Nyie hamna hoja watu wamesha jua nyny mliifanya hicho kitu sauti ya akhy wa kahama ipo na yenyewe
@abuu_azhariКүн бұрын
Hakuna ushahidi Wawo walishakanusha hakuna kitu hicho
@ibrahimselemani-nq2ncКүн бұрын
@abuu_azhari wakina nani sasa wakati ushahidi huo umetolewa na akhy wa kahama na upo wazi sasa wanakanusha bila ya hoja kule tumewaelewa mmesema mgombea ni fasiq
@YoucefDd7 күн бұрын
حفظ الله شيخنا الفاضل الشيخ صالح الفوزان ونفع به ومتعه الله بالصحة والعافية يارب العالمين
@ibrahimselemani-nq2nc8 күн бұрын
Mfa maji aiahiwi kutapatapa tuchukulie mgombea muongo na ile sauti ya salf wa kahama licha ya hivyo nyie mnajisumbua asilimia kubwa ya markaz apa Tanzania wanawanafunzi wanasoma omar iv unazani wakiulizwa kuhusu hili jambo hawawezi kukili ndo mana ile sauti mjakosoa kubusu kupiga kula alf ndugu zangu nyie toka zamni mnajilikana kwa mikhalafa ivi unazani maduat wanao wajua watawaaminj ndo maana muitikio wa kukubali kua mmefanya nimkubwa nyie ndugu zetu uongo ni dhambi kubwa sasa apa anapinga nn huyu jamaa basi sufi huyu muongo na ile sauti ya yule salaf na mmekili baadh ya maneno ni kweli ivo salaf huyo ni kweli kapata taaarifa hizo nxie mnateseka tu
@j4amas58 күн бұрын
Tuone kwamba kuna haja ya kuingia vijijin kufanya da'awa na kusomesha pia maana kiukweli hali ilivyo Vijijin humo inatisha na wasom weng wapo mjini
@j4amas58 күн бұрын
Tuone kwamba kuna haja ya kuingia vijijin kufanya da'awa na kusomesha pia maana kiukweli hali ilivyo Vijijin humo inatisha na wasom weng wapo mjini
@MARKAZUL-9 күн бұрын
ENYI DUATI WA MASJIDI OMARUL KHATWAABI ILIYOKO KARIAKOO JANGWANI DAR ES SALAM MCHENI ALLAH TABARAKA WA TA'ALA FAHAMUNI HAYA MAMBO MNAYOYAFANYA KATIKA HII DAAWA ASSALAFIYA SIYO YA SAWA, ZINGATIENI HIZI NASAHA NINAZO WAPA ACHENI KUIPENDA DUNIA KULIKO DINI MLISHAAUNGANA NA JAI MPAKA MKADIRIKI KUTOKA KATIKA UWANJA WA KAUNDA MKAENDA KUTOKA DAMU MKIWA PAMOJA NA KIKUNDI KIOVU CHA JAI MLIVYO BAINISHIWA MKALETA TALBISI KUPITIA KWA HUYO MUONGO WENU MAKUBWA HAMISI IMAAM ALLAH AMUONGOZE, ALHAMMDULILAHI ALLAH TABARAKA WA TA'ALA ANAZIDI KUIBAINISHA NJIA YENU NA BATWILI ZENU MLIZONAZO SASA MMEINGIA KWENYE SIASA MKADIRIKI KUWA AMRISHA WANAFUNZI WAKAPINGE KURA ZA KUMCHAGUA MWENYEKITI. ENYI NDUGU MASALAFI WA TANZANIA KUMBUKENI MWANZO WA ULINGANIZI WA DAAWA HII TULIKUWA PAMOJA NA KUNDI LA HAJAWIRA KWA SABABU HAJAWIRA HAWAKUWA NA NIA NZURI NA HII DAAWA SALAFIYA ALLAH AKATUBAINISHIA KWAMBA HAWA SIYO MASALAFI YAANI NINAKUSUDIA HAJAWIRA. NASASA SISI MASALAFI WA TANZANIA TUMUOMBE ALLAH TABARAKA WA TA'ALA ATUBAINISHIA KUHUSU HAYA MATENDO MAOVU WANAYOYAFANYA WAKINA MUJAHIDI NAWEZAKI AKINA HAMISI IMAAM NA MWINGINE WA KULE KIGOMA AMBAYE NI JAFARI JE HUU NI SALAFI AU NI UHZBI ULIVYO JIFICHA NYUMA YA PAZIA LA SALAFI? YAA RABBI TUNAKUOMBA UTUBAINISHIE HUU UHZBI ULIOJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA USALAFIY. ALLAHU MAANA AMINI. 0:23
@abuu_azhari9 күн бұрын
Wewe kijana wa shafi Hivi ukisimamishwa mbele ya Allah unaweza kuleta ushahid? Je hizo dharau unazitoa wapi? Tabia ya kihzib ya kudharau masheikh kiasi hicho wapee watu vyeo vyao Je? Ukipewa fursa ya kusema kuwa hawa ni watu wabidaa unaweza kusema nini?
