍🙏❤❤🎉
@FellaMbogela
@FellaMbogela 4 күн бұрын
NI KWELI HILI JINAMIZI LA KUTEKWA NA KUPOTEZWA LILIKUWA LIMEYOKEA UGANDA KIPINDI CHA MWANZO KABISA CHA UTAWALA WA IDDI AMINI NA BAADAYE KUENDELEA MPAKA ALIPOPINDULIWA NA KUFUKUZWA KWA MSAADA WA JESHI LETU
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 5 күн бұрын
Mkoani kwa RC CHALAMILA HUKOOOOOOOOO
@Michaelagni
@Michaelagni 6 күн бұрын
Kweli kabisa mchungaji Ulindwe zaidi nay mumpe Urais ata ongoza vema sio Hao ma binti uchi pumbavu
@Michaelagni
@Michaelagni 6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma 7 күн бұрын
Mhuu jaman hamwogopi mungu wambarikiwa
@mwesigyeglory215
@mwesigyeglory215 8 күн бұрын
Huo ni ukweli kabisa
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 8 күн бұрын
MUNGU akulinde mbarikiwa wewe ni ni mtumishi wa Mungu kweli kwa Tanzania upo pekee yako
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 8 күн бұрын
Udinikumbushe habari za bashiteee hahahaaaaaa huyo ndo geajima
@ZishfriethElisa
@ZishfriethElisa 8 күн бұрын
KIBALI CHA KUTOA HUKUMU UMEKITOA KWA NANI?
@matrixtechnician3088
@matrixtechnician3088 9 күн бұрын
Ya muda hii
@MaulidyMadyo
@MaulidyMadyo 9 күн бұрын
Nay ni msomi nimuelewa sana ana kipaji
@MaulidyMadyo
@MaulidyMadyo 9 күн бұрын
Bsraaa uyo mwamba
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 10 күн бұрын
Rais wa kitaaa
@OscarBethel
@OscarBethel 10 күн бұрын
Ongera
@TatuNhonoli
@TatuNhonoli 10 күн бұрын
Yaani mmegeuza nyumba ya Mungu kuwa nyumba ya siasa, Kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa hakuna mwanadamu alipewa mamlaka ya kuhukumu yatakurudia mwenyewe, chagua moja siasa au Mungu vinginevyo utakuwa mchungaji wa mchongo kila siku
@AmaniMwalusamba
@AmaniMwalusamba 10 күн бұрын
Mbona mda
@julianapayovela5206
@julianapayovela5206 11 күн бұрын
Angelina kutona
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 11 күн бұрын
Mwenyezi mungu akusimamie rais wa kitaa anatufaa sanaa sanaa
@stephanomwaweza8167
@stephanomwaweza8167 11 күн бұрын
Mbona ya zaman Sana?
@joycealbart805
@joycealbart805 11 күн бұрын
Hivi wewe unatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja ? Wewe kama unamjua mungu mbona wewe mnafiki wakati mungu hapendi chuki binafisi .hunamalaka ya kumfuta hila unamuongezea kwa jina la yesu.
