KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
Жазылу
TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA
Tumaini Choir Kizota Sda
Ni kwaya inayopatikana Dodoma mjini Jimbo la CTF Mtaa wa Kizota na kanisa la Waadventista wa Sabato Kizota lililopo Jirani na njia panda ya Four Ways
4:39
TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA | UTU WANGU 4k | (Official Video) - 2024
Ай бұрын
5:03
TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA | TWAMSUBIRIA KWA HAMU 4k | (Official Video) - 2024
2 ай бұрын
15:38
SHULE YA SABATO KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
9 ай бұрын
4:10
10 February 2024
10 ай бұрын
5:12
2 June 2023
Жыл бұрын
6:03
2 June 2023
Жыл бұрын
3:09
Maisha yake Tumaini Choir Kizota SDA
2 жыл бұрын
Пікірлер
@IreneSagumo-w8b
Күн бұрын
Nice song
@UshindichoirMusique
10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@MariamSaidi-z8j
10 күн бұрын
Nyimbo zenu Zina viwango vyote kuanzia uimbaji Hadi upigaji.
@MariamSaidi-z8j
10 күн бұрын
Kwa uimbaji huo na mm nitakuja kusali kizota ili niwe muimbaji wa hii kwaya
@MariamSaidi-z8j
10 күн бұрын
Nawapongeza sana viongozi wa kwaya hii kwa uongozi mzuri Hadi kwaya inarecord inatoa video sio kazi rahisi
@IreneSagumo-w8b
10 күн бұрын
Mnanibariki sana kwaya ya Tumaini nyimbo zenu ni nzuri mno na Zina utulivu
@IreneSagumo-w8b
10 күн бұрын
Mnaimba vizuri sana
@IreneSagumo-w8b
10 күн бұрын
Mbarikiwe sana na Endeleeni kumtumikia Mungu Maana maisha yetu hayadumu Duniani ni wapitaji tu.
@Amina-j7j7p
10 күн бұрын
Mbarikiwe sana watumishi kwa huduma nzuri ya uimbaji mnayoifanya
@Amina-j7j7p
10 күн бұрын
Kwaya inaimba vizuri sana kwakweli hongereni
@JosiahJohnson-ef3jb
10 күн бұрын
kwaya ya Tumaini Mungu awabariki Sana muendelee kumtumikia tupate nyimbo nyingi zaidi za kutubariki.
@hamenyayohanakasase5836
11 күн бұрын
Safi sana Tumaini Choir, Arrangement, audio quality, na wimbo, vyote viko vizuri. Hongereni sana jirani zetu.
@JosiahJohnson-ef3jb
10 күн бұрын
Amina
@MIGANGASDACHOIRTZ
11 күн бұрын
Amina
@KIBADASDACHOIRTZ
12 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/iHu4eKtrarR8obMsi=TVy-q1AZnwux6TVp
@alexdonaldmfungo4427
14 күн бұрын
Mungu atukuzwe kwa wimbo huu unaotubariki sana. Tumaini tunawaombea
@fkirumba1463
15 күн бұрын
Barikiweni sana Tumaini kwaya.muende mbali pamoja na YESU
@ericmanyasi7384
15 күн бұрын
Amen amen amen nice song
@NyehungeAdventistchoir
15 күн бұрын
BWANA awabariki mkazidi kutumika vyema kwa kazi yake
@floramtani1646
15 күн бұрын
Bwana akikupatia uzima na afya,paza sauti Kwa ajili yake,tumika Kwa nguvu ,maaarifa,bidii na akili Yako yote,, mbarikiwe sana watumishi wa Bwana
@EmmanuelSamwelMasunga
15 күн бұрын
Jambo la Baraka kuendelea kuntumikia Mungu,Mbarikiwe sana tumaini
@leahmakole6369
16 күн бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini kwaya.
