Napenda video zako na sichoki kuziona nko kenya naitwa john
@betomkwinda87445 ай бұрын
Ok sasa unatumia staili mpya tumeipenda na inatuburudisha, hatuchoki kukufuatilia JACKSON, endelea tupo pamoja wa TZ wote ❤❤ na tunakupongeza pia kwa kutumia muda wako na kwaajili yetu.kwa kweli unafahamika kila pembe ya TZ thanks