@abdalasambe40059 күн бұрын
@@abuu_azhari 1.we kijana wa shafii. Iv hii unamaanisha nn na ww ni kijana wa nan? 2.wape watu vyeo vyao. Hili jambo hili Allah atupe ikhlas Mnataka vyeo? Au mnakusudia kufikisha ilim? 3.tambihi Swala la kupinda lipo ikhwaa em tuwe makin na hii manhaj. Yukwap hajur Kibri. Jeuri. Ujubu. Kutaka ukubwa ni mambo yanaangamiza zaid kuliko mbwa mwitu wawili wenye njaa kali kumshambulia mbuzi Mmoja.
@MARKAZUL-9 күн бұрын
@@abdalasambe4005 TUNA HAQQ YA KUYASEMA HAYO KUTOKA A NA UOVU AMBAO WAKINA MUJAHIDI WEWE ABUU AZHARI NINAIHUSIA NAFSI YANGU PAMOJA NAFSI ZA WATU WANAOWATETEA MASHEKH WA MASJID UMMARULKHATWAA MUOGOPENI WADIRIKINI MASHEKH WA OMARUL KHATWAABI WANAINAJISI DAAWA SALAFIYA
@MARKAZUL-9 күн бұрын
@@abuu_azhari MCHE ALLAH EWE ABUU AZHARI USIWATEE WA KISA WAMEKUAJIRI
@mohamedalwaqib88399 күн бұрын
Allah mwingi wa rehma akuongoze wew na mimi hao mashekhe unaowasema vibaya hatujaona ovu lolote kutoka kwao zaidi ya kheri Allah mwingi wa rehma awahifadhi. Unapata faida gani kwa hiyo chuki uliyonayo na dharau kwa mashekhe mche Allah ndugu.
@Daifar10010 күн бұрын
Allah atusalimishe mpaka kufikia kuwa twaan wanawachuoni
@katan67111 күн бұрын
Shaikh Shafiy amewashika pabaya Nadhani sasa kila mmoja ashawafahamu.
@othmanmohd372111 күн бұрын
ww bdo ni mshamba sna saiv manhaj ya kisafy inapamba mito ww bdo ukeeomba kwa makabur chida zako hhh njoo ktk njia sahihi utullize nafs na myo uku ni elimu na zio uganga km masufy
@ZahorWazir-o7n11 күн бұрын
Amekushika wewe mpumbavu usiojielewa
@katan67111 күн бұрын
@ZahorWazir-o7n ..Aahya haya hizi ndo adabu za vijana wa Markaz Kariakoo..Oneni.
@ZahorWazir-o7n11 күн бұрын
@@katan671 kwani za kwako wewe kijana wa ibni maiiin huzioni?
