MUNGU awabarik kwa Kaz hii nzur na awabarik wote ambao wanasikiliza nyimbo hii
@ClintonOyare-dq9gc Жыл бұрын
Amen it's so powerful song's
@concesafl6 ай бұрын
Barikiwa mteule
@gladysmtenda28437 ай бұрын
This playlist helped me so much 2 years ago when only God knew what I was going
@DeusdeditKapenegele-hj8qy Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@DorcusJuma-rd8sk2 ай бұрын
Mungu kupitia kwa hizi nyimbo nifungulie mlango wa kazi hii Qatar 🇶🇦😢😢mwanao nateseka😭😭🙏🙏🙏
@danielkulwa4367Ай бұрын
Aishaalaaah atafungua mlango na roho mwema aweze kutawala
@CatherineBenard-xq3de Жыл бұрын
Napenda kumwabudu mungu, mungu awatangulie ninyi na familia zenu na aendelèe kuwapa saut nzuri zaidi😅😅
@gracesteven Жыл бұрын
Kweli roho wa bwana tuongoze peke yetu atuwez👏👏👏
@iradukundaclarise8335 Жыл бұрын
Asant sana kwa nyimbo ambazo zinatutowa sehemu zinatuingiza sehemu nyingine
@joycelanda8987 Жыл бұрын
🙏karibu roho fanya mapenzi ya Bwana kwenye familia yangu,...wanangu walioko shuleni Mungu naomba uwatunze!!
@EzekielShija-eq3pr Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ubarikiwe kwa huduma yako mungu akuinue viwago
@edwardraballah2084 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe nzuri wa neno la Mungu kupitia uimbaji
@ATUPELEMWANDENUKA2 ай бұрын
Nikiwa Mwanza najiandaa kwenda kazini naona kabisa week yangu imebarikiwa asantee Mungu Amani hii umenipa Mungu wangu nisaidie kuishi nawalimu wenzangu wanafunzi wangu na watu wote wanizungukao katika siku hii nzima 🙏🏽
@leticialukinga7484 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sana kwa wimbo mzuri hakika nimebarikiwa sana
@katagiramandanda345211 ай бұрын
Mungu aendelee kuwabariki sanaaa,Nabarikiwa na nyimbo hizi.Amina.
@RebecaBrayton28 күн бұрын
Napenda sana kusikiliza hiz nyimbo kabla sijaanza maombi namwona mungu kupitia nyimbo mungu awabariki sana 🤲
@clairemakotswi9666 Жыл бұрын
Hakuna kama wewe bwana yesu niwewe tu unasitahili kupewa heshima na utukufu hallelujah Amina Asante sana yesu
@OrgeneJaryekonga9 ай бұрын
Nyimbo mtamu Sana. Jina lako ni lazima Sana
@JamesNdungu-y6l8 ай бұрын
Uyo muchagayiko ukosawa mungu akubariki kwakazi zuri
@misspowers321Ай бұрын
may GOD see you through whoever is listening to this inspiring and uplifting worship songs in JESUS NAME.