@johnkasanda2144
16 күн бұрын
mbarikiwe sana🎉
@alvalusmkula9304
16 күн бұрын
Mbarikiwe Sana watumishi, wimbo umeimbwa katika viwango vyenye sifa za mziki wa kiadventista, lakini pia unaujumbe mnzuri sana
@eufraciadamazo5407
16 күн бұрын
Amen
@floramwakoba7312
16 күн бұрын
Oh Haleluya ujumbe mzuri Mungu ibariki Tumaini kwaya
@johnkasanda2144
16 күн бұрын
🎉🎉
@servantofyahuahambassadorofyah
16 күн бұрын
❤❤
@JohnsonMbonea
16 күн бұрын
Mbarikiwe Sana kwaya ya Tumaini Kwa hakika Uhai huu tunaoringa nao Sio wetu ni Yesu ndiye aliyetuwezesha.
@pastorbiheneonline4189
16 күн бұрын
Kazi nzuri sana, songeni mbele.
@JohnsonMbonea
16 күн бұрын
Thanks Pastor
@eufraciadamazo5407
16 күн бұрын
Amen Pastor
@eufraciadamazo5407
16 күн бұрын
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu TUMAINI KIZOTA Mfike mbali mwakani mtoe Albam zaidi na zaidi
@festosawema5366
16 күн бұрын
Mungu awabariki sana Tumaini kwaya tokea Makao makuu ya chama na serekali Dodoma.
@leahmakole6369
16 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mnzuri kweli mmenibariki sana Tumaini kwaya kizota.❤❤❤❤
@JohnsonMbonea
19 күн бұрын
Mbarikiwe Sana Tumaini Kwaya-Kizota
@alexdonaldmfungo4427
19 күн бұрын
Ni kweli maisha yetu hapa Duniani yamejawa na hofu, mbarikiwe Tumaini choir
@yuniawiga3285
Ай бұрын
Wimbo una ujumbe wa uamsho na matengenezo
@janemtani7941
Ай бұрын
MUNGU atukuzwe kwa ajili ya nyimbo zenu ,nabarikiwa sana .
@rehemamagesa-ik7vv
Ай бұрын
Mbarikiwe kwanza mmependeza sana na mmeimba kwa utulivu
@alexdonaldmfungo4427
Ай бұрын
Baraka za BWANA ziendelee kuwa juu yenu kwa ujumbe huu mzuri unaoandaa mioyo yetu kumpokea Kristo
@SweliOwino
Ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri ❤
@festosawema5366
Ай бұрын
Wimbo mzuri sauti tamu
@Ibrahimmachinda
Ай бұрын
Mungu awabariki sana mzidi kusonga mbele
@dasilvajr9647
Ай бұрын
Ujumbe mzuri, wimbo mzuri, kazi nzuri, Mungu aendelee kubariki kwaya ya tumaini mambo yazidi kuwa mazuri na injili isonge mbele.
@peterkarubi6640
Ай бұрын
Maisha yangu yaliyosalia "Bwana" nayakutukuze wewe,,,AMEN.
@alvalusmkula9304
Ай бұрын
Mbarikiwe Sana watumishi 🙏👏
@pastorbiheneonline4189
Ай бұрын
Barikiweni sana Tumaini kwaya.
@MasheneneSherida
Ай бұрын
Utuwangu wa kale amazing songs 🎵 BWANA azidi kuwatumia zaidi kale kazi yake
@JosiahJohnson-ef3jb
Ай бұрын
Bwana awabariki Sana Tumaini kwaya mzidi kumtumikia.
@nyasigemagambo4130
Ай бұрын
Amina
@ericmanyasi7384
Ай бұрын
Mbarikiwe nyimbo Nzuri sanaaaa🎉
@nellyangelo5713
Ай бұрын
Amen wimbo mzuri mbarikiwe sana
@floramwakoba7312
Ай бұрын
Mungu Atukuzwe ujumbe mzuri🙏
@alexdonaldmfungo4427
Ай бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini choir, wimbo umenibariki mnomno,Mungu azidi kuwainua ktk vilele vya juu.