@Daifar10010 күн бұрын
Shekhe wako anatukana wanawazuoni atashindwa kuwatukana mashekhe wa tz shekhe wenu mnasihini mdirikini ana watwaan kabisa mpaka maulamaa duh
@ShabanKiliza12 күн бұрын
Shekh huyu hana adabu wala hajui anachokiongea swali lilikua ni dua je yafaa kusoma dua wakat wa hakika anasundwa kujibu anazunguka na kutukana wazee wetu walio tangalia huna adabu na mashekh ww na hujielewi ww jibu swali
@AbdulhamiidKalumuna13 күн бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya Usalafi
@MabrukJuma-o6j13 күн бұрын
Usipongeze ujinga akhii mpe nasaha asome asitie kimbelembele huko sikutaataa ni kucheza na Quran hapo hayuko mafunzoni yaani ndio kamaliza mchezo upo
@MabrukJuma-o6j13 күн бұрын
Hawa ndio makhurafi wenyewe Kisha ndio wajuaji na ndio huwaita watu wa Sunna mawahabi
@yassinekhaloufi534313 күн бұрын
حفظك الله يااسد السنة
@khaalidcheo538314 күн бұрын
Maashaallah malkaz yetu iyo
@DorcasMassawe-x9k14 күн бұрын
Futa na umche mola wako we mnaifanyia dini ya Allah mzaha aya tumeona alafu baada ya kuona. We hii ni katika istihizai
@LufyBlack16 күн бұрын
Majini hao wanafqi
@kalelaonlinetv16 күн бұрын
Basi dua zao zina kubaliwa sana watu kama hawa wasio jua kusoma sijui kwanini
@hilalkhalfan145216 күн бұрын
Wanalipwa mara mbili, moja ya usomaji na pili ya tabu wanayoipata
@MohamedAhmada-ie7ke16 күн бұрын
Astaghafirullah
@HassanHamoud-c2f16 күн бұрын
Dahhhhh😂😂😂😂😂😂 usomaji wenyew ndio huu hata kama jaman
@Ibnsalim317 күн бұрын
Sasa mukiambiwa ukweli munakimbilia ktk mukatwaaa na hiyo yenu pia sio usalafy Ss hikma ni kuunyamazia uchafu wenu na uhizibi wenu Na km kweli uliyoyasema muna yafuata na kweli basi kwnn hamukukaa na sheikh abuu mua3wiyah رحمه الله تعالى alipokuwa ktk uhai wake na mukamtaa bila ya hata naswahaa wala mjadalaa wowote Nyiyi sio masalafy wa uhakika kwasbab hamnaa sifa ya masalafy ht kidgo ni maslahi tuu na uhizibi wa ndani kwa ndani Na yyt atakae kukhalifuni na kukusemeni nyy ktk haki bs huyo ni hizbiy na hafai MUONGOPENI ALLAH
@GeneralNdembo-rf9mp18 күн бұрын
Subhanallah jaman😮😮😮😮😮😮😮😮
@Black_cheeter18 күн бұрын
Cha kushamgaza na Kuna mijitu imerulia inamsikiliza Kiufupi wote ni weupe kama wanavyojiita wenyewe ni maamuma
@abduwahabi701918 күн бұрын
Yaani mufradi anaifanya jam,uu, nakra anaifanya, maarifa, istith,naai, anaifanya ninaf,yu, mtihani sanaa
@ahmedabry29314 күн бұрын
Kama nia yake ni kujifunza basi anapata thawabu mara mbili Kwa mujibu wa hadithi ya mtume wetu Amani iwe juu Yake
@abduwahabi701914 күн бұрын
@ahmedabry293 wewe hapo umemuona mwalimu anae mfundisha?, Au umemsikia akitamkishwa,?
@ahmedabry29314 күн бұрын
@@abduwahabi7019 Kama yeyé ni mwanafunzi lazima mwalimu atakuwepo.. Sasa kajuaje kusoma hicho hicho kidogo alichonacho kama hajafundishwa na mtu anaejua?? Sijamuona mwalimu ila nimezungumzia yeyé anaesoma ikiwa nia yake ni kujifunza na hajui basi anapata thawabu mara mbili..
