Excellent Bro! Continue to expose more and more whatever good/bad you think. Ili sisi wenye ndogo tupate kujifunza zaidi before. Safi sana kaka.
@bentez9118 сағат бұрын
Uyo mwamba ni kwl au swaga dollar 35000 kuvaa tu
@bentez9118 сағат бұрын
Uyo mwamba ni kwl au swaga dollar 35000 kuvaa tu
@AllanMohammad-v8n18 сағат бұрын
poa sana nakubali kazi zako from Tz....
@stanlaurent512122 сағат бұрын
Kutoka Bariadi Simiyu
@stanlaurent5121Күн бұрын
Inatufunza Sana hii
@stanlaurent5121Күн бұрын
Shida ziko sehemu zote tu
@lemankulije596Күн бұрын
Duuh jaman hili tatizo ni dunia nzima mungu ATUPIGANIE
@AllyMbarouk-q4hКүн бұрын
Kaka kaz nzuriii xanaa
@UnathiMayekiso-hw4pfКүн бұрын
Nakubali malume ❤❤❤
@Aziza-tx4jxКүн бұрын
Afu kuchafu
@JudithKimaro-b9jКүн бұрын
Alivyosikia huyo kaka katoka tanzania yy kasemaje
@CamilasJohnКүн бұрын
1m usa dollar
@JumaAjali-u5fКүн бұрын
Nakufuatilia bro Dar Tz Mbagala moja hiyo
@LautaroIshak2 күн бұрын
Kitu nilichojifunza hapo wezetu wanajali mazingira kutunza miti ss huku tunakata miti uvyo
@UnathiMayekiso-hw4pf2 күн бұрын
Chatu saluti chafu ❤❤
@josephvenus32592 күн бұрын
Nipo Tabata SEGEREA 💥💥
@UnathiMayekiso-hw4pf2 күн бұрын
Nakukubali mwana mimi nipo cp twon ❤❤❤
@kelvindaniel70182 күн бұрын
Very nice but kaa chonjo❤ bro
@LewisKamau-l6o3 күн бұрын
There are few suvs saloon cars are many, uku hawajuui kupiiga watu gheeta
@ObediEzekieli-fr4vl3 күн бұрын
Tegeta Dar es Salam
@ZitoRamadhan3 күн бұрын
Hao jamaa Huwa hwapendi kutuonyesha mazingira yao kama hayo unayotuonyesha wewe Huwa wanaficha sana
@SalheMohd3 күн бұрын
Karibu na mexico iyo usitushughulishe na hakuna nchi ambayo kila maeneo ni raha t tutakuja ivo ivo tujionee
@wazirihemed73403 күн бұрын
Hii ni pepo ya walionazo
@masemachota84334 күн бұрын
Hapo Pana utofouti na DSM
@AbdoullrahmanYusuph-xq2hq4 күн бұрын
😂❤
@josephvenus32594 күн бұрын
Tanzania is my favourite place to live forever e🎉ver! ♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kassimhashi494 күн бұрын
❤😂😂😂😂
@kassimhashi494 күн бұрын
Mm nipo Nairobi
@MangeMaange-s9v4 күн бұрын
Naitwa Aliy Niko tanga naangalia hii video
@AmosiMazengo-x4w4 күн бұрын
Unafanya vizry" kiwango sana mzee wa kazi I'm your fans
@CamilasJohn5 күн бұрын
Napenda sana channel yako
@CamilasJohn5 күн бұрын
😢😢😢 nawaonea huruma usa nchi tajiri na yenye maendeleo duniani ukiona hii unaweza jilazimisha kuamini kuwa niwakimbizi ila yote maisha
@TJMwacha5 күн бұрын
mtaa mxuri san
@TJMwacha5 күн бұрын
nainjoi nikiwa mbezi mzee bb
@SalminMpotasalmin5 күн бұрын
Oya braza Jack
@chidampiri10125 күн бұрын
Kuna free street public toilets huko? Hao watu wanalala kwenye road pavements what about helping themselves?
@AllenSalewa5 күн бұрын
Big up Man of Shys
@devetgoodness2855 күн бұрын
Nilidhani anaonesha mazingira kama ya Huku . Nyumba za nyasi, nk Nchi za mapepari usipofanya kazi huli
@hemedrashid29216 күн бұрын
hakikaa wazungu kungunii saanaaa wanawadanganyiaa mambo ya dini wakati waoo hawaijuii hiyo dini ss watanzania hatushobokeii wazungu ndio maana hataa kizungu hatukijuiii😂😂😂😂😂
@wazirihemed73406 күн бұрын
Jack you are heroe
@wazirihemed73406 күн бұрын
Nipo kigamboni Dar naenjoy projects zako, thank you
@wazirihemed73406 күн бұрын
Tusikate tamaa ipo siku tutakuwa kama wao dawa ni kupenda kujituma
@wazirihemed73406 күн бұрын
It is a good lesson for the poors in africa
@wazirihemed73406 күн бұрын
This is a good motivation for us who remain in Africa
@wazirihemed73406 күн бұрын
Good job Mr. Jack God bless you
@Hbomy-i7b6 күн бұрын
Hao ni raia or wageni ?
@yusuphmwanza5076 күн бұрын
Ingekuwa Tanzania ao wote wangekuwa Kila siku wanasumbuliwa na Police
@Hamzamkunguni-xe5nn7 күн бұрын
Hao wote ni wahamiaji kutoka nchi mbali mbali na wengine wanatoka mikoan, wengi wao sio wenyeji wa marekan hata bongo wapo wanaotoka mikoani wanalala nje kariakoo
@tasamediaa7 күн бұрын
Nakupata nikiwa kijiji cha Nyakanazi wilaya ya biharamlo mkoa wa kagera nchi ya Tanzania ok Asante