@agathjoseph6108 Жыл бұрын
Ameen nimebarikiwa saana na hizi nyimbo
@mapinduzingonyani Жыл бұрын
Nimepata faraja kubwa sana Mungu awabariki mno
@LuciaAloyce-pp9ei Жыл бұрын
Nashukuru ndani ya nyimbo hizi nabarikiwa sana Mungu awabariki mmekuwa baraka kwangu,
@EunicebokeBoke-mp6sl4 ай бұрын
GOD bless you people of GOD your doing great job GOD give you more power to continue praising HIM ,,,I'm blessed with your songs,,Amen
@امينهكينيا-ه9ص Жыл бұрын
Amen hii nyimbo imenifikisha bele za mungu nasikia roho yangu imetulia sana❤❤❤
@EsterMichael-gc1gk7 ай бұрын
Amen
@winniekazungu49532 жыл бұрын
congratulations nyimbo zimenigusa🙏🙏🙏🙏🙏
@emmanueldonald824 Жыл бұрын
Mbarikiwe kaz iendelee kusonga mbele MUNGU awafanikishe mnapotaka kufika
@JoyceJunior-r3m7 ай бұрын
Nafarijika Xana mungu wangu kwa waimbaji Hawa wanao kuambundu namii naungana nao Amina🙏
@BarakaMichael-lu6tc6 ай бұрын
Mungu awaongezee nguvu zakumtumikia msije mkakata tamaa ❤❤❤ name mniombee nikue kiiman
Ee Mungu unastahili kuabudiwa umenitoa mbali . Asante watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri
@JamesPoso-ef4nx Жыл бұрын
Wimbo huu umenitia nguvu tena ni murudie mungu, ubarikiwe sana na mungu
@alfayosauli-ls8uv Жыл бұрын
🙏🙏🙏🤝 Amina mtumishi wa MUNGU
@masiboagnes3510 Жыл бұрын
Powerful songs be exalted the most high God receive the praise and honor because it belongs to you
@PurityRaphael9 ай бұрын
Glory to my living LORD I have blessed with this powerfull songs
@laithkavishe8881 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo mungu awabariki sanaaaaaaaa amina
@richiusfrancisco92443 ай бұрын
Ee Mungu usikie maombi ya watu wako. Wewe ndiye muumbaji wetu na unasitahili kuombwa na kuabudiwa. Amina 🙏🙏
@mariamjohn9784 Жыл бұрын
Ameen barikiwa sana mungu wetu ni mwenye nguvu kubwa sana 🙏🙏
@LucyMkonge10 ай бұрын
Ooooh glory to God🙏🙏,,, through this songs , God i want do anything for my education, life and my family in all🙏 Amen.
@PatrickWambura-ls5zmАй бұрын
Hakika dijee mungu akupemiakabmingi uzidi katengeneza kazi zake nabarikiwa sana nakakz zeenu mbariwe sana
@Elijah-qr3bp Жыл бұрын
May dhe lord blesses that team of praise and worship
@NasimiyuJosephine Жыл бұрын
Amen Glory be to almighty God I'm so blessed with this worshipping songs my God be you all the time
@JadotRuhara Жыл бұрын
Nyimbo iyi inanifariji sana ndani ya maisha yangu
@levinamwaila78472 жыл бұрын
Nikiwa dubai nimebarikiwa na hizi nyimbo🙌 eeh mungu wangu unikumbuke na roho wako mtakatifu akaniongoze 🙏🏾
@evamkata61952 жыл бұрын
Bwana yesu apewe sıfa Uko dubaı sehem ganı tujuane
@domnickokaro6652 жыл бұрын
Enda kwa embars ya dubai na upige Baba nembo bulu yes yes , kuwa mkenya muzalendo ata Joseph na mariam akiwa mizito wali pigs oya
@gshugsua95312 жыл бұрын
@@evamkata6195 nina mtoto ako dubai anapitia magumu
@nyamohangamahemba5342 жыл бұрын
F5555
@mariethjohn30742 жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo
@christinemukonzo-wo5tb Жыл бұрын
Thank you for this song hakika roho wa Mungu ananiudumia
@neemankwera2407 Жыл бұрын
Hu
@RabiaRabia-n8n11 ай бұрын
Mungu na akubariki kwa kazi nzuri
@TotoKajira-rm4vh Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana nakuombea mwisho mzuri kuliko mwanzo niko katika kipindi cha ma chozi cha kufiwa na mama mkwe wangu ila kupitia hui nyimbo ya kuabudu nasikia kupokea ujazo mara mbili 2timotheo 4:1-6
@ArgentinaChangala28 күн бұрын
Asante Sana kwa nyimbo nzur Sana mbarikiwe Sana
@اليفانيجيريا3 ай бұрын
Thank you so much🙏 Nikiwa Saudi nimebarkiwa sana, siwezi pekeangu bila wewe Baba wacha roho wako aniongoze Kila na wakati🙏🙏🙏🙏
@gladyswairimu9251 Жыл бұрын
I all the glory to God am blessed by the worship songs.