@ramygichero101618 күн бұрын
WAPUMBAVU KINA BACHO KUTUKANANA NA KUKUFURISHANA KWENYE VIOMBO VYA HABARI NAWAITA MAUBWA
@HanifaSilvanus19 күн бұрын
Apo ndo walipoishia usikute uyo ndo msomaji mzuri kwenye jamii hiyo inaumiza sana kwa kweli
@katan67119 күн бұрын
Muqatwaa feki.
@abuu_azhari19 күн бұрын
Kwani wewe nani unasema mukatwa'a feki
@katan67119 күн бұрын
@@abuu_azharimimi ni mpenda haqi na si hizbiyya wa Markaz Kariakoo.
@abuu_azhari19 күн бұрын
Haqqi gani ambayo waifuata wewe
@katan67119 күн бұрын
@@abuu_azhariHaq ya kutochanganya haki(usalafi) na batili(Markaz Kariakoo mfano kujiunga kwenu na JAI,watu wa marathon changanyikeni wake kwa waume) Kujifanya kwenu mko juu. Na mengine...ukinichokoza nitakudhalilisha. Chungeni naona Anataka kuwadhalilisha sasa
@othmanmohd372118 күн бұрын
aky kumjibu mjinga ata kumyamazia ni jibu toshahuyu achana nae tu ipo siku ataifaham hagi@@abuu_azhari
@zanzibaronlytv347019 күн бұрын
Hii ishu hata sisi vijana wengi hatutaki kusoma dini ila tukiwa wazee tunataka tupewe sisi usheikh na kutaka kuwadanganya watu pia kuwapiga vita wazee waliosoma ktk ujana wao ama vija wanaosoma
@ABUUDARDAAI19 күн бұрын
Duh
@AbuuDarddaa16 күн бұрын
Wajina
@medimisi693020 күн бұрын
😂😂😂Tukiwaambia hayo hayafai mnasema tunawaonea wivu masharifu wenu.. angalia hayo na kuweka mamoshi hapo.
@bakarimakomola19 күн бұрын
MOSHI HAUNA SHIDA, SHIDA NI HAO WANAOJIFANYA WANASOMA DUA WAKATI HAWAJUI LOLOTE KUHUSU KISOMO WANAPAPACHIA
@MwambaAlly-j5z20 күн бұрын
Acha kuchezea qur ani
@rayisadesigns264620 күн бұрын
HIYO NDIYO ATHARI YA KUNG'ANG'ANIA MIJINI HUKU DINI MKIIFANYA KAMA MIPASHO YA TAARABU KWA KURADDIANA WENYEWE KWA WENYEWE BADALA YA KWENDA VIJIJINI KUFUNDISHA DINI. HUYO MUISLAM MLIYEMUANIKA HAPA WALA HAMKUMDHALILISHA BALI MMEJIDHALILISHA WENYEWE KWA KUJIONESHA NAMNA MNAVYOJISHAUA SHAUA MIJINI TU LAKINI VIJIJINI HAMNA LOLOTE MNALOLIFANYA, WALAU YEYE ANA MALIPO YAKE KWA MOLA WAKE KWA KUTEKELEZA SEHEMU YA DINI YAKE KWA KILE KICHACHE ALICHOKUWA NACHO, JE NYINYI WENYE ELIMU ZILIZOJAA MAPAKA ZINAZOMWAGIKA MMEUFANYIA NINI UISLAM?!
@ramadhanSwaleh20 күн бұрын
Acheni ubwege nendeni nyie huko vijijin. Kazi kutukanana tu huku mjini.fitna uchawi. Mnagombania mimbari za MIJINI.
