Sinanibariki sana wakatika Niko na shida mungu akubariki
@JustusMakau-m4mАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@SarahJuma-e3fАй бұрын
Am here again in 2025/1/2
@HusnaSeleman-n6gАй бұрын
Napenda sana zinakusogezea Roho mtakatifu
@mulwakanenjehumphrey807Ай бұрын
Ooh yes on my knees 🙏🙏 Dear God you are my only refugee no one but only you
@MercyNkyaАй бұрын
Nashukuru Sana nimepata nguvu mpya kupitia myimbo hizo Mungu awabariki sana
@EstherSamuel-e7zАй бұрын
Daima mungu atawale maishani mwetu 🙏🙏🙏🙏🙏
@RehemaMhando2 ай бұрын
najisikia raha sana
@AugustinoMroso2 ай бұрын
Nimependa kuabudu kwao Mungu awabariki Sana
@NoelBeatus-k4o2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@Tumwesige752 ай бұрын
Nausikilizaga usiku wa saa tisa nikifanya maombi,unaleta nguvu sana ya kuomba❤🔥🔥🔥
@OscarWanyonyi-z4v2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 glory to God
@AbelissJames-r5p2 ай бұрын
Hakika yesu wokovu wa maisha ya Kila mmoja me kama mm naamin yesu ni njiia ya maisha yangu sijui nyie
@SylvesterFabian-n5c2 ай бұрын
God is every things,
@simonmusau-v4r3 ай бұрын
Na barikiwa sana
@HirdaKahimbi3 ай бұрын
Mungu awapemaishaa malefu waimbaji wote nabalikiwa san na nyimbo za kuabudu
@JustnaFredy3 ай бұрын
Naupenda sana huu wimbo naingia rohon
@Kato-j5m4 ай бұрын
Asante Mungu kwa uponyaji
@AbihudLeonard-j6g4 ай бұрын
Wana damu ya faa Nini kuweko usoni pa nchi kama humutukuzi MUNGU ❤
@AminaWami4 ай бұрын
Ameen❤
@scolarjapheth32494 ай бұрын
Asante kwa nyimbo nzur barikiwa sana
@MercymweshElizabeth4 ай бұрын
Be blessed
@maryyongo-o4q4 ай бұрын
Ameeeen ameeeen ❤
@albertjohn21054 ай бұрын
💕💯
@BarakaKarisa-z4f4 ай бұрын
God is good all the time and all the time God is good ❤
@RebecaBrayton4 ай бұрын
Napenda sana kusikiliza hiz nyimbo kabla sijaanza maombi namwona mungu kupitia nyimbo mungu awabariki sana 🤲
@ArgentinaChangala4 ай бұрын
Asante Sana kwa nyimbo nzur Sana mbarikiwe Sana
@judithmjomba30914 ай бұрын
Mungu hututumia hakika
@misspowers3214 ай бұрын
may GOD see you through whoever is listening to this inspiring and uplifting worship songs in JESUS NAME.
@BlandinaZakayo-p9m4 ай бұрын
mungu nimwema kirawakati namushukuru kwakunipakibarichakuiwona sikuyarewo njinarabwanarihimidiwe
@FaridaMasele-u4z5 ай бұрын
Amen
@PatrickWambura-ls5zm5 ай бұрын
Hakika dijee mungu akupemiakabmingi uzidi katengeneza kazi zake nabarikiwa sana nakakz zeenu mbariwe sana
@HappyBlueLake-cp5jq5 ай бұрын
Jaman mbna naahindwa kui download hii nyimbo
@NeemaMacheni5 ай бұрын
Kama unapenda nyimbo za kuabudu like hapa team 2024
@BaudouinKing4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AmAm-xt1og4 ай бұрын
❤❤❤
@MaryMichael-h4c8 күн бұрын
❤❤❤
@nellykadenyi5 ай бұрын
lovely songs
@DorcusJuma-rd8sk5 ай бұрын
Mungu kupitia kwa hizi nyimbo nifungulie mlango wa kazi hii Qatar 🇶🇦😢😢mwanao nateseka😭😭🙏🙏🙏
@danielkulwa43674 ай бұрын
Aishaalaaah atafungua mlango na roho mwema aweze kutawala
@caroloduor9500Ай бұрын
It's done
@suzanasimonqwarsan6 ай бұрын
Haleluyaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@CollinsGitonga-r4v6 ай бұрын
May the lord bless you and do you good...nimebarikiwa sana nikiwaa India
@BrendaAkumu-w9d6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 nimebarikiwa sana
@ATUPELEMWANDENUKA6 ай бұрын
Nikiwa Mwanza najiandaa kwenda kazini naona kabisa week yangu imebarikiwa asantee Mungu Amani hii umenipa Mungu wangu nisaidie kuishi nawalimu wenzangu wanafunzi wangu na watu wote wanizungukao katika siku hii nzima 🙏🏽
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa ❤❤❤
@monicamutobo59006 ай бұрын
Am so blessed....am here glorify God's name for he has been so faithful and loving to me....all my prayer request has been answered so far so good....thank u God
@GessoNiima6 ай бұрын
nzuri
@GessoNiima6 ай бұрын
nyimbo nzuri
@NancyMaziza6 ай бұрын
Very powerful worship songs
@EasterJeremiah6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏ninabali kiwa sana
@اليفانيجيريا6 ай бұрын
Thank you so much🙏 Nikiwa Saudi nimebarkiwa sana, siwezi pekeangu bila wewe Baba wacha roho wako aniongoze Kila na wakati🙏🙏🙏🙏