@LightnesDanielayo Жыл бұрын
Mtege mungu kwa kila jambo🙏🙏🙏
@dawarugina8788 Жыл бұрын
Wow wow najisikia kuingia katika ulimwengine wa Roho kwa nyimbo hizi za kuabudu Bwana awabariki Sana hallelujah 🙌
@nancyachieng14062 жыл бұрын
Wow i love this song hakika mungu anastahili kuabudiwa
@esthermbega8306 Жыл бұрын
Ahsante Yesu wangu Kwa wema wako ahsante Kwa waimbaji Hawa Mungu awarki Kwa huduma nzur
@Elijah-qr3bp Жыл бұрын
Lllpolp
@PurityKarwitha-g8m11 ай бұрын
🎉I fill so blessed with this powerful worship it makes me fill the presence of God
@jamlickshuel8384 Жыл бұрын
Very powerful Worship Songs,God bless and God continue to annoint your people to deliver your gospel to the world 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻,Roho wa mungu niongoze Hadi nifike binguni,tumaini langu ni kwa bwawa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@HusnaHumbi Жыл бұрын
Nimebatikiw sana na huu wimbo moyo wangu ulikuw unauma sana nasikia kuumia mno ola nilivosikikiz wimbo huu wakuabudu ,nina amani moyon mwangu.barikiwa sana
@AbihudLeonard-j6g19 күн бұрын
Wana damu ya faa Nini kuweko usoni pa nchi kama humutukuzi MUNGU ❤
@georgeotieno2348 Жыл бұрын
what a vibrant morning, wonderful songs, I feel blessed🙏🙏🙏.
@hillaryabuyagah08 Жыл бұрын
Have woken up listening to this. My heart is warm and healing in Jesus name. Thank you for the song.
@praisetunes Жыл бұрын
Amen
@mjombawallace4966 Жыл бұрын
Amen
@JacksonMaende-jj9bc Жыл бұрын
Amen
@SamwelMatonange-hj1or Жыл бұрын
Barikiweni watumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri by mch.samwel matonange
@NeemaKipande-hr9rz8 ай бұрын
Nikiwa nyumbani Tanzania nilikuwa nasubiria viza yangu kusafiri nije Canada nilikuwa natumia Sana hizi nyimbo ktk maombi yangu na vmpaka Sasa nipo nchini canada yaani izi nyimbo nazisikiliza mda nikiwa nataka kuomba maana Kama ninafanya kazi nashindwa kiasi naanza kulia na KUINGIA ktk maombi mbarikiwe Sana watu WA mungu.Eeh MUNGU unikumbuke baba
@benjaminkimanzi29278 ай бұрын
Sasa ..Mimi ni mkenya na naomba jinsi naeza fika Canada naomba unisaidie ..Nina vyeti za masomo pia
@Kaby202 жыл бұрын
Thank you LORD ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ this song 🎵 makes me cry 😭 😭😭😭
@JuliethShirima Жыл бұрын
Katika roho mama angu apone awe na afyaa njema Amina 🙏🙏
@chastemcell Жыл бұрын
I woke up listening to this amazing worship songs it's been long to have worshipped like this,l am being lifted up in my wound heart, Abba Father forgive me all of sins,l acknowledge my sinful nature & character before thee this morning,l ask for cleansing by thy precious blood of thy son Jesus Christ, Amen.