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 11 күн бұрын
Acrobatic za Kisiasa ni vip😂 Wez wakubwa nyinyi
@marwamasele4417
@marwamasele4417 11 күн бұрын
Huyu Ndugu Kashayumba, Kwani Kuna Haja Gani Ya Kutupiana Maneno Kama Kweli Nawe Ni Wa MUNGU? Mimi nidhani Gwajima Kama Kweli Unamtumikia Mungu Basi Ungejibu Ki-MUNGU, But That's Non Sense Mura
@TatuNhonoli
@TatuNhonoli 10 күн бұрын
Hana Mungu huyo Mungu alisema tutawatambua kwa matunda yao hayo ndiyo matunda yake maana badala ya kuhubiri neno la Mungu liwasaidie watu unawahubiria mambo ya makonda, usijifanye mkamilifu sana kumbuka Mungu anawajua walio wake
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 11 күн бұрын
KAZI KWELI KWELI
@tuziemtenga3712
@tuziemtenga3712 12 күн бұрын
Hubiri injili ya Yesu na kuombea watu ndio kazi Mungu aliyokupa. Wakristo tunapigana vita wenyewe
@felisimshana9088
@felisimshana9088 12 күн бұрын
Kwangu mimi huyu ndo rais wetu
@AllyMasterKitali
@AllyMasterKitali 12 күн бұрын
Haya mamtume nimataper yanadanga watu kuwatabria nakutoa unabridged chonganishi hao wanatakiwa wafungiwe kazi iliwananch wasidanganike tena nahawa watu wanashibisha matumbo yao
@JoshuaGoliama
@JoshuaGoliama 14 күн бұрын
Achen ujinga kamtetea wap sasa
@FESTOAMOSI
@FESTOAMOSI 12 күн бұрын
@@JoshuaGoliama yaani HUYU jamaa ana zingua sana
@MzeeOsama
@MzeeOsama 14 күн бұрын
Wewefanyakaziyadiniachananasiasa
@FESTOAMOSI
@FESTOAMOSI 14 күн бұрын
Acheni uongo hajamtaja mbalikiwa tatizo lenu ninyi mnatafuta kiki tu mbalikiwa wewe pambana si lazima gwajima akuunge mkono wako wengi
@danielkembo2177
@danielkembo2177 14 күн бұрын
#nay wamitego 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PeterLaizer-hj3cy
@PeterLaizer-hj3cy 14 күн бұрын
Hii sio injili, muwe na aibu, nanyi washirika amkeni, muangaze, mjue nani mnaemsikiliza.
@stanleymanya438
@stanleymanya438 14 күн бұрын
Video ya makonda waclouse😂😂
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 14 күн бұрын
CHAMA KILISHINDA WAPI???? CCM LINI ILISHINDA TANGU 1995 WANAJISHINDISHA TU HAWASHINDAJI NA KAMA WEWE U MTU WA HAKI BASI TTOKA CCM KWA KUWA HICHO CHAMA KIMEJAA UOVU MWINGI!! ALIMRADI UKO PAMOJA NAO NA WEWE SI MTENDA HAK NA MUNGU NI WA HAKI
@danielmwaikoono8928
@danielmwaikoono8928 14 күн бұрын
Unachochea ugomvi wewe unafanya vbaya sana
@jessemathew4696
@jessemathew4696 14 күн бұрын
Mbona hii ya Gwajima ni ya zamani sana.... Unapata faida gani kwa uchonganishi km huu..?
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 14 күн бұрын
Wachungaji wamebaki kwenye ndoto tu / Mara nimeoteshwa hivi Mara nimeletewa maono nk upuuzi mtupu
@SaimonMwashinga
@SaimonMwashinga 14 күн бұрын
Mungu awabariki san watetez wa haki niny ni zaid ya mashekhe na wachungaj maana mnapigania haki
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge 15 күн бұрын
🙏
@DominickDebolah
@DominickDebolah 15 күн бұрын
Hahahaha ❤❤
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 15 күн бұрын
Ni kweli mzee wetu..ahsante sana......tunawategemea ninyi mseme neno...wakisema wengine wanaambiwa wanataka kuvunja amani ya nchi.....wakati watanzania wanateseka.
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 15 күн бұрын
Kwa hili gwajima umechemka . Kwaio ulitaka upinzani usishinde
@WinnyDaniel-uy6rg
@WinnyDaniel-uy6rg 15 күн бұрын
Wambie dada angu aman mdomon vitendo hamna
@RastaSuma
@RastaSuma 15 күн бұрын
Watanzania wanataka kufanya maandamano amani ya kupinga mauaji, utekwaji na udhalilishaji wa kijinsia unaofanywa nabaadhi ya watu wasiowaadilifu.
@nkindasalumu2944
@nkindasalumu2944 13 күн бұрын
mabeyo
@laurencemwanga6441
@laurencemwanga6441 15 күн бұрын
Wacha kujikosha watu wanakujua
@ombendaud5938
@ombendaud5938 16 күн бұрын
Raisi wa kitaa hakika alihutubia Taifa