TA'LIYQ NO 4 JUU YA MANENO YA MUHAMMAD BACHU KUELEKEA RADDI ILIYOTANGAZWA NA SHEIKH HASSAN JAMADA

  Рет қаралды 367

Abuu Azhari Online Tv

Abuu Azhari Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@sadru5710
@sadru5710 2 ай бұрын
muhammad bichwa (abuu vandame) kazi unayo...
@abughaneem9220
@abughaneem9220 2 ай бұрын
Kazi ameshaimaliza kwa kumkosowa Abu rududu kwamakosa ya kusoma Quruan na kiarabu mwenyewe amekosa na diploma yake jana katika rududu ya tatu nilisema mtu anaweza kukoseya katika lugha ambaye siyo yake hata lugha yako waweza kukoseya sasa Abu rududu anyamaze bila hivo atazidi kuji ayibisha
@Sunnahchannelkenya
@Sunnahchannelkenya 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/q2LLoaN-m8yeodksi=Le1yNnz9jCemNM8u Acheni fujo jibuni hiii RADD
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 2 ай бұрын
Abuu fauzani yeye mwenyewe anakosea kwenye ibara na kwenye quraani ila anajiona hana makosa mshamba sana huyu Ila kiukweli hawezi kusimama kwenye hoja za msingi anakimbilia kukosoa kwenye ibara akikupata umekosea kwenye ibara atakukebehi anamipasho atakuchamba yaani kama mwanamke
@hemedhamdan
@hemedhamdan 2 ай бұрын
Nilichokifahamu ni kwamba huyu Abu Rudud hana inswaf... Tumcheni Allah!
@mkhandihealthcare5106
@mkhandihealthcare5106 2 ай бұрын
HAHAHAHAH, CHAPA SANA HILO HIZBI BABAA!!!
@abughaneem9220
@abughaneem9220 2 ай бұрын
Nenda kamsikilize bachu Alivo mchapa sisi kwetu tunajifunza sasa waalimu mujikosowe mtuleteye yaliyo iva vizuri nasi tusivebe makosa yenu
@abughaneem9220
@abughaneem9220 2 ай бұрын
Abu rududu kwanza kakosowe kitabu chako kilicho fanyiwa taaliqi na Abdallah humeid nyote mumekoseya na pia kajifunze Quruan maana kwenye Quruan bachu humuwezi ni hafidhu
@abuuaisha3582
@abuuaisha3582 2 ай бұрын
soon utajua nani kapatia au kakosea, bachu hajui lugha
@abughaneem9220
@abughaneem9220 2 ай бұрын
Hahaha hahaha unanipa raha sasa anaye jua lugha anakoseya kwenye Quruan
@abughaneem9220
@abughaneem9220 2 ай бұрын
Maana Quruan ni lugha ya kiarabu
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 24 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 37 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 14 МЛН
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН
MOLANA MARGUB AHMED SB LAJPORI
22:46
ulama-e-kiram lajpore
Рет қаралды 58
Dalili ya mtu mwenye marohani...ustadh Ali Alhaidary
16:47
Haidar Abdulwaheed Ali
Рет қаралды 32 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 24 МЛН