@monicamutobo59002 ай бұрын
Am so blessed....am here glorify God's name for he has been so faithful and loving to me....all my prayer request has been answered so far so good....thank u God
@CollinsGitonga-r4v2 ай бұрын
May the lord bless you and do you good...nimebarikiwa sana nikiwaa India
@VeryniceMakyao-nc7fy3 ай бұрын
Thanks God for the lovely songs,may you be with My family ❤
@hariza99 Жыл бұрын
Jina la MUNGU lipewe sifa milele,,asante BABA🙏🙏
@JENIPHERMWAKE-tq1vx Жыл бұрын
Ni mungu pekee ndio kimbilio langu eehh ,,nena nami bwana siku zote za maisha yng
@nndrillekimoi56695 ай бұрын
Nyimbo hizi hunyanyua sana kiimaniMubarikiwe wote mnaoinjilisha kwa nyimbo
@abdalahelihazina9536 Жыл бұрын
MUNGU akubariki, nyimbo zinanibariki sana
@MaricelelinaMgata9 ай бұрын
Nikiwa iringa nimebariwa sana na nyimbo hizi
@Josekisamba7 ай бұрын
Blessed nkiwa emali
@WasswaShafiq-t8n Жыл бұрын
May God lift you highly l feel am in heaven worshiping with angels ❤
@BlandinaZakayo-p9mАй бұрын
mungu nimwema kirawakati namushukuru kwakunipakibarichakuiwona sikuyarewo njinarabwanarihimidiwe
@tinangowi15022 жыл бұрын
Mungu baba yetu wa Mbinguni naomba uendelee kutuponya watoto wako kupitia neno lako🙏🙏
@AnnaMawanja5 ай бұрын
Oooh asante Mungu nabarikiwa sana na hizo nyimbo 😭🙏🙏🙏
@LydieMungwele7 ай бұрын
Mungu awabariki sana,nyimbo zina tu ingiza mu maisha ya ki roho
@PaulSabayo Жыл бұрын
❤❤ mungu awabaliki Kwa ka nzuri naawatie nguvu katika Kaz yake ameni ❤❤(。♡‿♡。)
@emilyjeptoo4335 Жыл бұрын
GOD ,😢 I fill touched with the song,And am not ashamed to say Alleluya,Coz where have come from is far ,But all its becoz of you Almighty.Lord remember my children in Education .I Pray for them not to lack .My Family,my inlaw who has gone abroad to work, brothers& Sisters in Jesus name🙏
@fridahkerubo62kerubo78 Жыл бұрын
Wastahili Bwana wewe Ndio kila kitu kwangu 🙌🙌🙌🙏🙏
@PreciousOmahe10 ай бұрын
Unastahili yesu Asante kwa uhai ahsante kwa kila kitu hata haya magumu naamini utanipitisha mungu
@JoyceJunior-r3m7 ай бұрын
Mungu kutana nawanangu walioko mashuleni uwalinde nakuwatuza mungu wangu❤️♥️❤️♥️💅🙏
@ElizabethLokal Жыл бұрын
Asante yesu kwa vyote umekula mwaminifu
@averinataitus Жыл бұрын
Amen amen ubarikiwe utukufu kwa Mungu juu mbinguni nasi tuponywa na Neno hili
@doreenserena5577 Жыл бұрын
What a wonderful worship song it's 🔥🙏🙏🙏
@jacobjulius5771 Жыл бұрын
Ohhh asante mungu hizi nyimbo zimenibaliki sana
@FathmaMbuja10 ай бұрын
So powerful worshipping song, l love it 🎉
@paulinejuma92452 жыл бұрын
Kweli mungu unastahili katika maisha yangu licha yayote ninayo pitia
@marywafula2858 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah karibu Roho ...
@marionmacharia93142 жыл бұрын
Let us all purpose to live for God, because it's never in Vain.To please God we must stay away from sinful acts motives, thoughts, ways. Anything that doesn't please God and alone we can't, but through the help of the holy spirit.Please people of God, Hell is no joke,it's a horrible place and it's very real.Everything and anything that you do for this world doesn't count when one dies,it's worthless. But anything and everything you do for the Kingdom of God you will be rewarded. Repent always and ask God for forgiveness. But don't sin knowingly just because you will repent,No read Hebrews 10:26..May God bless us all as we purpose to work our salvation with fear and trembling.. Philippians 2:12..
@furahishafedrick3375 Жыл бұрын
Powerful of this worship song we can get together in this month
@patienceiha38272 жыл бұрын
Barikiweni sana kwa nyimbo hizi nzuri zimenigusa
@rechosagumo8971 Жыл бұрын
Nimebarikiw Sana na hiz nyimbo we mungu uniguz
@elizabethademba83552 жыл бұрын
Great worship.wonderful mix.stay blessed
@EUNICESARANGE-i1j Жыл бұрын
🙏🙏🙏wasitahili sifa na utekufu mungu wangu
@susankioko97942 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏.. Asante Mungu kwa Umbali umenitoa😭
@nuhunyamwelu22642 жыл бұрын
Benja
@georgiusndege64722 жыл бұрын
Yesu peke yako unastaili kweli umeuona uyonge wangu ubarikiwe mtu wa mungu kwa wimbo huu
@princessvai6 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana nimejikuta nalia na kumuabudu mungu