@salimfaraj550920 күн бұрын
Naungana na wewe, wanatakiwa waende vijijini wakatoe daawa sio kujazana mjini
@RamadhaniMawazo20 күн бұрын
Na wewe mwenyewe usome,sio unawaambia wenzako tu waende vijijini,,wewe wafanya kazi gani,au ndio ushajitia umaamua Wacha ubwege na wewe
@MohamediHasani-bm6xu16 күн бұрын
Wazee wa hivi hua hawaachii nafasi hata kama kuna msomi vipi ukitaka ugombane nae nenda kwenye msikiti wake utaona yashanikuta mimi hayo
@allyrashid373215 күн бұрын
@@MohamediHasani-bm6xupole sana
@yusufathman247820 күн бұрын
Subhanallah😢😢 msiba huu
@Mohammedyasia20 күн бұрын
😂😂😂
@AbdallahKifundo-t5e20 күн бұрын
Anakemea uwahabi na yeye hapo
@MabrukJuma-o6j13 күн бұрын
Mashallah
@AliyYasi20 күн бұрын
HUYU MZEE BORA KUSHINDA ANAEMKOSOA MAAANA MSOMA QUR'NI HUKU ANATATA ANA TWAWABU MARA MBILI, KHUTBA KAJITAHIDI SANA KWANZA KIARABU SIO LUGHA YAKE HONGERA KWAKE..
@jumamohamedi449520 күн бұрын
Unajua maana ya kutaa taa?
@adamhashim335220 күн бұрын
@@jumamohamedi4495 si ndo km mzee hyo
@IsmailRashid-m8x13 күн бұрын
Anaetataa kwa kukosea au anaetataa kwa kupatia mbona umetuacha na viulizo,
@amritwaha-kp3hu20 күн бұрын
Hili kweli boko
@hassanmambomambo844220 күн бұрын
Wanaojua wanakaa mijini tu uko vijiji uyo ndio shekh tena kanitaidi sana apo
@abdallahmkomboz267921 күн бұрын
Huyo mzee hiyo hotuba ya kiarabu kaandikiwa kwa kiswahili hvo ndio anasoma ili jambo la ndoa lipite! Sasa kushauri ni kuachana na kupoteza muda wa raddi ni kufundisha dini husasani huko vjijini...hakuna wakumlaumu bali tujiulize tumefanya nn
@adamhashim335221 күн бұрын
Bora umeongea kaka mzee kajitahid hata hivyo badala mtu aende aokoe jahazi et anatukana leo watu wanasingizia tusome lakini waliosoma wamebweteka
Nikwel kbsa yaan huko vijjn ni mtihani mkubwa na watu wa vjjn hawataki kusoma mtu ni imamu unakuta ameishia juzuu 1 tu jmn na usomaj wake hazingatii hukum
@zanzibaronlytv347019 күн бұрын
Nyinyi mshaenda kusomesha
@zanzibaronlytv347019 күн бұрын
Pia aliepost kaandika hawa watu wasipatikane tena na hakusema kua mzee hajajitahidi
@ashasalum446721 күн бұрын
Tuwaridhie wazee wetu
@OmarySalehe-u3y22 күн бұрын
Hujui kusoma Quran kajifunze we mzee na ujifunze tauhiid hiyo mimoshi ni ya Nini
@sadru571022 күн бұрын
سبحان الله... huyu anasom nn? mana Qur-an haisomwi hivyo...
@Hamis-ks1sy22 күн бұрын
Ndio maana tukaambiwa tusome
@omaryabduli732820 күн бұрын
kasoma quran…hakuna cha ajabu ila kasom kimakosa….
@KassimBakari-mw8ey23 күн бұрын
Assallam àlaykum kaka, mi kassim Bakari Bindo kigamboni dar
@KassimBakari-mw8ey23 күн бұрын
Assallam àlaykum kaka, ndugu yangu kassim Bakari Bindo kigamboni dar
@MohmadDi-cv8lo29 күн бұрын
حفظ الله شيخنا الفوزان
@Eman_KSA29 күн бұрын
أكمل المقطع ولا تفتري على الشيخ عثمان،، هناك المهمل في الصلاة ما قال تارك الصلاة بالكلية
@Fahad_alves1212Ай бұрын
Tatizo mnamuogopa Muhammad nyinyi acheni unafiki ndio maana mnajificha
@pesasaid768Ай бұрын
Shukran sheikh
@Pages-8Ай бұрын
حفظك الله يا اسد السنة والتوحيد اعزك الله وبارك في صحتك وجهودك في نصرة الحق